Wakala wa Vodacom Tanzania, Abdallah Magala akimfafanulia jambo Alen Anatory ambaye ni mkazi wa Morogoro, kuhusiana na simu aliyonunua katika gulio la Smart phone liliondandaliwa na kampuni hiyo na kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba, mkoani humo mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakimsikiza kwa makini Bw. Robert Mwaisambo mkazi wa Morogoro, alipofika kununua simu katika gulio la Smart phone liliondandaliwa na kampuni hiyo katika Viwanja vya Sabasaba, mkoani humo mwishoni mwa wiki.

