×

Global TV Online

LIVE: Kutoka PUGU, MAITI Iliyofukuliwa na Kuachwa Utupu, Yadaiwa Kubakwa – Video

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa aliyekuwa Ofisa wa Wizara ya Madini, MERY MKWAYA MALAMO, aliyefariki mwanzoni mwa wiki...

READ MORE

Mbunge Sugu Amuomba JPM Afanye Hili

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ amemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John...

READ MORE

Mnyika Ataka Ripoti ya CAG Kupewa Wabunge – Video 

Mbunge wa Kibamba (CHADEMA), John Mnyika amehoji ni kwanini Wabunge hawajagawiwa ripoti ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

READ MORE

JPM Awaweka Mtu Kati, Mkurugnzi & Mhandisi Njombe – VIDEO

Rais Dkt John Magufuli amewaweka mtu kati Mkurugenzi wa Halmashauri ya Njombe na Mhandisi wa halmashauri hiyo kutokana na mradi...

READ MORE

Waziri Kama Unaweza ‘Kaivute Bangi’ ya Njombe – Video

Rais Dkt Magufuli ahitimisha ziara yake ya mkoa wa Njombe kwa kuhutubia maelfu wa wananchi uwanja wa Polisi Makambako leo...

READ MORE

MAJAMBAZI Wavamia Nyumbani kwa WAWA Wakomba Kila Kitu – Video

WATU wanaosadikiwa ni majambazi, wamevamia nyumbani kwa beki wa Kimataifa wa timu ya Simba, Pascal Wawa na kukomba kila kitu...

READ MORE

KUTOKA MANCHESTER: Hali Ilivyo Kuelekea Mchezo Dhidi ya BARCA!

Mashabiki wa Machester United wameonesha kuwa na hali ya kujiamini kuelekea mchezo wa robo fainali wa vilabu bingwa Ulaya dhidi...

READ MORE

Mke wa Kisena wa UDART Akamatwa na Takukuru – Video

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imemkamata na kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, Mkurugenzi wa...

READ MORE

SERIKALI: MARUFUKU MIFUKO YA PLASTIKI KUANZIA JUNI MOSI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Juni, 1 mwaka huu itakuwa marufuku kutumika mifuko ya plastiki nchini. Avitaka viwanda kuja...

READ MORE

MAGUFULI Azindua Kiwanda cha Kuchakata Chai – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemaliza ziara ya kikazi ya siku 6 Mkoani Ruvuma, aanza ziara ya kikazi ya siku...

READ MORE

RAIS JPM Azindua KITUO cha Afya cha MADABA – Video

RAIS Dkt. John Magufuli leo amezindua Kituo cha Afya cha Madaba mkoani Ruvuma mbacho kimegharimu jumla ya shilingi Milioni 665...

READ MORE

MAWAZIRI Wawekwa KIKAANGONI na Wabunge – Video

KIKAO cha Tano cha Mkutano wa 15 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimeendelea tena leo Jumatatu, Aprili...

READ MORE

Rais Magufuli Awaonya Tena Wakuu wa Mikoa na Wilaya – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Mbinga Mkoani...

READ MORE

SHIGONGO Awapa Siri Nzito ya Mafanikio ‘Malkia wa Nguvu’ – Video

MJASIRIAMALI, mhamasishaji na mmiliki wa makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  amewaasa wanawake  nchini kuamini na kutumia vipaji walivyo navyo...

READ MORE

JPM: Huwezi Kuendesha Viwanda kwa Dizeli – Video

Rais Dkt. John Magufuli amezindua mradi wa ujenzi wa njia ya usafirishaji umeme ya Kilovolt 220 kutoka Makambako hadi Songea...

READ MORE

MBWEMBWE la MASHABIKI wa SIMBA Zimeanza – Video

Wakati mazoezi ya kikosi cha Simba yamemalizika mashabiki wa Simba walionekana kuwa na hamu ya kuzungumza kuelekea mchezo huo huku...

READ MORE

JPM Awaomba Radhi Wananchi wa Tunduru kwa Kuwabomolea Nyumba – Vido

Rais Dkt. John Magufuli amekata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Namtumbo-Tunduru, mkoani Ruvuma ambako amekwenda kwa ziara ya kikazi...

READ MORE

SPOTI HAUSI: Njia TATU za Kuwapa SIMBA Ushindi kwa TP MAZEMBE – VIDEO

Kipindi cha Spoti Hausi leo kipo tena hewani, ambapo wachambuzi wako watakuletea mambo mbalimbali ikiwemo nafasi ya ushindi wa Simba...

READ MORE

Mtu Amelima Korosho, Amenunua Madawa, Unampa Tsh 1,500? – Video

Rais Dkt John Pombe Magufuli  amewahakikishia wananchi wa Nanyamba, Tandahimba, na Newala Mkoani Mtwara kuwa Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya...

READ MORE

TP MAZEMBE Watua KIBABE Dar, Kuwavaa SIMBA – Video

Kikosi cha timu ya TP Mazembe kutoka Congo DR, kimewasili hapa nchini usiku wa kuamkia leo Aprili 04, 2019, katika...

READ MORE

Spika Ndugai Atishia Kuwataja Wabunge Waliotelekeza Watoto

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema anayo orodha ya baadhi ya wabunge waliotelekeza watoto hivyo amewataka wahusika kulimaliza suala hilo...

READ MORE

SPIKA AMUANIKA LEMA: Unadaiwa MIL 419, Una STRESS, Ushugulikiwe – Video

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai,  ameiagiza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji Mbunge wa Arusha Mjini...

READ MORE

JPM Atoa ONYO Kali: Niombe Hela Uone Kama Sijakutumbua – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaonya Wakurugenzi ambao watanaoesha nia kudai ushuru kufuatia uamuzi...

READ MORE

VIDEO: Msukuma amvaa Mbowe – “Ulimfukuza Zitto, Unashangaa CAG?”

 MBUNGE wa Geita Mjini, Joseph Msukuma (CCM), ameunga mkono hoja iliyotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki,...

READ MORE

JPM Azindua Upanuzi wa Uwanja wa Ndege, Mtwara – Video

Rais Dkt. Magufuli amewasili Mtwara leo April 2, 2019 ambapo ataweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege...

READ MORE

BUNGENI, Kikao cha Kwanza Mkutano wa 15, Maswali na Majibu – Video

Mapema leo April 2, 2019, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza kikao chake cha kwanza katika mkutano wa...

READ MORE

NDALICHAKO Akizindua Ukumbi wa Mihadhara Chuo cha Mwl Nyerere – VIDEO

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amezindua ukumbi wa mihadhara wa kisasa katika Chuo Cha Kumbukumbu ya...

READ MORE

HII KALI! Aliyefukuzwa Shule Kisa MR BLUE Amlilia ZITTO Kabwe – Video

Kila nyuma ya historia ya mtu maarufu au mashuhuri kuna stori kitu ambacho amekipitia, kwa upande wa Mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

VIDEO: DOGO JANJA Ajibu Kumpiga UWOYA ‘Kulala na MFANYAKAZI’

 Mwanamuziki Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’, amekanusha tetesi zilizowahi kuvuma mitandaoni kuwa aliwahi kumpiga aliyekuwa mkewe Muigizaji Irene Uwoya.

READ MORE

VIDEO: Waziri KIGWANGALA, Haji MANARA ‘WATETEMA’ Hadharani

 Mwanamuziki kutoka WCB, Rayvanny, amefanya kituko cha aina yake alipokuwa stejini akipafomu wimbo wake mpya wa Tetema, kwa kumnyanyua...

READ MORE