×

Kimenuka Arusha, Wananchi Wafunga Barabara – Video


Wananchi wa Mtaa wa Migungani Kata ya Sokone One jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Mnara wa Voda Sombetini baada ya watu 2 kugongwa ndani ya nusu saa na kusababisha wafunge barabara kwa mawe wakitaka kuwekewa matuta.

Leave a Comment