×

Celebrities

IJUMAA SEXIEST GIRL 2019… ROSA REE OUT!

KURA zimeanza kupigwa kwa spidi ya ajabu ambapo wiki hii msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree (17), ameoneshwa mlango wa...

READ MORE

Rotimi Atamfikisha V-Money….

Ni takriban miezi miwili tangu mwanadada kutoka Bongo Flevani, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’ alipoanza kushika vyombo vya habari akiripotiwa...

READ MORE

Tanasha Alamba Shavu Nono!

MTANGAZAJI kutoka nchini Kenya ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch,...

READ MORE

JB: Bado Nitapungua Hadi Wanikimbie

STAA wa sinema za Kibongo ambaye alikuwa pande la mtu, lakini kwa sasa amepungua, Jacob Steven ‘JB’ amefunguka kuwa hapo...

READ MORE

Uwoya Ataja Sababu Kumfanyia Dua Sharo Milionea

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ametaja sababu ya kuamua kumfanyia dua aliyekuwa mwanamuziki na muigizaji marehemu Hussein Ramadhan...

READ MORE

Mama Mobeto Mwingine Ajitokeze!

BAADA ya madai kuzagaa kuwa siyo mama mzazi, mama wa mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga,...

READ MORE

MC Pilipili Hawezi Kuzuia Machozi

KOMEDIANI na mshehereshaji maarufu Bongo, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ amefunguka kuwa, katika maisha yake, hawezi kujikaza kama mwanaume ndiyo maana...

READ MORE

Waliomuita Darleen Mgumu Wameumbuka

FIRST lady wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amesema, waliokuwa wakimuita mgumu, sasa wameumbuka baada...

READ MORE

Casto: Tunda Ameniharibia Sifa Yangu

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Casto Dickson ameweka wazi kuwa hataki mazoea na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Tunda Sebastian kwa sababu alimharibia...

READ MORE

Wasafi Festival vs Fiesta…. Vita si ya Kitoto

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na timu yake ya Tamasha la Wasafi na ile ya Tamasha la...

READ MORE

NUH Afungukia Kubebwa na Shilole

MWANAMUZIKI Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye aliwahi kufanya vizuri sana kupitia wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha mkali Ally Saleh...

READ MORE

Mbasha Ala za Uso

STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha hivi karibuni amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuweka kwenye ukurasa wake...

READ MORE

Vanessa Mdee Atahadharishwa

Wadau mbalimbali waliopo kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram wamemtahadharisha staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kuhusiana na mpenzi wake,...

READ MORE

Harmo, Mobetto Wazama Hoteli Moja Masaa 7

KUMEKUCHA tena! Msanii Rajab Abdul ‘Harmo’ na Hamisa Mobeto, wameonekana wakizama hoteli moja iliyopo eneo la Oysterbay – jijini Dar...

READ MORE

Ndoa ya Queen Darleen Ilivyoacha Maswali

 BAADA ya dada wa msanii nguli nchini; Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ (34) kuolewa kwa siri, Risasi Mchanganyiko...

READ MORE

Ohooo! Serikali Yamweka Sanchi Kikaangoni

KUTOKANA na skendo ya picha zake chafu zilizosambaa mitandaoni na kuzua gumzo la aina yake, serikali imemuweka kikaangoni mwanamitindo mwenye...

READ MORE

Flora Asimulia Alivyoteseka Kuwa Changudoa

 MZAZI mwenziye na staa wa Bongo Fleva, Hamis Baba ‘H Baba,’ Flora Mvungi amefunguka kuwa kati ya ‘scene’ zilizowahi kumtesa...

READ MORE

Msanii Rwanda Aliyecheza Filamu na Ray, Wolper… Hoi Kitandani

MSANII wa filamu nchini Rwanda, Mumarashavu Angelique maarufu kama ‘Angel’, ambaye amewahi kuigiza katika filamu ya After Death aliyocheza na...

READ MORE

Petit Man: Soon Namzalisha Esma

MENEJA wa wasanii mbalimbali wa muziki, Hamad Manungwi ‘Petit Man’ amefunguka kuwa anatarajia kumzalisha mtoto mwingine mkewe Esma Khan ambaye...

