×

Mfuko wa Pensheni wa LAPF Unawakaribisha Katika Banda Lao Sabasaba

LAPF PHOTO 2 LAPF PHOTO 4 LAPF PHOTO 5

LAPF PHOTO 1

Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika banda lao lililopo Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment