×

Hispania vs Austria Kukiwasha leo Kusaka Nafasi ya 16 Bora Kombe la Dunia

Imefika ile hatua ambayo hakuna kitakachokusaidia zaidi ya ushindi kwenye michuano hii ya Taji Kubwa Duniani. Leo hii ni Hispania vs Austria kwenye kuwania nafasi ya kusonga mbele. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti mechi hii.

Mechi ya Hispania dhidi ya Austria inatarajiwa kuwa ya ushindani mkali kabisa ambapo kila timu ikiwa na uchu wa kusonga mbele kwenye hatua ya 16 ya michuano hii mikubwa Duniani. Zinakutana timu mbili zenye falsafa na mtindo tofauti ya uchezaji ambapo vijana wa Luis de la Fuente wanasifika kwa kumiliki kwa mpira na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.

Vijana wa Ralf Rangnick ni timu ambayo inajikita zaidi kwenye kujilinda zaidi yaani nidhamu ya hali ya juu, nguvu na kufanya pia mashambulizi ya haraka pale ambapo wanapata mpira kwani uwezo wao wa kumiliki mpira sio mkubwa ukilinganisha na ule wa mabingwa wa Ulaya.

Huku kwa upande wa vijana wa Luis de la Fuente wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao mpaka sasa kama vile Lamine Yamal, Olmo, Pedri, Oyarzabal, Rodri, Merino na wachezaji wengine ambao kwa pamoja wanaifanya timu hii kuwa tishio. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii. Beti sasa.

Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwenye Kundi lao Austria walimaliza nafasi ya pili baada ya kujikusanyia pointi 4 ambapo leo hii wanatarajiwa kumzuia Mhispania kwenda hatua ya 16 bora wakiwa na wachezaji kama vile Konrad Laimer, Sabitzer, David Alaba, Schmid ambao hawa ndio mastaa wa timu hiyo.

Wababe hao wa Europe inahitaji huu mchezo kwa hali na mali kwani ni miaka 16 imepita toka wawe mabingwa ambapo ilikuwa ni 2010. Lakini pia timu hii ni moja ya zile timu 6 zinazopewa nafasi kubwa ya kuondoka na kombe hili mwaka huu.

Kila timu hujipanga na huja na mbinu tofauti ilimradi iweze kuvuka kwenye hatua inayofuata ya mashindano haya. Mashabiki wengi Duniani wanasubiri kuona kama timu hii ya De la Fuente wanaweza wakafanya vyema kama ilivyokuwa kwenye michuano ya Euro.

J eunajua kuwa hii ni nafasi pia kwa wachezaji ambao wanahitaji kusajiliwa kwenye vilabu vingine, nafasi ya wao kuonesha ubora kwenye hizi mechi ni muhimu sana kwani ni chache sana hivyo kutumia nafasi wanazopata ni muhimu sana.

Je Austria anaweza akamzuia Hispania kwenda hatua inayofuata ya mashindano haya makubwa Duniani?. Tengeneza jamvi lako la ushindi na ushinde siku ya leo.

Leave a Comment