Aika na Nahreel wa Navy Kenzo.
Stori: Boniphace Ngumije
Kundi la muziki linaloundwa na wapendanao wawili Aika na Nahreel ‘Navy Kenzo’ hivi karibuni lilikutana na changamoto baada ya kushushuliwa na baadhi ya mashabiki wa muziki nchini ambao walidai Wimbo wa Kamatia hawakufanya wao bali ulifanywa na wasanii kutoka Nigeria.
Akichonga kiaina na Uwazi Showbiz, Aika alisema kuwa changamoto hizo walizipata hasa mikoani walipokuwa kwenye ‘tour’ ya wimbo wao huo iliyokwenda kwa jina la Kamatia Right Up lakini walijitahidi kuwaelewesha watu kuwa wimbo ni wao.
“Ilitushangaza kweli kuona baadhi ya watu tuliokuwa tunakutana nao kwenye baadhi ya matamasha na kupiga nao stori wakitwambia Wimbo wa Kamatia siyo wetu, lakini huenda swagz tulizozitumia katika wimbo huo ndizo zilizowapoteza wengi mpaka kufikiria hivyo.” Alisema Aika.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz