×

Amani

Serikali yakamata Mali za bilionea wa unga

Akiwa mikononi mwa polisi. Mwandishi wetu KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Matonya awaka kisa, utapeli!

Mkali kitambo kunako muziki wa Bongo Fleva, Seif Shaban ‘Matonya’. Na Mwandishi Wetu MKALI kitambo kunako muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Mama ambana Diamond uhalali wa Tiffah

Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’. Brighton Masalu SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa...

READ MORE

Kapili ajitosa umeya wa Ilala

Msanii  kutoka Bongo Movie Boniventure Mphuru ‘Kapili’. MSANII kutoka Bongo Movie aliyejiingiza kwenye siasa na kuwa Diwani wa Kata ya Pugu,...

READ MORE

Kidoa akomaa na madairekta wapenda ngono

Video Queen wa Ngoma ya Akadumba, Asha Salum ‘Kidoa’. VIDEO Queen wa Ngoma ya Akadumba, Asha Salum ‘Kidoa’ amewakomalia madairekta...

READ MORE

Kupa apigwa chupa klabu

Msanii wa filamu za Kibongo, Rashid Makupa ‘Kupa’. MSANII wa filamu za Kibongo, Rashid Makupa ‘Kupa’ hivi karibuni alikuwa katika...

READ MORE

Jokate afungukia uzuri wake

Staa mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jokate Mwegelo. Na Imelda Mtema STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jokate Mwegelo amefungukia...

READ MORE

Ommy Dimpoz achomoa kolabo na Patoranking

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’. Mayasa Mariwata LICHA ya tetesi kuenea kuwa mkali wa muziki...

READ MORE

Familia yatinga Hospitali ikidai pesa

Watoto wa familia ya mzee Michael Mgunda (72) wakiwa nje ya Kituo cha Afya cha Mselem (Mselem Medical Center), Kipunguni,...

READ MORE

Waziri Mkuu TZ ‘Sapraizi’

Stori: Na Mwandishi Wetu WAKATI kitendawili cha nani anakuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikiteguliwa leo mjini...

READ MORE

Kuna viumbe wengine nje ya dunia tunayoishi?

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilieleza namna ambavyo viumbe wanaosadikiwa kuishi angani wa Aliens walivyohusishwa na ule...

READ MORE

Kajala, Wema wazichapa Klabu

Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema Piga nikupige! Mastaa wenye taito kubwa kunako tasnia ya filamu Bongo, Kajala Masanja ‘Kay’...

READ MORE

Luteni Karama: Kolabo na Mfaransa imenirudisha upya

Mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva, Luteni Karama. Mwandishi wetu MKONGWE katika muziki wa Bongo Fleva, Luteni Karama amefungukia kolabo aliyoachia...

READ MORE

Ali Kiba akasirishwa wasanii kuhonga kwenye tuzo

Staa anayekimbiza kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’. BONIPHACE NGUMIJE SUPA staa anayekimbiza kwenye tasnia...

READ MORE

Afya ya Johari yashtua wengi!

KUNENEPEANA! Na ‘kuumuka’ kwa muigizaji wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ kumezua gumzo na mishangao kwa wadau wengi wa filamu...

READ MORE

Jb Ubunge haupo tena moyoni

Kama kawaida ya kolamu hii kuwaletea wasanii mbalimbali na kuwabananisha maswali kedekede ambayo yamekuwa yakiwaumiza vichwa wasomaji wa gazeti hili...

READ MORE

Kajala: Sikujutia kuzaa mapema

Staa ‘grade one’ kunako filamu Bongo, Kajala Masanja. STAA ‘grade one’ kunako filamu Bongo, Kajala Masanja, amefunguka kuwa hakujutia kuzaa...

READ MORE

Wema, Kajala wazichapa klabu!

MTIFUANO! WEMA, KAJALA WAZICHAPA KLABU! -Warushiana glasi, walinzi wahenya kuamua ugomvi -Unajua chanzo ni nini? -Je, ni klabu gani hiyo?...

READ MORE

Mke ashushiwa kipondo kisa ‘selfie’

NJEMBA moja iliyojulikana kwa jina la Pascal ililazimika kumshushia kipondo hevi mkewe baada ya kurudi nyumbani kwake ghafla na kumkuta...

READ MORE

Maiti ya baamedi yaokotwa mtaroni

Unyama! Maiti ya mhudumu wa baa moja iliyopo maeneo ya Mbagala-Misheni jijini Dar, Leah Amosi (24), mwenyeji wa mkoani Dodoma,...

