×

Dogo Janja Aongoza Kura za Maoni CCM Ngarenaro – Awashinda Wakongwe

Msanii wa Bongofleva, Dogo Janja, aibuka kidedea kwenye kura za maoni CCM Kata ya Ngarenaro, akimshinda aliyekuwa diwani Isaya Doita kwa tofauti ya kura 16.

🗳️ Wapiga kura walioshiriki: 139

✅ Kura halali: 138

❌ Kura isiyoonekana: 1

📊 Matokeo:

Dogo Janja – 76

Isaya Doita – 60

Benjamin Mboyo – 2

Msimamizi: Sophia Islam
Mwandishi: Janeth Mushi