×

Celebrities

Rayvanny apewa Ufalme wa Harmonize

KUMEIBUKA mjadala mkali juu ya ni msanii gani wa Bongo Fleva mwenye mafanikio zaidi kati ya Rajabu Abdul ‘Harmonize’ na...

READ MORE

Tommy Flavour Aeleza Kudumu na Lynn

MSANII mpya wa Bongo Fleva na memba wa Lebo ya King’s Music, Tommy Flavour ameeleza siri ya kudumu kwenye uhusiano...

READ MORE

Christian Bella atoboa siri ya Mobeto

MFALME wa masauti Bongo, Christian Bella ametoboa siri yake mwanamama Hamisa Mobeto. Bella ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, wazo la...

READ MORE

Bilnas Ajibu Swali! ‘Nitamuoa hata kama ana ukimwi’

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva na mchumba wa sexy lady kunako Bongo Fleva ni, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’, William Lymo ‘Billnass’,...

READ MORE

Janjaro Hana Mpango wa Mtoto

MSANII wa Hip Hop Bongo, Abdulaziz Chende ‘Janjaro’ amefunguka kuwa, kwa sasa mpango wa kutafuta mtoto bado sana maana anajipanga...

READ MORE

Ex wa Aunt Aibua Mambo Mtandaoni

HAYA mambo yakuachana halafu mnaanza kuongeleana vibaya mtandaoni si ushamba huu? Haya buana mapema wiki hii aliyekuwa mpenzi (EX) wa...

READ MORE

Uwoya Vyuma Vimekaza

VYUMA vimekaza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamama na staa wa fi lamu za Kibongo, Irene Uwoya, kufunga baa yake...

READ MORE

Ndoa ya Shilole Barazani

MPIGA picha maarufu wa mastaa mbalimbali Issa Juma ‘ Rommy 3D’ ambaye kwa sasa ndio mpiga picha binafsi wa mjasiriamali...

READ MORE

Gabo Hana Mipaka ya Simu na Mkewe!

MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa hana mipaka ya simu kwa mke wake, amempa uhuru wa kushika...

READ MORE

Mobeto Kurudi Shule

MWANAMITINDO maarufu Bongo Hamisa Mobeto kwa mara ya kwanza amesema kuwa anatarajia kujiendeleza elimu ya juu mwakani. Akipiga stori na...

READ MORE

Shamsa, Faiza Wafarijiana Kutendwa na Wanaume

STAA wa filamu za Bongo Muvi, Shamsa Ford amefarijiana na staa mwenziye ambaye ni mjasiriamali, Faiza Ally kuwa kutendwa na...

READ MORE

Christian Bella Kufanya Balaa Tamasha la Full Moon Party, Leo

Mkali wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella na Bendi yake ya Malaika leo anatarajiwa kuzindua tamasha la Full Moon...

READ MORE

Kweli Duniani Wawili Wawili!

  Ni jambo la kawaida kuambiwa umefanana na mtu fulani, kwa sababu duniani wawili wawili kuna ambao hukutana na mikasa...

READ MORE

Uchebe Asimulia Alivyodharauliwa Kisa Kazi Yake!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu yako pendwa ya My Style? Kama ilivyo kawaida huwa tunakutana hapa na kupiga stori...

READ MORE

Rapaz Matajiri Zaidi Duniani

KWA hapa Bongo, inaaminika mastaa wa wanaoimba, ndio matajiri zaidi kuliko wale wa kufokafoka (Hip Hop). Tofauti na mtazamo huo...

READ MORE

Mimba ya Aunt Hatarini!

KITENDO cha staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kunaswa ‘club’ ya starehe ya usiku akigida pombe za hatari ilihali...

READ MORE

Faiza Amtuliza Sugu Baada ya Kushindwa Ubunge

MFANYABIASHARA Faiza Ally amempa moyo na kumuunga mkono aliyekuwa mpenzi wake wa zamani na baba mtoto wake, Joseph Mbilinyi ‘Mr...

READ MORE

Mzee Yussuf Ajitolea Kumfundisha Qur’an Ben Pol

MKALI wa muziki wa Taarab hapa nchini, Mzee Yussuf, amempongeza msanii Ben Pol kwa uamuzi wa kubadilisha dini na kuwa...

READ MORE

Thea Amkana Mike Kweupe

KWENYE orodha ya wakongwe wa filamu Bongo ambao wanaipeperusha vizuri bendera ya Tanzania, kuna majina ambayo ni vigumu kuyaacha. Miongoni...

READ MORE

Mama Apata Mshtuko Ben Pol Kubadili Dini

SIKU moja baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ kuposti picha kwenye ukurasa wake wa...

