×

Habari

Video: Giza Nene Latanda Jijini Arusha Maiti za Wanafunzi Zikiwasili Hospitali

Miili ya marehemu ikishushwa kutoka kwenye ambulance Zoezi la kuteremsha miili likiendelea. Polisi wakiimarisha ulinzi nje ya Hospitali ya Mt....

READ MORE

LIVE Bongo Movies: JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 5

  SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora...

READ MORE

Usikose Tamthilia ya Jumba la Dhahabu Leo Saa 12:30 Jioni- Global TV Online

TAMTHILIYA ya Jumba la Dhahabu ambayo iliibua hisia za watu wengi na kutokea kupendwa na kila rika ‘soon’ itaendelea kuonekana...

READ MORE

FT: Simba 2-1 African Lyon Uwanja wa Taifa

Mpira Umemalizika, Simba wanachukua pointi zote tatu. Dakika ya 90: Mashabiki wa Simba wanashangilia lakini bado mchezo haujamalizika. Dakika ya...

READ MORE

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Kuongoza Kuaga Wanafunzi Waliofariki Arusha Kesho

Makamu wa Rais, Samia Suluhu kesho saa mbili asubuhi ataongoza wakazi wa Arusha katika Uwanja wa Sheikh Abeid Karume kuaga...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori Yajeruhi 10, Watatu Wana Hali Mbaya

Walikuwa wakitoka Turiani kwenda Morogoro ndipo basi hilo lilipogongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitokea Morogoro kwenda nchini Rwanda....

READ MORE

Wasichana 82 Waliotekwa na Boko Haram 2014 Waachiwa Huru

 Wasichana 84 waliotekwa nyara kutoka shule moja iliyopo katika Mji wa Chibok, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria mwaka 2014 na wanamgambo...

READ MORE

Chadema Wamtolea Wema Tamko! Wafuasi Wadai Anawasaliti

Waandishi Wetu | Risasi Jumamosi | Habari DAR ES SALAAM: Baada ya staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kuvaa nguo...

READ MORE

Mrembo Achomwa Visu na Mpangaji Wake, Kisa Kandambili za Chooni

Stori: Waandishi Wetu | Risasi Jumamosi | Habari DAR ES SALAAM: Aisha Salum, mrembo mkazi wa Kiwalani nje kidogo ya...

READ MORE

Nay wa Mitego: Nyumba Yangu Ikiwaka Moto Nakimbia na Sanamu tu

Na Boniphace Ngumije | Risasi Jumamosi | Mpaka Home MAMBO vipi mpenzi msomaji wa Mpaka Home? Kama kawaida ya kolamu...

READ MORE

Fainali ya Shika Ndiga Yafana, Wawili Waondoka na Ndinga

Umati uliofurika kufuatilia fainali ya Shika Ndinga Suleiman Mlela, Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Baraza la Taifa la...

READ MORE

Hii Hapa Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Karatu

Hii ni Orodha ya Majina ya wanafunzi waliofariki dunia baada ya ajali mbaya kutokea wilayani Karatu. Wanafunzi zaidi ya 32, wa...

READ MORE

Video: Maalim Seif Awalilia Wanafunzi Waliofariki kwa Ajali Arusha

Na Elvan Stambuli Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamadi jana ametoa salam za rambirambi kutokana...

READ MORE

VIDEO: Q Boy wa WCB Amwaga Machozi Kuondoka WCB, Awataja Mondi, Kiba na Dimpoz

MSANII Q-Boy Msafi aliyekuwa akifanya kazi kwenye lebo ya WCB, amejikuta akimwaga chozi katikati ya interview na Global TV Online...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Mei 7, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 7, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

LIVE: Taarifa ya Habari TBC 1- Hivi Ndivyo Wanafunzi 32 Walivyofariki Dunia

ARUSHA: Wanafunzi 29 na walimu wao 2 pamoja na dereva wa wamefariki dunia baada ya basi aina ya Coaster waliokuwa...

READ MORE

Rungwe Aomba Kukutana na Magufuli Amshauri

  Picha : Brighton Masalu Mwenyekiti wa Chama Cha Umma (Chauma), Hashim Rungwe amesema ingefaa Rais Dk. John Magufuli akawaalika...

READ MORE

LIVE Bongo Movies: JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 3&4

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu.  Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa JUMBA LA DHAHABU...

