×

Celebrities

T-Bway: Siwezi kumuacha Kim Nana

KUTOKANA na habari kuzagaa kwamba wamemwagana, mtangazaji wa Kipindi cha 5select kinachorushwa na runinga ya East Afrika, T-Bway ameibuka na...

READ MORE

Wema aongeza nguvu kumzima Mondi!

MAMBO yamezidi kuwa moto! Lile bifu kati ya mastaa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, Rajab Abdul ‘Harmonize’...

READ MORE

Hanscana: Mabifu Yanaua Bongo Fleva

MKALI wa kuandaa video za muziki Bongo, Hanscana amefunguka kuwa bifu kati ya msanii na msanii zinachochea kifo cha soko...

READ MORE

ROSa Ree Siyo Yule ‘Mungu Mwanamke’

MIONGONI mwa mabinti wenye vipaji vikubwa mno wanaofanya muziki huu wa Bongo Fleva katika kipengele cha ‘Keep It Hip Hop’...

READ MORE

Nandy: Hiini Zawadi kwa JPM

MWANADADA anayefanya poa zaidi kunako Bongo Flevani, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa video ya wimbo wake mpya wa Magufuli Tena...

READ MORE

Cardi B Kuonekana Katika Fast & Furious 9

Kufuatia kiwango kizuri alichoonesha kwenye filamu ya Jennifer Lopez ‘Hustlers’ rapa Cardi B amepata nafasi nyingine kwenye kiwanda cha filamu...

READ MORE

Diamond Awatunuku Wizkid, Tiwa Sawage, Wampa Tano – Video

STAA wa muziki Barani Afrika anayetokea nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kwa jina la Wizkid ameeleza kuwa alichokifanya Diamond...

READ MORE

Aunt Amuachia Mungu!

HAKUNA kitu kibaya kwenye maisha kama kupokonywa tonge mdomoni, wakati mwingine unaamua kufanya kama alivyofanya staa wa filamu za Kibongo,...

READ MORE

Ebitoke Avamia Mkutanmo wa Mlela, Ataka Kuua Mtu – Video

MSANII wa vichekesho nchini, Anastazia Exavery maarufu kama Ebitoke amevamia mkutano wa Msanii mwezake wa Bongo Movies, Yusuph Mlela na waandishi na...

READ MORE

Harmo Amvimbia Mondi

NI ngadu kwa ngadu au niga nikunige! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa baina ya mastaa wawili wa Bongo Fleva, Rajab...

READ MORE

Diamond, Wizkid, Tiwa Savage Walivyotinga After Party

Baada ya kuwasha moto kwenye Tamasha la Wasafi Festival usiku wa kuamkia jana Novemba 10, 2019, katika Viwanja vya Posta...

READ MORE

Siri Vurugu za Risasi Kwa Aunt, Iyobo

KWA wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, sakata la vurugu zilizoambatana na mirindimo ya risasi kwenye pub (baa) ya staa...

READ MORE

Petit, mkewe wamwagana!

KAMA ulikuwa unasikiasikia tu bila kuwa na uhakika, habari ikufikie ni rasmi sasa, meneja wa wasanii, Ahmed Ngahemela ‘Petit Man’...

READ MORE

Mkhului Bhebhe KukiwashaTena Campus Night – Dar – Video

KWA MARA NYINGINE TENA KATIKA VIWANJA vya Tanganyika Packers – Kawe, jijini Dar es Salaam, patakuwa hapatoshi Ijumaa ijayo, Novemba...

READ MORE

Harmo sasa ataka watoto kwa Sarah

MKALI wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, sasa yupo tayari kuitwa baba. Harmonize au Harmo anayekimbiza na Wimbo wa Uno...

READ MORE

Rosa Ree: Naombeni mnisamehe!

MWANAMUZIKI wa kike wa Hipo Hop Bongo, Rosa Ree na ambaye inasemekana na mpenzi wa msanii wa Kenya, Timmy Tdat...

READ MORE

ZARI ADAI ETI KINGBAE AMEKUFA!

INADAIWA mitandaoni kwamba, kati ya wanawake wanaojua kupaniki, basi mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anaweza kuwa kwenye kumi...

READ MORE

Gigy Jiwe Lililokataliwa!

MSANII machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema wakati anatoka kimuziki, watu wengi walimdharau na kumuona hafai, lakini...

READ MORE

Alikiba: Sina Ugomvi na Diamond, Aache Mambo ya Kitoto – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amesema hana ugomvi na msanii mwenzie Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kama watu wanavyoongea...

READ MORE

Hemed PHD Asitisha Kugawa Mbegu za Uzazi

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni muigizaji maarufu wa Bongo Movies, Hemedy Suleiman ‘PHD’, amesema amesitisha kutoa mbegu za...

READ MORE

Kisa Binti Yake, Afande Amwaga Machozi ‘Sina Mpango wa Kuoa’

MACHOZI ya furaha yamemmwagika mkongwe muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi almaarufu kwa jina la ‘Afande Sele’ baada ya ndoto...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Bifu la Kiba, Mondi

BAADA ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ kumwambia mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amkome na kukoleza...

READ MORE

Kiba Akikubali tu Kupatana na Mondi, Amekwisha!

ACHANA na habari za Idris Sultan, weka pembeni ishu ya yule aliyetiwa nguvuni kwa kutishia kuua na bastola, bifu la...

READ MORE

UBONGE WA SHILOLE WASHTUA!

KILA mtu na aina yakeya maisha, lakini huko Instagram wapo watu wanakupangia hadi mwili wako uweje. Hiyo imemtokea staa wa...

READ MORE

MPENZI WA BABY J AMCHANA ESMA!

MAPENZI bwana, kweli ni upepo wa Kisulisuli! Mzazi mwenziye na mwanamuziki maarufu visiwani Zanzibar, Jamila Abdalah ‘Baby J’, Abood amemtaka...

READ MORE

PUB YA AUNT YAMLIZA WEMA!

WEMA Sepetu amesema hakuna kitu kilichomuuma na kumkosesha usingizi kama kufungwa kwa Pub ya rafiki yake, Aunt Ezekiel.  Akizungumza na...

READ MORE

Rosa Ree vs Basata Nani wa Kulaumiwa? – Video

IMEKLUWA gumzo tokea Rosaree na Timmy Tdat walipotoa ngoma yao ya VITAMIN U ambapo wengi wanalalamika kutokana na video hiyo...

READ MORE

 Jux: Amethubutu, ameweza

WEKA pembeni uhusiano wake na yule ‘Mchina’ mwenye asili ya Thailand, Nayika Thongom, kwa sasa Juma Musa ‘Jux’ ndiye habari...

READ MORE

Binti Yake Kwenda Chuo Kikuu, Afande Sele Achinja Mbuzi – Video

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Selemani Nyandindi almaarufu kama Afande Sele, ameangusha bonge la Pati na kuchinja mbuzi akisheherekea matokeo ya...

READ MORE

Hatima ya Idris kujulikana leo

MCHEKESHAJI na mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan leo anatarajiwa kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati kujua...

READ MORE

Mwijaku Aibukia kwa Mkewe

ACHANA na maneno ya picha chafu za Meninah, msanii Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameibuka na kumfagilia mke wake kuwa ana akili...

READ MORE