Mtangazaji maarufu ambaye anafanya kazi Kituo cha Redio cha Times FM cha jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’
Na Gladness Mallya na Hamida Hassan, AMANI
BAGAMOYO: Mtangazaji maarufu ambaye anafanya kazi Kituo cha Redio cha Times FM cha jijini Dar es Salaam, Khadija Shaibu ‘Dida’ (pichani) anadaiwa kupora mume wa Halima Shaban, aliyeishi naye katika ndoa kwa miaka 15 na kujaaliwa watoto wawili.
- Chanzo kinasemaje?
- Kumbe mwanaume huyo, Issa Seleman, anatajwa pia kuwa ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukuni, uliopo wilayani Bagamoyo, Pwani kwa miaka kumi.
Mwanaume anayedaiwa kupara Dida, Issa Seleman.
- Wakazi wa Mtaa wa Ukuni, walalamika mwenyekiti wao kutoonekana baada ya kuzama kwenye mahaba na Dida.
- Mwenyekiti huyo ahamia Dar.
- Dida anasemaje
- Afunguka mengi kuhusu kuchukua mume wa mtu, adai kuwa ataolewa wakati wowote.
- Amfungukia mwanaume huyo kutokuingia ofisini.
- Mwanaume anasemaje?
- Issa afunguka mengi ya moyoni kuhusu uhusiano wake na Dida.
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA AMANI, LEO April 21, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
