×

Mwandishi wa Global TV Ampiga Swali Gumu Msigwa, Sikiliza majibu! – Video

Mwandishi wa habari na mtangazaji Joel Thomas wa Global TV akimuuliza maswali Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa (hayupo pichani)

Mwandishi wa habari na mtangazaji Joel Thomas wa Global TV, amepata nafasi ya kumuuliza maswali Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo amemtwanga maswali mawili mazito, moja likiwa ni kuhusu hatma ya mechi kati ya Simba na Al Masr ambayo ilitangazwa kwamba haitachezwa kwa Mkapa kwa sababu uwanja huo umefungiwa.

Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amezungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo miradi inayotekelezwa na Serikali ya Awamu Sita Machi 16, 2025, katika Bandari Kavu ya Kwala, mkoani Pwani.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa