
Je umepata taarifa kuhusu BET BUILDER?, Hii ni moja ya chaguo ambalo kwasasa litamba kwenye soko la ubashiri kwani ukitengeneza jamvi lako na kuchanganua ODDS hizi unajiweka kwenye nafasi kubwa ya ushindi zaidi.
Jinsi ambavyo teknolojia na sayansi inavokua ndivyo ambavyo vitu vingi vinaibuka na kupitia michezo ya kubashiri wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa kwasasa tumia BET BUILDER kusuka jamvi lako la ushindi.
Hapa kwenye chaguo hili la BET BUILDER wewe mwenyewe ndio unakuwa kama kocha wa jamvi lako mwenyewe kwa kuchagua unataka machaguo yapi kutokana na timu ambazo umechagua lakini pia kulingana na mwenendo wa hizo timu ulizochagua kwaajili ya kubashiri.
Kupitia BET BUILDER, unaweza kutengeneza utabiri wako kwa namna unayoamini. Chagua timu itakayoshinda, mchezaji atakayefunga, idadi ya mabao, kona, kadi au matukio mengine mengi ndani ya mechi moja. Kadri unavyoongeza machaguo sahihi, ndivyo odds zako zinavyopanda na kufanya ushindi wako kuwa mkubwa zaidi.
Unapotumia BET BUILDER kumbuka kuwa huwezi Kucash out mkeka wako kwahiyo inabidi usubiri mpaka mechi zote ambazo umechagua ziishe ndipo uweze kutoa pesa zako ndani ya Meridianbet. Lakini pia chaguo hili unaweza kulipata kwenye mechi ambazo zinaendelea yaani za LIVE.
Tengeneza pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Je unajua kuwa Tofauti kubwa ya BET BUILDER na ubashiri wa kawaida ni kwamba hapa wewe ndiye unatengeneza mchezo wako. Meridianbet imeweka kila kitu mikononi mwako ili uweze kutumia maarifa yako ya mpira kutengeneza nafasi kubwa ya kushinda.
Kila mechi sasa inakuwa na msisimko mpya kwa sababu unakuwa umeunda jamvi lako kulingana na uchambuzi wako mwenyewe.
Hili ni soko ambalo watu wengi wameanza kulitumia kwani linakupa nafasi nzuri ya kuchanganua vyema machaguo ambayo unayataka. Huu ni muda ambao hutakiwa kurudi nyuma bali unachotakiwa kufanya ni kuchangamkia fursa hii siku ya leo.
Ingia kwenye akaunti yako ndani ya Meridianbet leo, tumia BET BUILDER na uonyeshe ubingwa wako wa kutabiri mechi. Odds kubwa, burudani ya kiwango cha juu na nafasi ya kushinda pesa nyingi vinakusubiri sasa hivi.