×

Habari

Kumwagana na Mpenzi Wake Eti ni Kiki

Na GLADNESS MALLYA |IJUMAA WIKIENDA| UBUYU ULIYONYOOKA DAR ES SALAAM: Huu ubuyu si wa nchi hii! Habari za unyunyuzi zikufi...

READ MORE

Sabby: Ndoa Ilinipotezea Muda

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend DUH! Kwa mara ya kwanza tangu ndoa yake ivunjike mwaka jana, msanii wa filamu...

READ MORE

Cameroon Ndiyo Mabingwa wa AFCON 2017

GABON: Usiku wa kuamkia leo, Timu ya Taifa ya Cameroon wamefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2017‘ baada...

READ MORE

Khadija Kopa: Nina Zawadi ya Kuwapa Wapendanao, Dar Live

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend ZIKIWA zimesalia siku kadhaa kufikia Februari 14, am­bayo ni Sikukuu ya Wapendan­ao ‘Valentine’s Day’...

READ MORE

Ndoa Siyo Nguo ya Kujaribisha na Kuacha

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA| XXLove NINA kila sababu ya kumshuku ru Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo, Jumatatu, Februari 6, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Februari 6, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Rashida Adaiwa Kuwauza Mastaa Kwenye Msambwanda

Na HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Baada ya habari kujaa tele kwenye Wikienda kuwa...

READ MORE

Profesa Lipumba Akanusha Kuwa ‘Kibaraka’ wa Serikali

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amekanusha tuhuma za kuwa na ukaribu unaotia shaka kati yake na...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua Saba Wakiwamo Viongozi wa CCM na Mwanahabari Kilimanjaro

KILIMANJARO: Watu saba wamefariki dunia wakiwemo Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Hai, MNEC wa Wilaya ya Same pamoja na mwandishi...

READ MORE

Nape: Busara Itumike Kutaja Wasanii Wanaotuhumiwa kwa Madawa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameingilia kati na kutaka busara itumike katika zoezi la kutaja wasanii...

READ MORE

Serikali Imetangaza ‘Diploma’ Ndiyo Kigezo cha Chini Elimu kwa Waandishi wa Habari

Serikali imetangaza kuwa kiwango cha chini cha taaluma anayopaswa kuwa nayo mwandishi wa habri kuwa ni ‘Diploma ya Uandishi wa...

READ MORE

ACT- Wazalendo Kuadhimisha Miaka 50 ya Azimio la Arusha

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimepanga kufanya mkutano mkuu kuadhimisha mwaka wa miaka 50 wa Azimio la Arusha Machi 25 mwaka huu...

READ MORE

Mpoto Atinga Ofisi za Global Publishers

Mkali wa tungo za Kiswahili aliyejizolea umaarufu mkubwa Bongo kutokana na ujumbe unaobebwa kwenye mashairi yake, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’, leo...

READ MORE

Mzambia, Mtanzania Wakamatwa na Madawa ya Kulevya India

Thelma Mkandwire (kushoto) na Pamela Devid Kirtitta. NEW DELHI, INDIA: WANAWAKE wawili, Mzambia Thelma Mkandawire (38) na Mtanzania Pamela David...

READ MORE

Amwua Binti Yake Kwa Kutopiga Mswaki

IRIS HERNANDEZ-RIVER (20) mwanamke mkazi wa Gaithersburg, Jimbo la Maryland, Marekani, alimwua binti yake, Nohely Alexandra Martinez Hernandez mwenye umri...

READ MORE

Mpoto Afunguka Sakata la Madawa ya Kulevya

  MWANAMUZIKI wa muziki wa asili Bongo, Mrisho Mpoto, amefunguka kuhusu ishu ya madawa ya kulevya kwa kueleza dawa hizo...

READ MORE

Video: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Harmorapa na Mpenzi Wake

MPAKA HOME: Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, Harmorapa aliyejipatia umaarufu kutokana na...

READ MORE

EPL: Liverpool Achezea 2 za Hull City

JANA Jumamosi, Februari 4, 2016, Klabu ya Liverpool wakiwa ugenini wameendeleea kuchezea kichapo baada ya kunyukwa na Klabu ya Hull...

READ MORE

Video: Jack Pemba Afanya Birthday ya Kufuru

UGANDA: Mfanyabiashara maarufu nchini aliyehamishia makazi yake nchini Uganda, Pedeshee Jack Pemba, jana alifanya birthday ya kufuru nchini Uganda, huku...

READ MORE

Kamanda Sirro: Wema Sepetu, Nyandu Tozzy na TID Bado Wako Ndani

Wema Sepetu na askari Kanzu.  DAR ES SALAAM: Wakati macho na masikio ya Watanzania wakisubiri kusikia hatma ya wasanii wanaodaiwa...

