
Kwa dau dogo tuu unaweza ukatengeneza zaidi ya Mamilioni, mechi kibao za ushindi zipo kwaajili yako. Unasubiri nini sasa? Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi leo.
SERIE A kule ITALIA kutawaka sana, Napoli uso kwa uso na AS Roma ambapo hii ni moja ya mechi kali zinazotarajiwa kupigwa.
Napoli wanaingia kwenye mchezo huu baada ya kupata ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Bodø/Glimt katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, matokeo yaliyowapa nguvu mpya baada ya kupoteza mchezo wao wa ligi dhidi ya Venezia kwa bao 1-0. Wakiwa nyumbani, Napoli watategemea uzoefu na uwezo wa wachezaji wao wa kushambulia, akiwemo Scott McTominay, ambaye alifunga mabao mawili katika mchezo uliopita wa Ulaya.
AS Roma, kikosi cha kocha Gian Piero Gasperini kinaonekana kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo. Roma waliifunga Genoa mabao 2-0 katika Serie A kabla ya kuichapa Slovan Bratislava mabao 4-0 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mechi hii inaweza kukupatia maokoto pale Meridianbet, hivyo ingia na ushinde siku ya leo.
Jichukulie pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa upande wa Hispania, LALIGA kutakuwa na mechi nyingi, lakini sisi tutajikita kwenye mechi ya Valencia dhidi ya Villarreal ambapo wenyeji wao wanaingia kwenye mchezo huu ikiwa na changamoto ya kupata ushindi, kwani katika mechi zake mbili zilizopita za ligi imetoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Racing Santander na sare ya bila kufungana dhidi ya Athletic Club.
Wakati kwa upande wa Villarreal, timu hiyo inaonekana kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kushambulia, ingawa nayo imekuwa na matokeo yasiyo thabiti. Imepoteza dhidi ya Real Madrid na kutoka sare ya bila kufungana na Elche katika mechi zake mbili za mwisho za ligi. Bashiri mechi hii sasa.
Ligi kuu ya Uingereza EPL itaendelea kwa mechi kibao tuu, lakini mechi ya mapema ni hii ya Aston Villa dhidi ya Manchester City ambao ndio wanaongoza ligi wakiwa na pointi zao 21 huku wenyeji wao wakiwa na pointi 8 hadi sasa.
Aston Villa inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na matumaini baada ya kuifunga Newcastle United bao 1-0 katika mchezo wake uliopita wa ligi. Kikosi cha Unai Emery kimeonyesha uwezo wa kupata matokeo mazuri, lakini bado kina changamoto katika safu ya ulinzi. Je nani kushinda?. Beti hapa.
Kwa upande wa Manchester City, kikosi hicho kinaingia kwenye mchezo huu kikiwa na morali kubwa baada ya kushinda mechi zake tano za mwisho za ligi. Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Liverpool na wa 3-2 dhidi ya Ipswich Town unaonyesha uwezo wao wa kushambulia na kupata matokeo dhidi ya wapinzani tofauti. Jisajili hapa.
Msimu uliopita, City alipigika kwenye mechi zote mbili alizocheza na vijana hawa wa Unai. Je atalipa kisasi?. ODDS KUBWA zipo hapa.
Mechi kubwa itakuwa ni London Derby, Yaani Chelsea dhidi ya Tottenham Hot Spurs ambao wameanza msimu vibaya wakipata ushindi wa kwanza kwenye mechi yao iliyopita.
The Blues chini ya Carrick wapo nafasi ya 4 na wanahitaji ushindi kuendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri za msimamo wa ligi. Hii ni mechi ambayo timu zote zinahitaji kupata ushindi huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet akipewa Chelsea kutokana na kiwango chake.
Msimu uliopita, Spurs walipoteza mechi zote mbili walipokutana na The Blues, Je huu ni muda wa wao kulipa kisasi huku pointi 3 za mchezo huu zitawafanya watoke nafasi waliyopo.