×

Wasomaji Walikubali Gazeti La Amani

SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mjasiriamali wa Buguruni Sokoni, Kivugumiza Banyunga akisoma Gazeti la Amani lenye maboresho.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Baadhi ya wafanyabiashara wa Vingunguti Machinjioni wakiperuzi Gazeti la Amani kwa pozi.

SAMSUNG CAMERA PICTURES
Meneja Masoko wa Global Publisher, Yohana Mkanda akimuonyesha msomaji, Ziada Mwasa wa segerea maboresho ya Gazeti la Amani.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Erasmus Mapunda wa Vinginguti akisoma gazeti analolipenda la Amani.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Joyce Mmali ambaye ni mama lishe maarufu katika Soko la Buguruni akiwa na Gazeti la Amani.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mmoja wa wasomaji wa Gazeti la Amani,  Tegemeo  Mohamed akiwa kwenye pozi.

SAMSUNG CAMERA PICTURES
Muuzaji wa Gazeti la Amani , Hadija akizungumza na wasomaji wa Buguruni.

Na Gabriel Ng’osha/GPL

Wasomaji wa viunga mbalimbali vya jiji la Dar leo wamelisifia Gazeti la Amani kutokana na kuboreshwa kwa habari, simulizi, machombezo na hadithi na habari nzuri za uchunguzi.

Timu ya Promosheni ya Gazeti la Amani ambalo linatoka kila Alhamisi ilizunguka Kinondoni, Buguruni, Vingunguti, Segerea, Tabata na kwingineko ambako wasomaji walio wengi walililisifia gazeti hilo kwa kuboresha.

“Gazeti la Amani ni kweli limeboreshwa naona hadithi nzuri na zakutosha, endeleni kutupa kile kicho bora wasomaji wenu, kwani tunawaamini sana kwenye habari za uchunguzi na mastaa,’’alisema Jeremia Sadick mkazi wa Buguruni, Dar.

Leave a Comment