
Roma Mkatoliki alifunga ndoa April 9 2016 Jijini Tanga na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye wamefanikiwa kupata mtoto mmoja aitwaye Ivan.
Wakionyesha Pete kama ishara ya kuwa pamoja hadi kifo kitakapo watenganisha.
….Wakifurahia baada ya tukio hilo.


Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliohudhulia harusi hiyo.
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, INGIA NA LIKE PAGE YA FACEBOOK YA ERIC SHIGONGO===>https://www.facebook.com/shigongotz/
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA TUFOLLOW
INSTAGRAM===>https://www.instagram.com/globalpublishers/
TWITTER===>https://twitter.com/GlobalHabari
FACEBOOK===>https://www.facebook.com/GlobalPublishers
YOU TUBE===>https://www.youtube.com/user/uwazi1