READ MORE

Yaliyomo kwenye Gazeti la Amani, leo Alhamisi

Siku chache baada ya kumtusi Diamond na vijigari vyake vya 30,000/=… Gari la Wema Siri nje -Aliyemhonga ajulikana -Wolper achekelea...

READ MORE

Gari la Wema siri nje!

Supastaa wa filamu za Bongo, Wema Sepetu akiwa ndani ya gari lake alilodai kununua hivi karibuni. MAMBO hadharani! Siku chache...

READ MORE

 Trafiki anaswa kwa rushwa

JESHI la polisi mkoani Tanga limemnasa Askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Antony Temu kwa kudaiwa kupokea rushwa....

READ MORE

Simulizi ya Mrisho Mpoto: Manji Amuomba Kugombea Ubunge, Amtosa

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale alipoanika baadhi ya mali zake na pia...

READ MORE

Wastara: Penzi tamu nililipata kwa Sajuki tu!

Staa wa filamu za Bongo, Wastara Juma. NASEMA ukweli kabisa! Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma...

READ MORE

Aliens wahusishwa na upotevu wa ndege ya Malaysia

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi msomaji wangu wiki iliyopita nilieleza namna ambavyo Wamarekani waliamua kusitisha safari za kwenda mwezini kwa sababu...

READ MORE

Steve Nyerere alishwa sumu

STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na...

READ MORE

Bozi Namchukia Jokate kwa sababu ya kuwa na Ali Kiba!

Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. KAMA kawaida ya kolamu hii kuwaletea wasanii mbalimbali na kuwabananisha na maswali kedekede...

READ MORE

Bodaboda yamvunja bega Masai Nyota Mbofu

Msanii wa Vichekesho, Gilliady Severine ‘Masai Nyota Mbofu’. MSANII wa Vichekesho aliyewahi kutamba na Kundi la Vituko Show, Gilliady Severine ‘Masai...

READ MORE

Mbasha live na kifaa

Emmanuel Mbasha mna mrembo huyo. CHA KUFIA! Msanii wa muziki wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha, Alhamisi iliyopita alinaswa kwenye maongezi...

READ MORE

Shamsa: Bora nife kuliko kurudiana na mume wangu

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford. MAKUBWA!! Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ameibuka na kukataa katakata kurudiana...

READ MORE

Aunt: Sihitaji pedeshee, dansa wangu anatosha

Staa wa filamu Bongo,  Aunt Ezekiel na mpenzi wake, Moze Iyobo. MAKUBWA! Staa wa filamu Bongo,  Aunt Ezekiel amefunguka kuwa wapo watu...

READ MORE

Aunt: Naapa Wema ataniona kwenye kifo

KIAPO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji matata Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ kufunguka kuwa kamwe hatajihusisha kwenye ishu yoyote ya...

READ MORE

Penzi la Ray, Chuchu… chali

Brighton Masalu DAH! Imebuma! Lile penzi lililoziba masikio ya wengi kati ya waigizaji wakubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu...

READ MORE

TB Joshua ashindwa kulala Nigeria

HATIMAYE, Mwangalizi Mkuu wa Kanisa la Scoan (Synagogue Church of All Nations), Mtume na Nabii Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’...

READ MORE

TB Joshua

HATIMAYE, Mwangalizi Mkuu wa Kanisa la Scoan (Synagogue Church of All Nations), Mtume na Nabii Temitope Balogun Joshua ‘TB Joshua’...

READ MORE

Idris Ageuka Bodigadi Wa Mnamibia!

MSHINDI wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan juzi kati aligeuka bodigadi wa muda wa mshiriki mwenzake...

READ MORE

Khaa! Mrembo ajitosa kwenye tope kusherehekea ushindi wa Magufuli

Mrembo huyo akijigaragaza kwenye matope. SIJALI! Mrembo mmoja mkazi wa mjini Tunduma wilayani Momba mkoani hapa ambaye jina lake halikuweza...

READ MORE

Petit Man ajitosa kwa Dada wa Kiba

MFANYAKAZI wa kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame, Petit Man Wakuache amenaswa akijiweka karibu na dada wa Ali Kiba,...

READ MORE

Tatuu Zamuumbua Esha Buheti

LICHA ya kula kiapo kuwa hatokuja kujichora tatuu ya aina yoyote mwilini mwake miezi kadhaa iliyopita, staa wa filamu Bongo,...

READ MORE