USIOMBE yakukute, ndivyo unavyoweza kutafsiri mapito ya msanii wa Bongo Muvi, Martin Deus ‘Chiba Kismati’ (32), baada ya kukatwa mguu...
READ MOREBAADA ya kuibua tumbwili hotelini kwa aliyedai ni mpenzi wake, mwigizaji Yusuf Mlela, mchekeshaji Annastasia Exavery ‘Ebitoke’ amesema, mimba aliyonasa...
READ MOREDAR: Usiombe kuhadhitiwa utakapopata bahati ya kuhudhuria ndoa ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’ (31), ambaye...
READ MOREFEDHA inaongea! Wakati baadhi ya wale wasiojituma kufanya kazi kwa bidii wakilia njaa, hali ni tofauti mno kwa mchekeshaji maarufu...
READ MOREDAR: Mkali mwingine wa Bongo Fleva kutoka kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, amemsihi bosi wake,...
READ MOREDDAR Pasi na shaka, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni mmoja wa mastaa matajiri Afrika Mashariki na...
READ MOREMSANII wa filamu na muziki Bongo, Sister Fay amejikuta akila za uso kwa kunangwa vilivyo na mashabiki kisa pete ya...
READ MOREWASNII wa Tanzania, Alikiba na Harmonize watakutana katika jukwaa moja la tamasha la Fiesta litakalofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini...
READ MOREKUFUATIA sintofahamu iliyoibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu video za utupu zinazodhaniwa kuwa ni za mrembo Sanchoka, bidada huyo ameamua...
READ MOREMWANAMUZIKI mwenye sauti ya mtetemo kunako Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema, watu wakimuita yeye ni mfuasi wa...
READ MOREMZAZI mwenza na mwanamuziki Rayvanny wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Fayma, amefunguka kuhusu mpenzi wake huyo kutembea...
READ MOREMJINI kuna mambo! Sikia hii ya msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye amesema atamnyonyoa nywele msichana aliyejipachika...
READ MOREBaada ya staa wa filamu, Irene Uwoya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha tumbo lake likiwa kawaida tofauti...
READ MOREMKALI muziki wa Taarab Bongo, Isha Ramadhani maarufu kama Isha Mashauzi amefunguka kuwa wasanii wengi nchini hawajui thamani yao mbele...
READ MOREMAMBO ni moto! Unaambiwa huko Ista, Idris kalianzisha kwa kumsema maneno Madam Wema Sepetu sasa alichokipata ni zaidi ya matusi....
READ MORERAPA matata Bongo, Claudia Lubalo ‘Chemical’ amesema kuwa ahadi yake aliyojiwekea ya kujioa ipo palepale na anaweza kujioa hata mara...
READ MOREKWELI mambo hubadilika! Umemsikia mwigizaji wa kitambo kwenye tamthiliya za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’? Nora ameliambia Amani kuwa, aliwahi kuchoma...
READ MOREMWANADADA aliyewahi kuwa mwigizaji na mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya redio na televisheni Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesema kama...
READ MOREMISS Tanzania mwaka 2005 na pia mjasiriamali, Nancy Sumari, leo Novemba 27, 2019, amefanya ziara ndani ya kampuni ya Global...
READ MOREHATIMAYE mchongo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kuanzia Januari, mwakani (2020), umeelezwa kuwa...
READ MOREMWIMBAJI wa muziki wa taarabu Bongo, Isha Mashauzi, amesema anatafuta mume wa kumuoa baada ya kuachika katika ndoa yake ya...
READ MOREMWIMBAJI wa muziki wa taarabu na Bongo Fleva, Isha Mashauzi, amesema sababu zilizofanya aachane na aliyekuwa mume wake ni kutokana...
READ MOREBAADA ya hivi karibuni Serikali kusitisha ibada katika Kanisa la Mchungaji, Diana Bundala ‘Mfalme Zumaridi’ lililopo jijini Mwanza, mama wa...
READ MOREMWIGIZAJI mkali wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akipagawa na kuweka hisia zake wazi juu ya...
READ MOREVIDEO vixen asiyeishiwa habari Bongo, Tunda Sebastian amewaka ile mbaya na kuhoji kwa nini watu wanamuita chuma ulete kwani ni...
READ MOREUSIONE vyaelea ujue vimeundwa! Mkongwe kunako Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ amefunguka kuwa, wanamuziki wa zamani (wakongwe) walijipa majina magumu...
READ MOREHUYU jamaa hapendi kuitwa msanii, bali hupendelea kuitwa mburudishaji kwani asilimia kubwa ya ngoma zake ni za kucheza na siyo...
READ MOREMTAYARISHAJI wa muziki kutoka nchini Kenya, Magix Enga ameomba msamaha kwa msanii wa Bongo Fleva, Harmonize kufuatia kui-block ngoma yake...
READ MOREWATOFAUTIANA! Ndivyo inavyoonekana baada ya hivi karibuni Tanasha Donna ambaye ni mzazi mwenza na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...
READ MOREKUNA madai kuwa, ile ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ na mkewe Faima Msenga ‘Fahyma’ imevunjika, Risasi...
READ MOREMKALI wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amesema miezi kadhaa nyuma watu walikuwa wakimbeza kutokana na kukondeana, lakini...
READ MOREBRAZAMENI kunako Bongo Muvi, Hemedy Suleiman ‘PHD’ amesema, hana mpango wa kufunga ndoa, badala yake ataendelea kuzalisha tu wanawake. Akizungumza...
READ MOREILE kiki hoti a.k.a Sinema ya Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ na Yusuph Mlela inaendelea na sasa imenoga baada ya njemba mmoja...
READ MORE