×

Nani Atatinga Fainali Europa? Villa vs Forest, Freiburg vs Braga Leo

Europa League kule Ulaya inazidi kunoga ambapo mechi za mkondo wa kwanza zilimazika vyema, huku sasa ni mechi za mkondo wa pili. Je leo hii nani kuondoka na ushindi wa kuwapeleka Fainali?

Freiburg atamwalika kwake Braga ambao walishinda mechi yao ya kwanza ya Nusu Fainali kule Ureno hivyo leo hii ni kisasi kwa mwenyeji pia. Jisajili hapa.

Mechi hii wageni wanaingia uwanjani wakiwa na faida ya bao 1, baada ya kushinda mechi ya kwanza kwa mabao 2-1 huku weenyeji wao wakiutazama mchezo huu kama wa kufa na kupona kwani hakuna kitu ambacho kitaswasaidi zaidi ya kufunga magoli mengi pekee.

Hii ni moja ya timu ambazo zinafanya vyema kule Ureno wakiwa nafasi ya 4 mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi. Huku kwa upande wa wenyeji wao pale Bundesliga wanashikilia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi huku wakiwa na takwimu mbaya za mechi 3 za mwisho wakiwa wamepoteza.

Tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mechi hii ni ya maamuzi kwa pande zote mbili huku leo hii ushindi unaweza ukaamuliwa kwa pande zote mbili hasa kama timu ina washambuliaji wazuri kwani kwenye hatua hizi magoli ndio kitu muhimu sana kuliko chochote.

Kwa upande wa Freiburg wao wana mfumo na uthabiti, wakati Braga wana kasi na hatari ya moja kwa moja. Timu itakayoweza kulazimisha mpinzani wake kucheza kwa mtindo usio wake itakuwa na nafasi kubwa ya kushinda.

Wakati huo huo kule Villa Park kutakuwa na mechi ya Aston Villa dhidi ya Nottingham Forest kutoka kule Uingereza hawa wote wanajuana vyema kabisa. Hii ni mechi ambayo ni ya kisasi kwa mwenyeji baada ya kupoteza mechi ya kwanza ugenini kwa bao 1-0.

Mechi hii inakuja na presh ya hali ya juu kabisa kwa vijana wa Unai Emery baada ya kuangusha pointi pale City Ground. Hii inaifanya mechi ya pili kuwa ya “must win” kwa Villa, huku Forest wakicheza kwa utulivu zaidi wakiwa na faida ya matokeo ya awali lakini ni mechi ambayo Villa wanahitaji zaidi wapate matokeo ili wacheze fainali baada ya muda mrefu.

Hii ni mechi ambayo inaweza ikawa na machaguo mawili tofauti kwa timu mbili, Villa wao wanaingia uwanjani wakiwa na lengo kubwa kushambulia ili waweze kusawzisha goli mapema kabisa, lakini kwa upande wa Nottingham Forest wao wanaweza kutumia mbinu ya kujilinda zaidi kutokana an mtaji wa bao moja ambalo wanalo lakini kushambulia kunaweza kukawa kwa mbali.

Timu hizi zimekutana mara nyingi kwenye ligi kuu na kila mmoja ameweza kushinda dhidi ya mwenzake. Lakini huku ni kwenye michuano ya Europa kila timu inaweza ikapata matokeo mbele ya mwenzake ukiachilia nafasi zao walizopo kwenye msimamo wa ligi kuu.

Wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii ni Villa kutokana na kiwango ambacho wamekionesha msimu huu, lakini pia uwepo wa kocha wao ambaye haya ndiyo mashindano yake, kwani amewahi kufanya vizuri akiwa na Sevilla ya kule Hispania.

Lakini tahadhari wa Nottingham Forest pia ni kwamba kuongoza kwa bao 1 hukumfanyi atuzuie peke yake kwani wanaweza kufanya makosa ambayo yakawafanya wapoteze mechi hiyo kwani bado bao moja ni dogo na halitoshi kujilinda muda wote wa mchezo.

Mechi hii ina mchanganyiko wa mbinu na akili. Villa wana ubora wa kikosi na uwezo wa kushambulia kwa nguvu, lakini Forest wana faida ya utulivu na mpangilio wa kujilinda pamoja na mashambulizi ya kushitukiza.

Matokeo yatategemea nani atakuwa na ufanisi zaidi katika dakika za mwanzo. Villa wakifunga mapema watafungua mechi, lakini Forest wakistahimili au kufunga kwanza, basi wataweza kudhibiti mwelekeo wa mechi na kufunga njia ya Villa kurejea.

Leave a Comment