×

Habari

Mrundi Simba Ataja Kinachommaliza Wawa

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Masoud Djuma, raia wa Burundi, ametaja sababu za beki Muavory Coast, Pascal Serge Wawa kutokuwa...

READ MORE

SIRI YA LULU KUTOMZIKA PATRICK YAFICHUKA!

    BAADA ya mazishi ya mtoto wa muigizaji Rose Alphonce ‘Muna’, Patrick kufanyika kisha rafiki yake kipenzi, muigizaji Elizabeth...

READ MORE

Taasisi ya Mo Dewji yatoa msaada wa Mil. 125 kutibu watoto wenye saratani

    Taasisi ya Mo Dewji imetoa msaada wa Tsh. 125 Milioni kwa kituo cha Tumaini la Maisha kilichopo katika...

READ MORE

INASIKITISHA!! Bibi Abomolewa Nyumba Kwa Nguvu- Video

Bibi Mkazi wa Kijiji cha Mahindu wilayani Misungwi amejikuta akitolewa kwa nguvu katika nyumba yake ili kupisha upanuzi wa barabara...

READ MORE

Matukio 8 Yaliyotikisa Msiba wa Patrick

JUMANNE ya Julai 3, 2018, staa wa filamu kutoka Bongo Movies, Rose Alfonce ‘Muna’ alipata pigo baada ya kufiwa na...

READ MORE

Mashindano Wanaume Kubeba Wake Zao; Vicheko Mtupu

Mashindano ya Dunia ya Wanaume kuwabeba wake zao yamefanyika nchini Finland ikiwa ni kwa mwaka wa 23 mfululizo.   Mashindano...

READ MORE

Saa 24 Baada ya Hierro Kusepa, Enrique Atangazwa Kocha Hispania

ALIYEKUWA kocha wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Luis Enrique, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hispania baada ya...

READ MORE

NISHA AKIPIGWA DENDA BABU WA KIZUNGU – VIDEO

STAA wa filamu na muziki Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kwa sasa amebadili mtazamo na kuamua kuwa na mpenzi anayemzidi...

READ MORE

BENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA TAWI LAKE JIPYA MBAGALA

    BENKI ya KCB Tanzania imefanya uzinduzi wa tawi lake la 14 lililopo Mbagala jijini Dar es Salaam, tawi...

READ MORE

Njemba Azama Baada ya Lami Kuyeyuka Barabarani

KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 24, nchini Uingereza amewashangaza wengi baada ya kuzama kwenye lami iliyokuwa imeyeyuka barabarani eneo...

READ MORE

Kigwangalla Awasimamisha Kazi Maofisa, Askari 27 wa Wanyamapori

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amewasimamisha kazi Maofisa na Askari Wanyamapori wote 27 wa Mamlaka ya Usimamizi...

READ MORE

Kocha wa Hispania Ajiuzulu Baada ya Kuondolewa Kombe la Dunia

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Hispania, Fernando Hierro (50) ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ikiwa ni siku chache baada...

READ MORE

JOEL LWANGA Amwangukia Mama’ke Muna

UBUYU nao una nafasi yake kwenye jamii na ndio maana hakuna ambaye anauchukia! Baada ya mvutano wa hapa na pale...

READ MORE

Mainda: Mitandao Imeharibu Msiba wa Patrick

MKONGWE kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kwa uchungu kuwa, kama sio timu za kwenye mitandao ya...

READ MORE

Breaking News: Basi la Dar Express Lateketea Kwa Moto Bunju

Basi la Kampuni ya Dar Express likitokea Arusha kwenda Dar es Salaam limeteketea kwa moto usiku huu wa Jumapili, Julai...

READ MORE

Ndege Ya Boeing 787-8 Dreamliner Ilivyopokelewa (Picha + Video)

  RAIS Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 08, 2018 amewaongoza Watanzania kuipokea ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner...

READ MORE

Video: Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Yatua Nchini

  RAIS Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 08, 2018 amewaongoza Watanzania kuipokea ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner...

READ MORE

Waziri Gani Utendaji Kazi Wake Unakufurahisha?

KAMPUNI ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi na Spoti Xtra imeandaa shindano...

READ MORE

Video Mpya: Beka Flavour – Siachani Nae (Official Video)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Siachani Nae...