READ MORE

FT: Yanga 2-0 Tanzania Prisons, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Taifa, Dar

FULL TIME Dakika ya 94: Mwamuzi anapuliza kipenga kumaliza mchezo, Yanga inapata ushindi wa mabao 2-0. Dakika ya 94: Muda...

READ MORE

Rais Magufuli Ashtushwa na Ajali ya Vifo vya Wanafunzi 32, Karatu

Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kufuatia vifo vya wanafunzi 32 na walimu wao, kufuatia ajali ya Coaster huko Karatu.

READ MORE

Mwanaheri Awatahadharisha Wabunge Wanaomsumbua Mitandaoni

 STORI: HAMIDA HASAN | RISASI JUMAMOSI | TANO KALI STAA wa filamu za Kibongo, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa anawatahadharisha wabunge...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe...

READ MORE

Jennifer Lopez Alinizingua- Shilole

Msanii Shilole amefunguka na kutoa sababu zilizopelekea yeye kushindwa kufanya ngoma na msanii Jennifer Lynn Lopez, alimaarufu kama JLo na...

READ MORE

VIDEO: Darassa Aachia Video Mpya ya ‘Hasara Roho’

Rapa aliyetikisa mitaa na vyombo vya habari na kuzipa shida baadhi ya nyimbo za wasanii wakubwa kushindwa kufanya vizuri kwa...

READ MORE

Breaking News: Wanafunzi Zaidi ya 20 na Walimu Wao Wafariki Ajalini Karatu

ARUSHA: Wanafunzi zaidi ya 20 na walimu wao (idadi haijafahamika) wamefariki dunia baada ya basi la wanafunzi aina ya Coaster...

READ MORE

Bosi Ajitokeza Kuimwagia Mamilioni Simba SC

  NA WILBERT MOLANDI NA MUSA MATEJA | CHAMPIONI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM SIMBA msimu huu imecheza bila mdhamini...

READ MORE

Vodacom Yasherehekea Miaka 23 Ya Uhuru wa Afrika Ya Kusini Jijini

Balozi wa Afrika ya  Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akipongezwa na Meneja Ruzuku wa Vodacom  Tanzania Foundation, Sandra Oswald, kuhusiana...

READ MORE

VIDEO: Bongo Movies & Bongo Fleva Waibukia Bungeni Dodoma

DODOMA: WASANII wa filamu nchini, Bongo Movie pamoja na wale wa muziki, Bongo Fleva jana waliibuka kwenye Ukumbi wa Bunge...

READ MORE

Pointi 3 za Ubingwa Yanga Hizi Hapa

NA WILBERT MOLANDI NA MUSA MATEJA | CHAMPIONI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM YANGA ina mambo matatu ambayo inaamini yataipa...

READ MORE

Sasha Achukizwa na Wanaobeza Umbo Lako

STORI: HAMIDA HASSAN | RISASI JUMAMOSI | TANO KALI VIDEO Queen Sasha Kassim ameibuka na kusema kuwa anachukizwa na wanaobeza...

READ MORE

Baraka Akiri Naj Kumpoteza Kwenye Media

STORI: BONIPHACE NGUMIJE |RISASI JUMAMOSI| Mikito Nusunusu MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Baraka...

READ MORE

Ajali ya Malori Kugongana Yaua Wawili Dar

DAR ES SALAAM: Watu wawili wamepoteza maisha na mmoja kujeruhiwa kwa kuvunjika mguu baada ya malori mawili kugongana eneo la...

READ MORE

Msuva Bhana, Eti Mbaraka, Abdulrahman Hawamtishi

Stori Musa Mateja | Championi Jumamosi | Habari SIMON Msuva wa Yanga ana mabao 12 katika Ligi Kuu Bara sawa...

READ MORE

Niyonzima: Yanga Msiogope, Tunapanda Ndege Kama Kawa

Stori: Wilbert Molandi na Ibrahim Mressy | Championi Jumamosi | Habari BAADA ya kulitema Kombe la FA, nahodha msaidizi na...

READ MORE

Simba: Lyon Mkijichanganya Imekula Kwenu

Na Khadija Mngwai na Sweetbert Lukonge | Championi Jumamosi | Habari SIMBA imekiri kwamba kweli iliteleza na kufungwa bao 1-0...

READ MORE

Aunty Lulu Awekwa Kinyumba

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassa, Risasi Jumamosi, Habari DAR ES SALAAM: Imevuja! Baada ya hivi karibuni kuamua kupima Ukimwi...

READ MORE