×

Celebrities

Juma Nature Afanya Balaa Dar Live – Video

MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Nature amefanya maajabu katika Jukwaa la Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live...

READ MORE

Shangwe la Zuchu: Khadija Kopa Afanya Maajabu Dar Live – Video

Malkia wa mipasho nchini Tanzania, Khadija Omary Kopa na kundi lake la Ogopa Kopa amefanya Bonge la Shoo katika Jukwaa...

READ MORE

Diamond Agawa Pesa, Chakula Tandale – Video

MSANII wa Bongofleva, Nassibu Abdul maarufu Diamond Platnumz leo Ijumaa Mei 14, 2021 amegawa fedha na chakula kwa baadhi ya...

READ MORE

Wikiendi Ya Kukata Na Shoka Katika Ligi Mbalimbali Barani Ulaya

Mechi za kibabe kuchezwa wikiendi hii, timu nyingi kutafuta ubingwa ili kufuzu mashindano ya ligi mbalimbali. Nani atashuka, nani atapanda...

READ MORE

🔴#Live: Diamond Atoa Msaada Nyumbani Kwao Tandale

MSANII Diamond Platnumz, leo Mei 14 ametoa misaada kwa wananchi wa Tandale ikiwa ni sikukuu ya Eid Al Fitri..

READ MORE

Mondi Kumwaga Zawadi ya Eid Tandale, Kariakoo

Mkurugenzi wa Makampuni ya Wasafi na Star wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anatarajia Kutoa alichojaliwa ikiwa kama zawadi...

READ MORE

McGregor Kinara kwa Mkwanja

Licha ya uwepo wa janga la Virusi Corona ambalo bado limeendelea kuathiri shughuli za michezo mingi duniani kote kwa kukosa...

READ MORE

Rasmi: AJ na Fury Kuzichapa Agosti 14

Sasa ni rasmi pambano la ngumi kati ya mabondia wawili waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury litafanyika Agosti 14 mwaka...

READ MORE

Ferooz Anusurika Kupata Ukimwi

Siku ya Mei 12 ilitoka takwimu mpya za Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ambapo taarifa zinaeleza kuwa watu wa umri...

READ MORE

Harmonize Amtupia Dongo Janjaro ‘Lazima Upimwe’

‘Ukifika lazima upimwe’ hii ni kauli aliyoitoa Harmonize akiwa uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Nyerere leo akitokea Nigeria na...

READ MORE

Youssou Msanii Tajiri Zaidi Afrika

Youssou N’Dour, huyu ni mwanamuziki kutoka nchini Senegal anatajwa kuwa ndiye msanii tajiri namba moja barani Afrika akiwa na utajiri...

READ MORE

Davido Atuhumiwa kwa Wizi

Mtumiaji wa Twitter aliyejitambulisha kama “Thug Life” alimtuhumu Superstar huyo wa afrobeats kuwa mwaka 2020 aliiba kazi ya Victor AD...

READ MORE

Billboard Yatangaza Kumtunuku Drake Tuzo ya Heshima

Billboard wametangaza kumtunuku rapa Drake tuzo ya heshima ya msanii bora wa Muongo (kipindi cha miaka 10). Drake anatarajiwa kutunukiwa...

READ MORE

Nicole Sipendi Sana Umaarufu

MREMBO mwenye figa matata Bongo, Nicole Joyberry hivi karibuni amefunguka kitu asichokipenda sana kwenye maisha yake kuwa ni umaarufu kwa...

READ MORE

Anjella – Nobody (Official Audio)

First Lady wa lebo ya Konde Gang Anjella leo Mei 12, 2021 ameachia wimbo wake wa “Nobody ”. 

READ MORE

Imefichuka: Melinda Gates Alianza Kusaka Talaka Tangu 2019

SIKU chache baada ya wanandoa matajiri zaidi duniani, Bill Gates na mkewe Melinda Gates kutangaza kwenye akaunti zao za mtandao...

READ MORE

Hamorapa: Hata Waniue Mtoto wa Amber Lulu Ni Wangu

PAMOJA na kudaiwa kutekwa kisha kutiwa mbaroni kufuatia kudai mtoto wa msanii wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ aitwaye...

READ MORE

Nisha Atamani Kuolewa na Dimpoz

Unaambia picha ya Ommy Dimpoz imemfanya msanii wa filamu Nisha Bebe kutamani kuolewa na msanii huyo wa muziki wa BongoFleva...

READ MORE

Esma, Petit Man Majanga Tena!

  DADA wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Khan na mzazi mwenzie Hamad Manungwi ‘Petitman Wakuache’...

