×


Amani
Ukawa, CCM sasa lala salama

VITA vya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu inazidi kukolea na kwa mujibu wa habari kutoka kambi mbili pinzani za Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

SOMA ZAIDI

Jb atamba ‘kumfufua’ kuambiana

Staa kwenye sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’. Imelda Mtema Makubwa! Staa bonge la bwana kwenye sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ ametamba kuwa ‘atamfufua’…

SOMA ZAIDI


40 ya Tiffah yaacha Madeni!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na mpenzi wake Zari wakiwa na mtoto wao Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’. https://www.youtube.com/watch?v=XP70rbMigMQ OHOOO! Kuna madai kwamba,…

SOMA ZAIDI

Mpoto: Nataka msiba wangu uwe mkubwa

Imelda Mtema Dah! Mwanamuziki mahiri wa mashairi ya kughani Bongo, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ amefungua kinywa na kusema kuwa anataka siku akifa msiba wake uwe mkubwa….

SOMA ZAIDIMagufuli: Niko fiti

Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli akipiga push up jukwaani. Stori: Na Richard Bukos, Kagera NIKO fiti! Ndivyo alivyosema mgombea urais…

SOMA ZAIDI


Diamond azua kizaazaa

Kundi kubwa la vijana wakigombea kumuona mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’, katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba. Stori: Richard Bukos aliyekuwa Kagera UNAZI! Kundi kubwa la…

SOMA ZAIDI

Wema: Sherehe ya Tiffah haikunihusu

Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’. Imelda Mtema Staa asiyechuja Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuhudhuria kwenye 40 ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul…

SOMA ZAIDI


Mwakifwamba awatemea cheche wasanii

Gladness Mallya RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba amewatemea cheche wasanii na kuwataka kuachana na kuendekeza kupokea fedha za wanasiasa tu bila…

SOMA ZAIDIAliens akamatwa, ahifadhiwa!

Wiki iliyopita nilizungumzia eneo hatari linaloaminika kuwa ni makao ya Aliens au makao makuu ya shetani hapa duniani. Ni Bermuda Triangle inayopatikana Pwani ya Kusini-Mashariki…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online