NA MWANDISHI WETU, RISASI MCHANGANYKO
DAR ES SALAAM: Kufuatia kifungo cha miaka miwili jela kwa mwanadada Siwema Edson (28) ambaye alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya kujipatia pesa kwa njia ya vitisho kutoka kwa kigogo mmoja ambaye jina liko kapuni kwa sasa, madai mapya ni kwamba, mrembo huyo amehenyeshwa gerezani, Risasi Jumatano linakufunulia.
Mbongo Flava, Emanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’ akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Siwema Edson
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Siwema ambaye ni mzazi mwenzie na nyota wa Bongo Flava, Emanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, alipofikishwa gerezani tu alinyolewa nywele, akapewa mavazi ya ufungwa na kuoneshwa sehemu za kufanyia usafi.
TWENDE NA CHANZO
“Jamani nimesikia kuhusu Nay ameapa kwamba anamtafuta mwanasheria mkali ili ageuze kibao cha Siwema, badala ya kufungwa apigwe faini….Endelea kusoma kwa kufanya yafuatayo hapa chini..
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA RISASI JUMATANO, LEO April 27, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
