×

Pichaz: Muhammad Ali Alivyoagwa Kiislamu

muhammad aliJeneza lenye mwili wa aliyekuwa championi wa ngumi za kulipwa duniani, Muhammad Ali ukiwasili kwa ajili ya mazishi katika taratibu za Kiislamu huko, Louisville, Kentucky, U.S. jana June 9, 2016.

muhammad ali1Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa championi wa ngumi za kulipwa duniani, Muhammad Ali ukiwasili kwa ajili ya mazishi katika taratibu za Kiislamu huko, Louisville, Kentucky, U.S. jana June 9, 2016.Muhammad Ali (2)Muhammad Ali enzi za uhai wake.

muhammad ali2Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa championi wa ngumi za kulipwa duniani, Muhammad Ali ukiwasili kwa ajili ya mazishi katika taratibu za Kiislamu huko, Louisville, Kentucky, U.S. jana June 9, 2016.
muhammad ali4 Maelfu walihudhuria kuaga mwili wa Muhammad Ali, Louisville, Kentucky, U.S. muhammad ali5
Wanawake wa Kiislamu wakiswali wakati wa kuaga mwili wa marehemu Muhammad Ali. muhammad ali6
Picha za kumbukumbu zikichukuliwa. muhammad ali7
Picha za kumbukumbu zikichukuliwa. muhammad ali8
Shughuli ya kuaga ikiendelea.

Leave a Comment