The House of Favourite Newspapers

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018 HAYA HAPA

Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde.

BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.

 

Wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran Seminari  ya Malinyi mkoani Morogoro wamefutiwa matokeo baada ya kubaini shule hiyo ilivujisha mtihani huo.

Mbali na kufuta matokeo hayo, Necta imekifungia kituo hicho cha kufanyia mtihani.

Hayo yameelezwa leo Alhamisi Januari 24, 2019 na Katibu Mkuu mtendaji wa baraza hilo, Dk Charles Msonde wakati akitangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 mkoani Dodoma.

Msonde ameagiza wahusika wote kuchukuliwa hatua wakiwemo polisi waliosimamia.

Kutazama matokeo bonyeza hapa MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

TAZAMA HAPA ===> MATOKEO YA QT

MATOKEO KIDATO CHA NNE ===> BOFYA HAPA

Matokeo Bofya Hapa =>

au =>

au =>

SHULE KUMI BORA KITAIFA

1. ST. FRANCIS GIRLS
2. KEMEBOS
3.MARIAN BOYS
4.AHMES
5.CANOSSA
6. MAUA SEMINARY
7. PRECIOUS BLOOD
8. MARIAN GIRLS
9. BRIGHT FUTURE GIRLS
10. BETHEL SABS GIRLS

 

SHULE KUMI ZA MWISHO KITAIFA
1. Pwani Mchangani -Kaskazini Unguja
2. Ukutini – Kusini Pemba
3. Kwediboma – Tanga
4.Rwemondo – Kagera
5. Namtula – Lindi
6.Kijini -Kaskazini Unguja
7.Komkalakala -Tanga
8.Kwizu – Kilimanjaro
9. Seuta -Tanga
10. Masjid Quban Muslim – Dar es Salaam

Kutazama matokeo yapo hapa chini

Kutazama matokeo bonyeza hapa MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

TAZAMA HAPA ===> MATOKEO YA QT

MATOKEO KIDATO CHA NNE ===> BOFYA HAPA

Matokeo Bofya Hapa =>

au =>

au =>

WATAHINIWA WALIOFANYA VIZURI KIDATO CHA NNE 2018, MATOKEO YAKO HAPA

 

SHULE 10 BORA NA ZA MWISHO MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.