Baadhi ya wananchi wakifuatilia mahojiano ya vyombo mbalimbali vya habari na Rais Magufuli kwenye runinga.
WANANCHI leo walifuatilia mahojiano kati ya Rais John Magufuli na vyombo vya habari leo huko Ikulu kupitia vyombo mbalimbali vya habari vikiwemo luninga, yaliyofanyika katika ukumbi maalum wa mikutano jijini Dar es Salaam.
Na Denis Mtima/Gpl.