×

Gift kutoka na Christina Shusho

GOSPGift George ‘Gift’

Stori: BONIPHACE NGUMIJE

MSANII anayeuza sura kwenye kiwanda cha Filamu Bongo aliyetimkia kwenye Muziki wa Injili pia, Gift George ‘Gift’ amefunguka kuwa baada ya kutoa ngoma zake za awali zilizofanywa na prodyuza maarufu wa Injili Dammy, Uwepo wa Mungu pamoja na Ndoa anayoiachia mapema wiki ijayo, yuko katika harakati za kufanya kazi na mwanamuziki wa Injili mwenye ‘title’ Bongo, Christina Shusho.

shushoChristina Shusho.

Akichonga na Risasi Jumamosi, Gift alisema anahitaji kufanya kazi na Shusho kwa sababu ni kati ya wasanii anaowakubali na kupitia yeye anafikiri ataendelea kujikusanyia mtaji wa mashabiki kwenye Muziki wa Injili.

Leave a Comment