×

Global TV Online

Wolper Ajilipua Harusi Ya Hamisa Na Aziz Ki, Msikilize Mwanzo Mwisho – Video

Msanii wa sanaa ya Uigizaji nchini, Jackline Wolper amefunguka na kueleza kuwa, Aziz KI na Mobetto wanapaswa kupendana na kusikilizana...

READ MORE

Maskini Carina! Mshono Wafumuka Tena Ghafla, Alia Maumivu – Video

Mwanadada aliyewahi kujihusisha na sanaa ya Bongo Muvi, Carolinahawa Hussein, kwa mara nyingine tena anakabiliwa na tatizo la utumbo wake...

READ MORE

Mazito! Wema Atupa Bomu Kwa Mobetto “Sina Cha Kumshauri, Akiona Hana Furaha Aondoke” – Video

Mwanamitindo na Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Wema Sepetu amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa endapo Mobetto hatopata...

READ MORE

Giggy Money Acharuka, Aanika Penzi La Pacome, Shughuli Ya Hamisa Na Azizi KI – Video

Mwanamitindo Gigy Money, amefunguka na kueleza kuwa, Hamisa Mobetto alikuwa anampenda sana Aziz KI jambo lililopelekea kukubali kufunga naye ndoa.

READ MORE

Diamond Na Rita Wachafua Hali Ya Hewa Mitandaoni – Video

Usiku wa kuamkia hii leo Februari 19, 2025 mitandao ya kijamii imechafuka baada ya kusambaa kwa video za mahaba zinazomuonesha...

READ MORE

Leyla Genius Atokwa Machozi, Zari Mapito Amfanyia Surprise Valentine – Video

Habari njema! Binti Leyla (23) aliyepata scholarship ya kusomea udaktari India na kukatisha masomo yake kwa ugonjwa, tayari ameanza mazoezii...

READ MORE

Vijana 132 Wakamatwa Pwani Kwa Kujihusisha Na Biashara Ya Kitapeli, RPC Pwani Afunguka Tukio Zima – Video

Vijana takribani 132 wenye umri wa kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali, hasa ya pembezoni mwa Tanzania,...

READ MORE

Lissu afafanua maana ya No Refom No Election – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amefafanua kuhusu kauli mbiu ya chama hicho inayosema No Reform...

READ MORE

Abdul Kingo: Wimbo Wa Mond Uliniletea Matatizo Kwenye Ndoa – Video

Msanii wa filamu, Abdul Kingo ambaye pia ameonekana kwenye video ya wimbo Nitafanyaje wa Diamond, amefunguka na kueleza kuwa Diamond...

READ MORE

Video: Moto Ulivyoteketeza Bar Buza, Steve Mweusi Akimbia Kushuhudia

Msanii wa Sanaa ya Uchekeshaji nchini, Steven Mweusi ameeleza namna ya hali aliyoikuta katika Bar ya Peda iliyoteketea kwa moto...

READ MORE

Lissu Aongoza Mazishi ya Kada wa Chadema Magugu, Manyara – Video

MWILI wa Kamanda Derick Magoma, Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mkoa wa Manyara umezikwa leo, Februari 11, 2025 kijiji cha Matufa,...

READ MORE

Bar Na Lodge Ya Pade Mapambano Buza Yateketea Kwa Moto – Video

Moto mkubwa uliozuka kwenye baa maarufu ya Pade na Mapambano iliyopo Buza jijini Dar es Salaam, imesababisha kila kitu kilichokuwa...

READ MORE

Mjue Sultani Makenga – Kamanda Wa Kundi La M23 Linalosumbua Vichwa Vya Marais Wa Afrika Mpaka Kutaka Kuzichapa – Video

Hivi sasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inakabiliwa na mapigano makali kati ya jeshi la serikali na waasi wa...

READ MORE

Orodha Ya Watu Hatari Kupita Kiasi Duniani, Watenda Maovu Waliotikisha Dunia Kwa Ukatili – Video

Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu ambao wameacha alama za kikatili zinazodumu kwa vizazi vingi. Hawa ni watu waliohusika...

READ MORE

Mjue Kamanda Nangaa– Mshirika Mkuu Wa M23 Aliyejitokeza Hadharani Licha Ya Kuhukumiwa Kifo – Video

Corneille Nangaa, aliyewahi kuwa mkuu wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amehamasisha mapinduzi makubwa...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano Wa Pamoja Na Wakuu Wa Nchi Na Serikali Wa EAC NA SADC -(Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameutaka Umoja wa Afrika kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki...

READ MORE

Rais Kagame Alivyowasili nchini kushiriki Mkutano wa EAC na SADC – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amempokea Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Video ya Kusisimua ya Trump huku Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Akiwepo – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, amewataka Wamarekani wamrejee Mungu na kuirejesha dini katika taifa hilo, akidai kuwa wengi wameiacha. Akitangaza...