READ MORE

Wema, Carlinhos Imeisha Hiyo!

I MEISHA hiyo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kufahamika kwamba, picha za kimahaba zinazosambaa za staa wa sinema za Kibongo,...

READ MORE

Mondi Aibuliwa Dini ya Shetani

MAPYA yameibuka na kila mtu anasema lake hasa upande wa mahasimu wake, lakini kubwa ni kuibuliwa kwa skendo nyingine matata...

READ MORE

Uchebe: Sitaki Kubishana Na Shilole

ALIYEKUWA mume wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, hataki kubishana na mwanamke...

READ MORE

Dayna Ajipakulia Minyama ya Umalkia

  SEXY lady kunako Bongo Flevani, Mwanaisha Nyange ‘Dayna’, amejipakulia minyama kama yote, akidai kuwa hata akikaa nje ya gemu,...

READ MORE

Lulu Ajivunia Kulea

STAA wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kumlea vizuri mdogo wake Erick mpaka sasa...

READ MORE

Mondi Awafunika Kiba, Harmo Kupiga Mabilioni

KWA sasa katika gemu la muziki hasa wa Bongo Fleva, kumekuwa na ushindani mkubwa ambao umekuwa ukitia chachu kwenye muziki...

READ MORE

Monalisa Humwambii Kitu Kwa Ben Pol

MSANII wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ amesema kuwa msanii wa muziki anayemkubali zaidi ni Bernard Paul ‘Ben Pol’ kutokana...

READ MORE

Zuchu Apata Pigo Zito

DAR ES SALAAM: Mtihani mzito! Staa wa Bongo Fleva, Zuhura Othman ‘Zuchu’ amepata pigo la aina yake kufuatia baba yake...

READ MORE

Dayna, Patoranking Uso kwa Uso Nigeria

MREMBO anayefanya poa kunako gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’, hivi karibuni ameibua gumzo baada ya...

READ MORE

Mume wa Riyama Awafokea Wanaobeza Penzi Lao

MUME wa msanii wa Bongo Muvi, Riyama Ally anayefahamika mjini kwa jina ma My Stereo, amewafokea wanaobeza penzi lake na...

READ MORE

Mobetto Afunguka, Sijui Kuimba?

Msanii wa BongoFleva na filamu, Video Vixen, Mjasiriamali Hamisa Mobetto amevunja ukimya kwa kusema yeye sio mtu wa kukata tamaa...

READ MORE

Mtoto Ampa Heshima Kim Nana

 DAR : Muuza nyago maarufu (video vixen) Bongo, Lillian Kessy ‘Kim Nana’, amesema kuwa, mwanaye Sky ndiye kila kitu kwenye...

READ MORE

Ben Pol Amfungulia Dunia Darasa

DAR: Mkali wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ’Darasa’, amefunguka kuwa hadi hapo alipofikia, siyo yeye, bali ni sapoti ya...

READ MORE

Belle 9 Hachagui Gereza

STAA wa RnB Bongo, Abednego Damian ‘Belle 9’, ameweka wazi kuwa, katika utaratibu wake wa kufanya kazi haangalii wala kuchagua...

READ MORE

Poshy: Mtoto Wangu Hatokuwa wa Mitandao

JACQULINE Obeid almaarufu Poshy Queen ni mmoja wa warembo ambao wamejipatia umaarufu kupitia mitandao ya kijamii, kama Instagram na FaceBook...

READ MORE

Makazi ya Mondi Yatapakaa Kinyeshi

Baada ya miezi kadhaa kupita tangu supastaa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atangaze kutoa misaada ya...

READ MORE

Simi Aitamani Ndoa Ya Zuchu, Diamond

STAA wa muziki wa Afro – R&B nchini Nigeria, Simisola Kosoko a.k.a Simi amefunguka kuwa, anatamani kuwaona mastaa wa Bongo...

READ MORE

Ukatili wa Kijinsia Ulivyomzima R-Kelly Kama Mshumaa

ROBERT Sylvester Kelly ‘R-Kelly’ alizaliwa Januari 8, 1967 Chicago, nchini Marekani. Katika familia yao R-Kelly alikuwa mtoto wa tatu kati...

READ MORE

Diamond Aahidi Makubwa Tena

MSANII wa bongo Fleva na Mmiliki wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasib Abdul ‘Diamond’ ambaye mwanzoni mwa mwaka...

READ MORE

Mobeto Ampigia Goti Zari!

KUKUBALI yaishe ni sehemu ya uungwana; ndivyo alivyofanya msanii wa Bongo Fleva na Mwanamitindo, Hamisa Mobeto ambaye amemtaka mwanamke mwenzake...

READ MORE