The House of Favourite Newspapers

Shule 10 zilizofanya vizuri zaidi mtihani kidato cha nne hizi hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) leo limetangaza matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha nne uliyofanyika Novemba 2018, na kutaja shule 10 zilizofanya vizuri kwa shule zenye watahiniwa zaidi ya 40.

Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde amesema Shule ya St. Francis ya Mbeya imeongoza kwa ufaulu huku Shule ya Pwani mchangani ya Pemba ikiwa ya mwisho .

 

Kutazama Matokeo ==> Bofya Hapa

au INSTALL GLOBAL APP KUTAZAMA VIZURI

==>

==>

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.