×

Selemani Mwalimu ‘Gomez’ na Ali Kamwe Watua Zanzibar, Arafat Awapokea – Picha

Mshambuliaji Selemani Mwalimu ‘Gomez’ leo Agosti 11, 2026 amewasili Visiwani Zanzibar akiwa pamoja na Ali kamwe, ambapo amepokelewa na Makamu wa Rais wa Klabu hiyo, Arafat.

Gomez amewasili Zanzibar katika hatua ambayo inaendelea kuongeza msisimko kuhusu safari yake mpya ya soka, huku uongozi wa klabu ukianza kumkaribisha rasmi baada ya kuwasili visiwani humo.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, klabu hiyo imethibitisha kuwasili kwa Gomez pamoja na Alikamwe na kueleza kuwa wamepokelewa na Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Arafat.

Hatua hiyo inatajwa kuwa sehemu ya maandalizi ya shughuli zinazohusiana na ujio wa Gomez ndani ya klabu hiyo kuelekea msimu mpya wa mashindano.

Leave a Comment