
Kila mtu anatamani na kuhitaji kuona kampuni anayoiamini ikiwa na mchango wa kweli katika kuboresha maisha ya jamii inayowazunguka. Hilo ndilo Meridianbet imeendelea kulifanya kwa vitendo, ikionyesha kuwa mafanikio ya biashara yana maana pale yanapoweza kugusa maisha ya watu. Safari hii kampuni hiyo imefika Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni iliyopo Mabwepande na kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya usafi ikiwemo sanitizer, dustbins, sabuni, gumboots, mifagio, pamoja na vifaa vingine muhimu vitakavyosaidia kuboresha mazingira ya hospitali. Tukio hilo limeacha alama ya matumaini kwa wagonjwa, watumishi wa afya na wananchi wote wanaotegemea huduma zinazotolewa hospitalini hapo.
Mazingira safi ni sehemu muhimu ya huduma bora za afya. Ndiyo sababu msaada huo umekuja katika wakati unaofaa, ukiwa na lengo la kuongeza usalama na faraja kwa wagonjwa pamoja na watumishi wa hospitali. Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano, Afisa Habari wa Meridianbet, Nancy Ingram, alisema kampuni hiyo inaamini kuwa kila mafanikio yanapaswa kwenda sambamba na kurudisha thamani kwa jamii. Alieleza kuwa sera ya uwajibikaji kwa jamii imekuwa sehemu ya utamaduni wa Meridianbet kwa miaka mingi, ndiyo maana kampuni imeendelea kushiriki katika miradi inayolenga kuboresha sekta ya afya, elimu na ustawi wa makundi mbalimbali ya jamii.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Furaha ya kupokea msaada huo ilionekana wazi kwa viongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni ambao walitoa shukrani zao kwa Meridianbet kwa kuendelea kuwa mstari wa mbele kusaidia taasisi zinazohudumia wananchi kila siku. Walieleza kuwa vifaa hivyo vya usafi vitakuwa msaada mkubwa katika kuhakikisha mazingira ya hospitali yanabaki safi, salama na yenye kuendana na viwango vinavyohitajika katika utoaji wa huduma za afya. Kwao, msaada huo si vifaa pekee, bali ni ishara ya mshikamano na ushirikiano kati ya sekta binafsi na sekta ya afya. Kwa miaka kadhaa sasa Meridianbet imeendelea kuandika historia kupitia miradi mbalimbali ya uwajibikaji kwa jamii, ikisaidia shule, vituo vya watoto yatima, hospitali na taasisi nyingine zinazogusa maisha ya maelfu ya Watanzania.
Meridianbet imeendelea kuthibitisha kuwa kampuni inaweza kuwa chanzo cha burudani, mafanikio na maendeleo kwa wakati mmoja. Hii ndiyo sababu vijana wengi wanaendelea kuichagua kama sehemu yao ya kwanza wanapotafuta michezo ya kasino mtandaoni na ubashiri wa mechi za kimataifa. Lakini zaidi ya yote, wanaichagua kwa sababu wanajua nyuma ya burudani hiyo kuna kampuni inayorudisha thamani kwa jamii kupitia miradi yenye manufaa makubwa.