READ MORE

Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Kutua Leo

RAIS Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 08, 2018 atawaongoza watanzania katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8...

READ MORE

Mazishi ya Patrick: Wema Atangaza Kumaliza Bifu na Muna – Video

STAA wa Bongo Movie, Wema Sepetu amemtaka msanii mwenzake, Rose Alphonce ‘Muna’ kumaliza tofauti waliyokuwa nayo hapo nyuma na badala...

READ MORE

WEMA, MANARA WATOA POLE KWA FAMILIA YA ZAKARIA

MWIGIZAJI wa filamu, Wema Sepetu na Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara,  wamewaomgoza wasanii na...

READ MORE

MASTAA WAMUAGA PATRICK WA MUNA

Mastaa mbalimbali wamejitokeza kuuaga mwili wa mtoto wa mwigizaji Muna, Patrick,  katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. PICHA:...

READ MORE

MUNA ALIVYOMUAGA MWANAYE LEADERS

      Muigizaji Rose Alphonce ‘Muna Love’ ameaga mwili wa mwanaye Patrick katika viwanja vya Leaders jijini Dar es...

READ MORE

SIMANZI: Hivi Ndivyo Patrick Anavyozikwa Makaburi ya Kinondoni – Video

Mwili wa mtoto Patrick ambaye ni mtoto wa Muna Love umezikwa leo Jumamosi, Julai 7, 2018  katika makaburi ya Kinondoni...

READ MORE

MAMIA WAMUAGA PATRICK WA MUNA LEADERS DAR

    Taswira mbalimbali za viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam leo.

READ MORE

Baba Patrick Achimba Mkwara Mzito Kabla ya Kuaga Mwili – Video

IKIWA ni dakika chache kabla ya kuanza kwa zoezi la kuaga mwili wa mwanaye Patrick, katika Viwanja vya Leaders jijini...

READ MORE

MTOTO WA MUNA ALIVYOAGWA LEADERS DAR

    Shughuli ya kuaga mwili wa Patrick imefanyika  viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya waombolezaji,...

READ MORE

PATRICK KUAGWA: Wema, Shilole, Manara Watoa Neno – Video

KUFUATIA msiba wa mtoto wa Muna ‘Patrick’, baadhi ya mastaa wa Bongo Movies, Bongo Fleva na soka wakiwemo Shilole, Wema,...

READ MORE

MWILI WA PATRICK WAAGWA VIWANJA VYA LEADERS – VIDEO

  SHUGHULI ya kuaga mwili wa Mtoto wa Muna Love, marehemu Patrick imeanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es...

READ MORE

England Vs Sweeden: Beckham, Zlatan Wawekeana Dau

UBISHI wa kimichezo wa kuwekeana dau umezuka  baina ya nyota wa soka wa Uingereza (England), David Beckham (aliyestaafu) na  Zlatan...

READ MORE

Muna Azidiwa, Alazwa, Baba wa Patrick Amwaga Machozi – Video

MUDA mfupi baada ya mwili wa mwanaye kuletwa nyumbani kutoka chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Aga Khan jijini...

READ MORE

Mwili wa PATRICK Waagwa Nyumbani Kwao- Video

Mwili wa mtoto Patrick umeagwa nyumbani kwa baba yake maeneo ya Mwananyamala na kupelekwa viwanja vya Leaders kwa ajili ya...

READ MORE

Mwili wa Patrick Ukiwasili Nyumbani Kwao – Video

Mwili wa Mtoto Patrick umefikishwa nyumbani kwa Baba yake Maeneo ya Mwananyamala kwa ajili ya majirani, Ndugu, jamaa na marafiki...

READ MORE

Kutoka Leaders: Hapa Ndipo Patrick Atakapoagwa – Pichaz

MAANDALIZI ya Jukwaa ambapo mwili wa mtoto wa Msanii Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’, Patrick utakapoagwa baadaye leo yamekamilika katika...

READ MORE

LIVE: JPM Akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai,...

READ MORE

RATIBA KUAGA MWILI WA MTOTO WA MUNA LEO LEADERS, DAR

Ratiba ya kuaga na maziko ya mwili wa mtoto Patrick wa muigizaji  Rose Alphonce ‘Muna Love’ na Patrick Peter Zacharia...

READ MORE