×

Real Sociedad Kuendeleza Ubabe Dhidi ya Girona La Liga leo

Leo Alhamisi Mei 14, saa 22:00, Girona watakuwa wenyeji wa Real Sociedad kwenye uwanja wa Montilivi katika mchezo wa La Liga unaoanza dakika 90 za mkazo. Girona wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wakiwa na pointi 38 baada ya mechi 35, wakiwa wamepata ushindi mara 9 tu msimu mzima.

Real Sociedad wapo nafasi ya 9 wakiwa na pointi 43, wakiwa na rekodi ya ushindi 12, sare 7 na kufungwa 16 . Hivyo ni mchezo muhimu kwa sababu Girona wanatofautiana na eneo la kushuka daraja kwa pointi 3 tu, huku Real Sociedad wakitafuta kukaribia ukanda wa mashindano ya Ulaya wakiwa na tofauti ya pointi 2 tu .

Katika mechi 11 za Ligi kati ya timu hizi tangu 2017, Real Sociedad wameshinda mara 4, Girona mara 1, na sare mara 6 . Kwenye uwanja wa Montilivi, Girona hawajawahi kushinda dhidi ya Real Sociedad kwenye historia ya Ligi rekodi ni sare 3 na kupoteza 2 katika mechi 5 za nyumbani .

Msimu huu walikutana Desemba 12, 2025 na Girona walishinda 2-1 ugenini, ambayo ilikuwa ushindi wao wa pekee dhidi ya timu hii . Real Sociedad hawajapoteza katika mechi 10 kati ya 12 za mwisho za kukutana kwa jumla. Katika michezo 5 iliyopita ya Ligi, Girona wamepata ushindi 1, sare 1 na kufungwa 3.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Girona wana mgogoro mkubwa wa majeruhi. Kipa wao Gazzaniga Paolo ana kadi nyekundu, Vanat Vladyslav, Ruiz Abel na Portuambao wote hawata weza kucheza mchezo huu kutokana na majeraha yanayo wakabili.

Kwa upande wa Real Sociedad, Álvaro Odriozola ana jeraha, Karrikaburu Jon na Gonçalo Guedes hawajafanya mazoezi na wameondolewa kwenye kikosi cha mechi . Hata hivyo, Sergio Gómez, Beñat Turrientes na Pablo Marín wamepona majeraha madogo na wako tayari kucheza. Jisajili  

Leave a Comment