ILIPOISHIA IJUMAA… Elimu ya msingi alisoma Tanga, lakini elimu ya sekondari na chuo alisoma Dar na akapata kazi hapohapo...
READ MOREILIPOISHIA WIKIENDA Huyo mtu atakuoa wakati huu unasoma au…” “Anasubiri nimalize masomo.” “Lini?” “Hapo nitakapomaliza.” “Kwa hiyo ukienda kidato cha...
READ MOREWAMAKONDE na Wameto wa Msumbiji wanaishi katika Mkoa wa Cabo Delgado Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na Wamakonde wa Tanzania wanaishi...
READ MOREILIPOISHIA WIKIENDA Wakati tunataka kuagana alitia mkono mfukoni akatoa bupa la noti, akahesabu shilingi elfu hamsini akanipa. “Chukua hii...
READ MORENaitwa Esma Mabruki, lakini watu wangu wa karibu walinikatisha na kuniita Esy. Mpaka leo Esy ndilo limekuwa maarufu. Ni mzaliwa...
READ MOREAliendelea kumwambia rubani yule ashushe ndege kwa kiasi fulani ili aweze kuruka. Baada ya kubembelezwa sana hatimaye rubani huyo akaishusha...
READ MOREILIPOISHIA: Alikuwa hanielewi kwa nini nimebadilika ghafla, nimekuwa na mambo mengi ya ajabuajabu, sioneshi kumhitaji tena kama siku za mwanzo...
READ MOREILIPOISHIA: “Yule kule aliyekuwa ananguruma kama mnyama ni nani?” Firyaal aliuliza swali, nikawaona wenzake wote wakitingisha vichwa, kuunga mkono swali...
READ MOREILIPOISHIA: “Jamal! Jamal! Amka, kuna tatizo,” sauti ya Junaitha ndiyo iliyonizindua kutoka kwenye usingizi fofofo, nikakurupuka nikiwa na shauku kubwa...
READ MOREILIPOISHIA: Vijana wadogo tu kama mimi, wengine hata nawazidi lakini wanaendesha magari ya kifahari barabarani, kwa nini na mimi nisionje...
READ MOREILIPOISHIA: Kilichotokea baada ya kufanya hivyo kwa mara ya tatu, kilinifanya nihisi kama mwili wangu unakufa ganzi kwa hofu, sijawahi...
READ MOREILIPOISHIA: Harakaharaka nikafungua mlango nikiwa ni kama siamini nilichokisikia, nikamkuta Shenaiza akihangaika kujigeuza, jambo ambalo hakuwa amelifanya kwa kipndi kirefu...
READ MOREILIPOISHIA: “Ukitaka kuendelea kuishi, kazi ni moja tu, tunataka utuoneshe Shenaiza alipo na pia utuambie mbinu zote za kishirikina ulizomfanyia...
READ MOREILIPOISHIA: Sikuyaamini macho yangu kugundua kwamba tulikuwa Mlandizi, tena jirani kabisa na pale ile ajali ilipotokea. Nilipotazama upande wa pili...
READ MOREILIPOISHIA: Ni kama fahamu zake zilikuwa zimemrejea kwani alishtuka sana kuniona ndani ya chumba chake, akageuka huku na kule huku...
READ MOREILIPOISHIA: Kwa mbali niliwaona watu kadhaa wakiwa wamevaa nguo zilizokuwa zikifanana na zile nilizovaa, lakini kila mmoja akiwa ameinamisha kichwa...
READ MOREILIPOISHIA: “Tunaenda Chunya, hutakiwi kwenda kinyume na maelekezo tunayokupa, ukifanya uzembe tu, kitakachokutokea ni juu yako,” alisema baba kwa sauti...
READ MOREILIPOISHIA: Tukaanza kuulizana maana ya kile kilichofanyika mpaka tukafanikiwa kumuokoa Shamila ambapo Junaitha alianza kutufundisha mambo ambayo hakuna aliyekuwa akiyajua...
READ MOREILIPOISHIA: Ni kweli nilikuwa na marafiki wengi wanaonipenda kule nyumbani Chunya lakini sikuwa tayari hata kidogo kuona mtu yeyote asiye...
READ MOREILIPOISHIA: “Chukua taulo pale kabatini ingia bafuni ukaoge,” alisema akiwa amekaa juu ya kitanda kikubwa cha kisasa akihangaika kufungua zipu...
