
Ratiba ya mwezi mzima wa Ramadhan kuanzia muda wa kufuturu mpaka muda wa ukomo wa kula daku.
NB: Ratiba hii ni mwongozo kwa watu waishio Zanzibar. Watu wa mikoa mingine ya Tanzania Bara, muda unaweza kupishana kidogo kulingana na muda wa jua kuchomoza na kuzama.