READ MORE

Jojo: Maisha Ya Ndoa Ni Mtihani Mkubwa, Siyo Makungwi Wote Wanaachwa – Video

Mtangazaji na Mshereheshaji nchini, Jojo amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa maisha ya ndoa siku zote ni mtihani mkubwa...

READ MORE

Majaliwa Ampongeza Rais Dkt. Samia kuendeleza mahusiiano ya Kimataifa (Picha +Video)

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kumudu kutekeleza...

READ MORE

Shigongo Amshauri Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada Afrika – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za...

READ MORE

Cecot: Gereza La Kutisha La Wafungwa Wa Magenge Hatari, Hawaoni Jua, Kutoroka Haiwezekaniki Kabisa – Video

Nchi ya El Salvador, iliyoko katika bara la Amerika ya Kati, imechukua moja ya hatua kali zaidi katika vita vyake...

READ MORE

Video: Aunty Ezekiel Afunguka – “Wema Siyo Tasa Atapata Mtoto”

Msanii wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel, ameweka wazi kuwa ujauzito wake wa sasa umemfanya baba wa watoto wake, Kusah, kumuonesha...

READ MORE

Rais Samia Atikisa Dodoma: Wananchi Wafurika Barabarani Kushuhudia Tuzo Yake! – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Februali 4, 2025 amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Apokea Tuzo Ya Gates Goalkeeper Award, Hyatt Regency – (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akipokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel...

READ MORE

Mtanzania Atikisa Hollywood, Asimulia Safari Yake Katika Utengenezaji Filamu Ya Mufasa The Lion King – Video

Mtayarishaji na mzalishaji wa video na filamu mwenye uzoefu wa muda mrefu nchini Tanzania, Mussa Ally, maarufu kama Kaka Mussa,...

READ MORE

Paul Kagame: Sifahamu kama wanajeshi Wetu wako Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akishiriki Maadhimisho Ya Siku Ya Sheria Nchini (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, Viwanja vya...

READ MORE

Msanii Amina Vikoba Afunguka siri ya kuwa na muonekano mzuri – Video

Msanii wa maigizo nchini, Amina Vikoba, amefunguka kuhusu siri ya kuwa na muonekano mzuri licha ya kutimiza miaka 40. Akizungumza...

READ MORE

Mkuu Wa Shule Ajiua Kwa Sumu Shinyanga, Polisi Wathibitisha – Video

Mkazi wa Kijiji cha Chambo, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyu (44), ambaye alikuwa mkuu wa Shule ya Sekondari...

READ MORE

Binti Aliyepata Scholership India Arudi Na Ugonjwa Mwaka 1 Kabla Ya Kuhitimu – Video

  Ni huzuni kwa Leyla Shabani Mrosa (23), msichana mwenye ndoto kubwa aliyefanya vizuri kwenye masomo hadi kupata scholarship ya...

READ MORE

A-Z Ndoa Ya Barack Obama Na Michelle Kudaiwa Kuvunjika, Mambo Si Shwari – Video

Ni dhahiri kwamba miongoni mwa ndoa za watu mashuhuri zilizokuwa na mashabiki wengi duniani katika miaka ya hivi karibuni, ni...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Chakula Cha Mchana Na Walioshiriki Uokoaji Jengo Kariakoo (Picha + Video)

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki chakula cha mchana na watendaji wa vikosi mbalimbali pamoja na watu walioshiriki katika shughuli ya...

READ MORE

Jengo La TRA Kariakoo Lateketea Kwa Moto, Jeshi La Zimamoto Watinga Kuuzima – Video

Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo – Dar es salaam....

READ MORE

Lissu Akabidhiwa Ofisi, Afungukia Uchaguzi, Ataka Wanachama Kuungana – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekabidhiwa leo ofisi yake na Katibu Mkuu wa chama hicho...

READ MORE

Mjue Mwanamke Mrefu na Mfupi Duniani, Washangaza – Video

Wanawake wawili waliovunja rekodi za dunia kwa urefu na ufupi wao hivi karibuni walikutana kwa mara ya kwanza jijini London,...

READ MORE

Mjue Ibrahim Traoré Mwamba Anayeitingisha Afrika, Rais wa Serikali ya Mpito ya Burkina Faso – Video

Ibrahim Traoré alizaliwa Machi 14, 1988, ni afisa wa kijeshi wa Burkina Faso ambaye amekuwa kiongozi wa mpito wa nchi...

READ MORE

Rais Samia Anaongoza Marais Wa Afrika Kujadili Nishati – (Picha +Video)

Mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi (Misheni 300) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Mkutano Wa Kumi Na Nane Wa Bunge – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki Mkutano wa kumi na nane wa bunge ulioanza leo Januari 28, 2025, bungeni jijini Dodoma....

READ MORE

Aliyepandikizwa Figo Ya Nguruwe Aweka Rekodi Duniani – Video

Towana Looney, mwanamama kutoka Alabama nchini Marekani ameingia kwenye rekodi baada ya kupandikizwa figo ya nguruwe ambapo mpaka sasa, zikiwa...

READ MORE