
Leo tarehe 26 Aprili, uwanja wa Carlos Tartiere huko spain utakuwa jukwaa la pambano la maana kati ya Real Oviedo na Elche. Oviedo wakiwa nyumbani wanalenga kurejea kwenye mstari wa ushindi baada ya matokeo yasiyo ridhisha.
Huku Elche wakiwa ugenini wakijaribu kukwea kutoka chini ya msimamo wa ligi. Mchezo huu una umuhimu kwa timu zote mbili kwa sababu wanahitaji pointi kujitoa eneo la kuwania daraja, wakati ambapo Elche wapo nafasi ya 18 na alama zao 32 na Oviedo wakiburuza mkia wakiwa na alama 27.
Real Oviedo, chini ya kocha wao Almada Alves Jorge Guillermo, imekuwa timu ambayo imeruhusu goli nyingi. Wakiwa na ulinzi imara unaoongozwa na Dani Calvo na mabeki wabishi, Changamoto yao kubwa ni kukosa kasi katika ubunifu wa kiungo, jambo ambalo limewafanya kuwa timu dhaifu kwenye msimamo.
Kwa upande mwingine, Elche ni timu inayopenda kumiliki mpira na kucheza kwa utulivu, wakiongozwa na wachezaji kama Tete Morente na wengine mahiri kwenye pembeni. Lakini safari zao ugenini zimekuwa dhaifu, kwani mara nyingi wanakosa silaha ya kumaliza mashambulizi yao mazuri. Wakiwa na mbinu ya kushambulia kupitia katikati, watakabiliwa na ulinji mnene wa Oviedo utakaowalazimu kuwa na uvumbuzi zaidi.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mbinu itakayoamua mchezo ni iwapo Oviedo wataweza kuvumilia presha ya Elche. Oviedo wanapaswa kuepuka kujikuta wakicheza mpira wa kujihami kwa muda mrefu, kwani Elche wana uwezo wa kuvunja ulinzi kwa pasi ndefu za kuvutia. Kwa upande wa Elche,
Kwa ufupi, mechi hii inatarajiwa kuwa ngumu na yenye mabao machache. Oviedo ana nafasi nyumbani, lakini Elche ana ubora wa kiungo cha kati. Ushindi wowote utategemea timu itakayozuia makosa ya mtu binafsi. Jisajili