×

Sikinde Watembelea Global Publishers

sikinde-2-001Wanamuziki hao wakiwa wamepozi mbele ya kamera za Globa TV.

sikinde-1-001Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (wa pili kulia) akiwa ametabasamu na wanamuziki hao.

sikinde-6-001Mhasibu wa Global, Laurence Kabende ( wa kwanza kushoto) akiwa amepozi na wanamuziki wa Sikinde.

sikinde-5-001Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (wa kwanza kushoto) akiwa na wanamuziki hao.

sikinde-4-001Afisa Usambazaji wa Global, David Mwaipaja (wa kwanza kushoto) akiwa amepozi na wanamuziki hao.

Baadhi ya wanamuziki wanaounda Bendi ya Sikinde Ngoma ya Ukae, leo wametembelea ofisi za Global Publishers ambapo mbali na kukutana na kubadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi, pia walifanyiwa mahojiano kupitia Global TV Online.

Kiongozi wa bendi hiyo, Abdallah Hemba akizungumza na wafanyakazi wa Global alieleza furaha aliyokuwa nayo kwa kufika katika chombo hicho cha habari na kuomba ushirikiano zaidi ili waweze kupiga hatua kwenye ulimwengu wa muziki.

Ili kupata mahojiano kamili waliyofanyiwa kupitia Global TV Online, tembelea www.globaltvtz.com