READ MORE

Muna Awatolea Uvivu Mashabiki

MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amesema hata watu wakimsema kiasi gani, kamwe hawezi...

READ MORE

Nandy Awakingia Kifua Wanawake

MSANII wa muziki Bongo, Faustina Charles ‘Nandy’ amewakingia kifua wanawake kupinga kwa kupinga ukatili dhidi yao.   Akizungumza na Uwazi,...

READ MORE

Ester Kiama Ateketeza Mamilioni Pub

ESTER Kiama, mrembo kutoka Bongo Muvi, ameamua kutunisha msuli wa kifedha na kuteketeza mamilioni ili kwenda sambamba na msanii mwenzake,...

READ MORE

Lulu Diva: Uno Langu Halijamsumbua Tanasha

BAADA ya kutunza fedha nyingi na kukata mauno ya aina yake kwenye arobaini ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’...

READ MORE

Nelly, Jux Kitu na Boksi?

 KITU na boksi! Ndiyo maneno unayoweza kusema kutokana na mrembo ambaye amewahi kutwaa mataji kibao ya urembo Bongo, Nelly Kamwelu...

READ MORE

Hamisi Bss: Nimesafisha Macho

MSHIRIKI wa Shindano la Bongo Star Search (BSS), Hamisi Saidi amesema hata kama hatonyakuwa kitita cha shilingi milioni 20 lakini...

READ MORE

Director Kenny: Mungu Amenikutanisha na Mondi

MKALI kunako Bongo Flevani anayewakilisha vyema upande wa watayarishaji wa video kali za muziki huu, Kened Davi Sanga ‘Director Kenny’...

READ MORE

Mimba ya Esma Yachoropoka Petit Akiwa Safarini

IKIWA ni miezi michache tangu arudiane na Baba watoto wake, Petit Man baada ya kuhitirafiana kwa zaidi ya mwaka mzima,...

READ MORE

Mama Lawamani Skendo ya Sanchi

KWA wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, gumzo kubwa lilikuwa ni skendo ya picha za utupu ambazo anadaiwa kupiga au kupigwa,...

READ MORE

Msanii Bongo Muvi Akatwa Mguu

USIOMBE yakukute, ndivyo unavyoweza kutafsiri mapito ya msanii wa Bongo Muvi, Martin Deus ‘Chiba Kismati’ (32), baada ya kukatwa mguu...

READ MORE

Ebitoke Agoma Kutoa Mimba ya Mlela

BAADA ya kuibua tumbwili hotelini kwa aliyedai ni mpenzi wake, mwigizaji Yusuf Mlela, mchekeshaji Annastasia Exavery ‘Ebitoke’ amesema, mimba aliyonasa...

READ MORE

Kishindo Ndoa ya Vanessa, Bilionea Marekani!…

DAR: Usiombe kuhadhitiwa utakapopata bahati ya kuhudhuria ndoa ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’ (31), ambaye...

READ MORE

Mpoki Fedha Inaongea!

FEDHA inaongea! Wakati baadhi ya wale wasiojituma kufanya kazi kwa bidii wakilia njaa, hali ni tofauti mno kwa mchekeshaji maarufu...

READ MORE

Rayvanny: Diamond Muoe Tanasha

DAR: Mkali mwingine wa Bongo Fleva kutoka kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, amemsihi bosi wake,...

READ MORE

Mondi Atamanisha Wengi

DDAR Pasi na shaka, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni mmoja wa mastaa matajiri Afrika Mashariki na...

READ MORE

Sister Fay Anangwa Kisa Pete ya Uchumba

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Sister Fay amejikuta akila za uso kwa kunangwa vilivyo na mashabiki kisa pete ya...

READ MORE

Harmonize Kumvaa Kiba Jukwaani

WASNII wa Tanzania, Alikiba na Harmonize watakutana katika jukwaa moja la tamasha la Fiesta litakalofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini...

READ MORE

Sanchi Avunja Ukimya Picha za Utupu Zinazosambaa Mitandaoni

KUFUATIA sintofahamu iliyoibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu video za utupu zinazodhaniwa kuwa ni za mrembo Sanchoka, bidada huyo ameamua...

READ MORE