READ MORE

Diva Amchimba Zari, Apewa za Chembe Mtandaoni

WABONGO wenyewe wanasema wagombanao ndiyo wapatanao! Hicho ndicho kinachojiri kwa sasa kufuatia mtangazaji maarufu Bongo, Loveness Malinzi ‘Diva’ kukesha akimsifia...

READ MORE

Maua Sama: Wasanii Msitufokee!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amewataka wasanii wenzake waache mikwara kwenye kazi.   Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU,...

READ MORE

Kumekucha.. Zari Aipasua Familia Ya Mondi

UNAIKUMBUKA ile vita ya Team Zari na Team Wema? Timu hizi zilikuwa zikiwapigania mastaa hao; kila moja ilimuona mtu wake...

READ MORE

Meneja Atoboa Siri Mamilioni Aliyopiga Idris

MWIGIZAJI wa kimataifa wa Bongo Movies, Idris Sultan ndiye mshiriki aliyechukua Tuzo ya Big Brother Africa mwaka 2014 nchini Afrika...

READ MORE

Gigy Money Aandikiwa Barua BASATA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania Samwel Mbwana ‘Braton’ amesema wamewaandikia barua Baraza la Sanaa la...

READ MORE

Ishu ya Kukondeana! Daktari Aliyemfanyia Wema Upasuaji Avunja Ukimya

Kwa siku za hivi karibuni stori zilizozagaa mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari ni juu afya ya msanii wa...

READ MORE

Breaking: Sakata la Mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa Akamatwa na Polisi

Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel...

READ MORE

Anjella: Harmonize Mungu Atamlipa

ANGELINA George ndiyo majina yake halisi ila kwa wapenzi wa muziki wake kunako Bongo Flevani, wanamnyaka kwa jina la Anjella...

READ MORE

TID: Basata Pigeni Kazi Waimba Matusi Kimya!

Star muziki wa Bongo Fleva @tidmusic ameweka wazi juu ya maoni/ mitazamo ya Wasanii kufuatia mfumo mpya ulioanzishwa na baraza...

READ MORE

Exclusive: Meneja Atoboa Siri ya Harmo Nigeria

UNAAMBIWA katika maisha ili ufanikiwe, basi ni lazima kuwe na ushindani, iwe wa kikazi au kibiashara. Baada ya staa mkubwa...

READ MORE

Kajala, Paula Waula Baada Ya Skendo Ya Harmo

WAKATI mwingine kuna changamoto ambazo unaweza kuzipitia, halafu zikawa ni ngazi ya kupandia kufikia mafanikio f’lani.   Hicho ndicho kimetokea...

READ MORE

Vanessa Anaishi Kwenye Sayari Yake Ya Mapenzi

HEBU jiulize wewe mwenyewe kimyakimya hapo ulipo; kweli wewe ni pisi kali? Kama ndiyo, je, unakumbuka ni lini mwanaume wako...

READ MORE

Wakazi Atema Nyongo “BASATA Ifutwe Tuanze Upya”

Ni wiki yenye muendelezo wa mjadala mpana wa kutoa maoni na upembuzi kuhusu kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa...

READ MORE

Wolper Aanika Ujauzito Wake na Rich Mitindo

Hatimaye Staa wa filamu za Bongo, Jackline Wolpe na mpenzi wake Rich Mitindo wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.  ...

READ MORE

Weka Kete Kwenye Namba Zako Za Bahati Kwenye European Roulette

Sloti ya European Roulette Ukiwa unaelekea mwisho wa wiki yako, pitia duka la Meridianbet ili uweze kujiweka kwenye nafasi ya...

READ MORE

Forbes Wamtangaza Melinda Gates Kuwa Bilionea Mpya

NI stori iliyowagusa wengi huku wengine wakijiuliza maswali bila kuwa na majibu baada ya ndoa ya tajiri wa Dunia Bill...

READ MORE

Producer Lamar: Majani Hakuwa na Imani na Mimi

Producer wa muziki wa BongoFleva Lamar Fishcrab amesema kabla ya kuwa mtayarishaji wa muziki alikuwa rapa na msanii aliyekuwa anamtazama...

READ MORE

Talaka 5 Zilizogharimu Fedha Nyingi Zaidi Duniani

Mei 3 mwaka huu, bilionea Bill Gates ameingia katika kitabu cha historia baada ya kutangaza kuwa yeye na mkewe, Melinda...

READ MORE

Apple Music Yasherehekea kwa Ajili ya Mwezi wa Afrika

WAKATI macho na masikio ya dunia kwa sasa yakiwa yameelekezwa Afrika, Apple Music inasherehekea Mwezi wa Afrika, Mei hii kwa...

READ MORE

Mjadala wa Wasanii na BASATA Kuamuliwa Jumamosi

BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) Mei 1, 2021 wameanza kutumia sheria ya kuzikagua nyimbo zote mpya za wasanii kabla ya...

READ MORE