READ MORE

Burkina Fa­­so Yaichapa Ghana na Kuibuka Mshindi wa 3 Afcon 2017

Timu ya Taifa ya Burkina Faso imekuwa mshindi wa tatu wa mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Gabon, baada ya kuifunga...

READ MORE

Mvua Kubwa Yasababisha 1394 Kukosa Makazi Mwanza

MWANZA: Zaidi ya kaya 1394 za mitaa minane ya Kata ya Nyegezi jijini Mwanza, hazina makazi kufutia mvua kubwa iliyoambatana...

READ MORE

Raia wa Mataifa 7 ya Kiislamu Yaliyozuiliwa na Trump, Sasa Kuingia Marekani

MAREKANI: Jaji mmoja wa Marekani amesimamisha kwa muda utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kuwazuia raia kutoka mataifa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo, Jumapili, Februari 5, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Februari 5, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Sakata la Madawa ya Kulevya Lachukua Sura Mpya

DAR ES SALAAM: Kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Februari 2, 2017 kutaja majina ya askari,...

READ MORE

MR Shinda Nyumba Afunga Mitaa Kukusanya Kuponi

DAR ES SALAAAM: Mr. Shinda Nyumba, Julius Charles leo Jumamosi amefunga mitaa mbalimbali katika jijini la Dar, wakati akipita kukusanya...

READ MORE

Daimond Amshikia Panga Manaiki

  Na WAANDISHI WETU| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Ilitokea lakini haikuandikwa! Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’...

READ MORE

Simba SC Yaigonga Majimaji 3G Nyumbani

KLABU ya Simba wamefanikiwa kuibuka na pointi 3 baada ya kuichapa  Majimaji bao 3-0 katika Uwanja wa Majimaji mjini Songea....

READ MORE

Video: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Harmorapa na Mpenzi Wake

Na IMELDA MTEMA|RISASI JUMAMOSI| MPAKA HOME MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa kijiwe hiki Mpaka Home, kama ilivyo ada ni...

READ MORE

Chelsea Yaijipigia 3-1 kwa Arsenal

Marcos akishangilia bao. Marcos akiifunga Arsenal kwa bao la ‘ndoo’ Wenger (mwenye tai nyekundu) akiwa haamini kinachoendelea Kocha wa Chelsea...

READ MORE

Baby Madaha: Siyo Msagaji, Mtamuona Baby Wangu!

Stori: ERICK EVARIST| RISASI JUMAMOSI| STAA wa Muziki na Filamu Bongo, Baby Joseph Madaha, amekanusha vikali madai ya usagaji yanayomuandama...

READ MORE

Jack Pemba Afanya Birthday ya Kufuru…

UGANDA: Mfanyabiashara maarufu nchini aliyehamishia makazi yake nchini Uganda, Pedeshee Jack Pemba, jana alifanya birthday ya kufuru nchini Uganda, huku...

READ MORE

‘Zigo’ Lampagawisha Bob Junior Kinoma!

Stori: Na Andrew Carlos | IJUMAA | ShowBiz Ama kweli kuna watu wamejaaliwa! Msanii wa muziki Bongo, Bob Junior hivi...

READ MORE

Sakata la Dawa za Kulevya: IGP Mangu Awasimamisha Kazi Askari 12, Majina Yao Yako Hapa (+Video)!

STORI: DENIS MTIMA | GLOBAL PUBLISHERS DAR ES SALAAM: Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu amewasimamisha kazi...

READ MORE

Linex Akaribia Kuitwa Baba…

Hellen Seriko mchumba wa Linex (Mjamzito) MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayefanya poa kwa sasa na ngoma yake ya...

READ MORE

Wengi Wanaachika kwa Kutikisa Kiberiti, Jifunze!

Na ERICK EVARIST |RISASI JUMAMOSI| LOVE STORY “MWANAMKE wangu ukimuambia naomba uwe unazima friji kwa kipindi ambacho halina ulazima, huwa...

READ MORE

Video: Wema na Wasanii Wenzake Walivyofika na Kuhojiwa Police Central Ishu ya Madawa

Angalia video ya Wema na Wasanii Wenzake Walivyofika na Kuhojiwa Police Central Ishu ya Madawa, walipotakiwa kuripoti kituoni hapo

READ MORE

Husna: Niacheni Nile Makombo Yangu Mwenyewe!

Stori: Imelda Mtema | RISASI JUMAMOSI | Dar es Salaam MREMBO aliyewahi kunyakuwa Taji la  Miss Kinondoni 2011, Husna Maulid...

READ MORE

Baada ya RC Makonda Kumtaja ‘Tunda’ Kwenye Tuhuma za Madawa, Tunda Man Amesema Haya!

MASTAA BONGO WAKOSWA USINGIZI! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuanika...

READ MORE