×

Vodacom Yawafundisha Vijana wa UDSM Kutumia Teknolojia na Huduma za Kifedha za Kidijitali

Vodacom Tanzania imewafundisha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye fursa za mafunzo na huduma za kifedha, wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika chuoni hapo Novemba 20, 2026.

Katika hafla hiyo, wanafunzi walipata maelezo kuhusu mpango wa TECHSTART, unaowawezesha kupata mafunzo ya Microsoft bila malipo, pamoja na huduma ya M-Wekeza inayowapa fursa ya kuanza kuwekeza na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Aidha, mmoja wa wanafunzi alikabidhiwa zawadi na wawakilishi wa kampuni hiyo.

Leave a Comment