×

Rich Apeleka Tuzo kwa Nape

6.Rich (kulia) akipeana mkono na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo,Nape Nnauye. Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akimpongeza na kumkabidhi cheti Mshindi wa Tuzo ya Filamu Bora Afrika Mashariki, Single Mtambalike ‘Rich Richie’ (kulia).1.Rais wa Shirikisho la Filamu hapa nchini,Simon Mwakifwamba(kushoto) akizungumza jambo katika hafla hiyo. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba (kushoto) akizungumza jambo katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa Waziri Nape Nnauye.
3.Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania,Simon Mwakifwamba (wapili kushoto) akishikilia Tuzo ya Single Mtambalike. Simon Mwakifwamba (wa pili kushoto) akishikilia Tuzo ya Single Mtambalike.4 2.Picha ya pamoja ya Waziri Nape na wasanii wa filamu.5.Taswira ilivyoonekana katika ukumbi huo. Taswira ilivyoonekana katika Ukumbi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo uliyopo Golden Jubilee jijini Dar ambapo hafla hiyo ilifanyika.7.Producer wa Filam, Bwana Shimji (katikati) akipokea cheti cha tuzo kutoka kwa Waziri Nape. Waziri Nape akikabidhi cheti kwa prodyuza wa filamu, Bw. Shimji.
8.Vyeti vikiendelea kutolewa. Vyeti vikiendelea kutolewa.9. Nape baada ya kukabidhiwa tuzo na Rich.
10. Hafla ikiendela ukumbini hapo.11.Msanii wa Vichekesho hapa nchini Mkwere (wakwanza kulia) akifuatilia hafala hiyo. Komedia maarufu hapa nchini, Hemed Maliyaga ‘Mkwere Orginal’ (wakwanza kulia) akifuatilia hafla hiyo.12.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

Leave a Comment