READ MOREKatika hali isiyo ya kawaida, Wezi wamevamia duka moja lililopo Mwananyamala mtaa wa Msisiri B Jijini Dar es salaam ,majira...
READ MORESAA saba na dakika zake mchana, tumbo la Ashrafu lilikuwa likiunguruma kwa kusakamwa na njaa kali, aliamua kutoka ofisini kwao...
READ MOREILIPOISHIA: “Sasa kazi itafanyika,” alimwambia Williams kwenye simu. “Ukikamilisha ! Nakuahidi kukupa dola milioni kumi. Huyu mpumbavu ananinyima sana usingizi,”...
READ MORE Global TV Online inakuletea kipindi maalum cha Hadithi na Simulizi za Mtunzi Mahiri, Eric James Shigongo zilizo katika mfumo...
READ MOREILIPOISHIA RISASI MCHANGANYIKO: “Vivian wewe ni kati ya wasichana warembo wenye kumvutia kila mwamaume! Umeumbwa ukaumbika mamaa! Nakuomba kwa muda...
READ MOREGlobal TV Online inakuletea kipindi maalum cha Hadithi na Simulizi za Mtunzi Mahiri, Eric James Shigongo zilizo katika mfumo wa...
READ MOREILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI… “Mwanzoni sikutaka kwa kweli, lakini ushawishi wako umesaidia sana hadi nikajikuta nafurahia maandalizi na hatimaye namna ambavyo...
READ MOREBAADA ya Mwatumu kupewa mashuti na maneno makali na meneja wake, aliamua kuondoka kwa hasira hadi chumbani kwake na kuanza...
READ MOREILIPOISHIA RISASI MCHANGANYIKO: Hata hivyo, kabla Bigambo hajasema chochote kutokana na kauli ya Vivian alimimina tena ‘nyagi’ kwenye glasi na...
READ MORE“Jisikie huru!” alisema mzee huyo. “Nashukuru sana!” Mzee Al Fakh akaondoka na kwenda chumbani kwake, alipofika, haraka sana akachukua simu...
READ MOREILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: “Acha mambo yako bwana, ngoja niondoke,” Vivian alisema huku akikanyaga mguu kwenye kigingi cha kukanyagia kabla...
READ MOREMsichana mrembo, Jackline Manyilizu anajifungua mtoto mrembo, mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na Kizungu. Ni mtoto mzuri aliyeitwa Theresia, muonekano wake...
READ MOREILIPOISHIA KWENYE RISASI MCHANGANYIKO: “Oooh, mama nami naelekea kupasua daaaafuuuu…,” Bigambo aligugumia na hapohapo alizidisha kasi ya ukweaji na kulishika...
READ MORE“Baby…” aliita Vivian wakati huohuo mkono wake wa kushoto ukikiparamia kifua cha fundi kilichokuwa wazi na kuiacha bustani ionekane kwa...
READ MORE“OH My God! It is a ruptured pregnancy!”(Mungu wangu! Kumbe mfuko wa uzazi umepasuka!) aliongea kwa sauti Dk. Namshitu Fundikira,...
READ MOREILIPOISHIA: “Sikuwahi kudhani kwamba unaweza kuwa na nguvu kubwa kiasi hicho, hongera sana, utanifaa sana wewe,” alisema huku akipitisha mkono...
READ MOREILIPOISHIA: Ni kweli nilikuwa na marafiki wengi wanaonipenda kule nyumbani Chunya lakini sikuwa tayari hata kidogo kuona mtu yeyote asiye...
READ MOREILIPOISHIA: “Kwa nini unanifanyia hivi Togo? Ina maana nimekosea kukupenda?” alisema huku machozi yakizidi kumtoka, nikaanza kumbembeleza huku nikimfuta machozi,...
READ MOREILIPOISHIA: “Ndiyo,” nilisema kwa kujiamini, akanitazama usoni kisha akaenda mlangoni na kufungua, akawaita Raya na Firyaal, wakaingia ndani na tukakaa...
READ MOREILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: “Unajua Mungu anatuvumilia kwa mengi sana, mama yangu vile, wewe niamini mimi,” Bigambo alikomelea maneno hayo...
READ MORE