×

Je, Bournemouth Wataweza Kumzuia Manchester City Leo?

Bournemouth wanaingia mchezo huu wakiwa na hisia tofauti mkufunzi Andoni Iraola ametangaza kuwa huu utakuwa mchezo wake wa mwisho kwenye uwanja wa Vitality kabla ya kuondoka klabuni.

Hali hii imeleta wito mkubwa kwa wachezaji na mashabiki kumuaga kwa ushindi. Kwa upande mwingine, Manchester City wanakabiliwa na uwezekano wa kuishia msimu bila taji la Ligi kwa mara ya kwanza tangu 2020, jambo linaloongeza mkazo kwa wachezaji wa Guardiola. Ruben Dias na John Stones wanatarajiwa kuwa walinzi wakuu, lakini watalazimika kukabiliana na kasi ya Bournemouth wanaocheza mbele ya mashabiki wao.

Kwa mara ya kwanesta msimu huu, mechi hii inachezwa Jumatatu usiku (saa 21:30 EAT), badala ya wikendi. Ratiba hii imetokana na ushiriki wa City katika fainali ya FA Cup Mei 16, ambako walichukua kombe kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea

Hivyo, City wana mapumziko ya siku mbili tu kati ya fainali na mchezo huu muhimu wa Ligi. Uchovu wa viungo muhimu kama Bernardo Silva (dakika 78) unaweza kuathiri kasi ya mchezo. Bournemouth wamepumzika kwa siku nzima saba tangu mechi yao ya mwisho dhidi ya Brentford.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kutokuwepo kwa Ryan Christie (kadi nyekundu) kumeacha pengo kubwa katika uwanja wa kati wa Bournemouth. Christie amekuwa akitoa pasi 12 kwa usahihi katika kila mechi na kukata mashambulizi 7. Nafasi yake anachukuliwa na Joe Rothwell, ambaye hana uzoefu wa kucheza dhidi ya timu kama City.

Hapa ndipo Phil Foden anapoweza kufaidika  Foden amekuwa akifunga mabao 4 katika mechi 6 za mwisho Ligi Kuu, akitumia nafasi za wazi kwenye pembeni. Kwa upande wa City, Rodri atalazimika kufanya kazi nzito ya ulinzi, lakini amekuwa akionyesha dalili za uchovu baada ya kucheza dakika 300 katika siku 11 zilizopita.

Badala ya kuzingatia ubora wa City, makala haya yanaweka mkazo katika “kosa la Bournemouth”  timu za Iraola hushambulia kwa wachezaji 6 hadi 7, wakiacha nafasi kubwa nyuma. Haaland amekuwa akifunga mabao 5 katika mechi 4 za mwisho dhidi ya timu zinazocheza mpira wazi. Jisajili

Leave a Comment