×

Hadithi

Michirizi Ya Damu – 16

Akapelekwa katika chumba ambacho alitakiwa kukaa kwa siku zote ambazo angesubiri safari ya kwenda nchini Marekani. Moyo wa Fareed ulikuwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 49

ILIPOISHIA: Ndani ya dakika mbili tangu tukae mkao huo, kuna mambo ya ajabu yalianza kunitokea, mapigo ya moyo yakawa yanazidi...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 52

ILIPOISHIA: Lakini ni hapo pia nilipokumbuka ile ajali nyingine ya bodaboda niliyoisababisha na pia nikakumbuka kisanga cha dereva wa Bajaj...

READ MORE

Ukinipa 900… Itapendeza Zaidi-6

ILIPOISHIA IJUMAA: “Hapana!” “Kuna tatizo kukushika kama hivi?” Asha akausogeza mkono wake hadi mashavuni mwa Shaka… Hakuwa Asha yule aliyezoeleka…kilichomleta...

READ MORE

Hadithi Mpya ya Eric Shigongo – I miss My God! (Namkumbuka Mungu Wangu)

  I miss My God! (Namkumbuka Mungu Wangu) Mtunzi: Eric Shigongo; “Oh My God! It is a ruptured pregnancy!”(Mungu wangu!...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 51

ILIPOISHIA: “Sikuwahi kudhani kwamba unaweza kuwa na nguvu kubwa kiasi hicho, hongera sana, utanifaa sana wewe,” alisema huku akipitisha mkono...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 48

ILIPOISHIA: “Nakupenda Jamal,” alisema kisha akanibusu kwenye shavu langu la upande wa kushoto, mwili wote ukasisimka tena, nikakosa hata cha...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-10

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: Kwere aliondoka na kumuacha Bigambo akiwaza hili na lile kichwani mwake juu ya namna gani aanze...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 47

ILIPOISHIA: “Nataka nikalale na dada Shenaiza,” alisema kwa sauti ya kudeka huku akinisogelea na kujilaza kifuani kwangu, nikapitisha mkono wangu...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 50

ILIPOISHIA: Sijisifii lakini ukweli ni kwamba katika suala la mbio, nilikuwa na uwezo mkubwa sana, dakika chache baadaye nikawa nimeshatokomea...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 49

ILIPOISHIA: Nilipofika, na mimi nilijifanya ni mwombolezaji wa kawaida tu, nikawasalimia baadhi ya watu kisha nikajichanganya na waombolezaji wengine. Ghafla...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 46

ILIPOISHIA: “Ulisema unasomea IT, hebu chukua ile laptop pale uje hapa unisaidie kitu,” nilimtega, naye ni kama alikuwa akiisubiri nafasi...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio..! -9

ILIPOISHIA KWENYE RISASI MCHANGANYIKO… Wafanyakazi wengine wakawa wanapita na kuwatazama kwa macho yenye tafsiri tofautitofauti. “Bigambo na Vivian mnaitwa na...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio – 10

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: Mzee hakutaka kuichezea bahati hiyo, akaanza kusaga na kukoboa kwa umahiri wa hali ya juu, Vivian...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 15

“Nigeria!” “Ooh! Sawa. Kwenda Ulaya si tatizo. Ila una pesa?” aliuliza kijana mmoja. “Kiasi gani?” “Kukufanyia mpango ni paundi mia...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 14

Alitakiwa kuwa na haraka sana, hakutakiwa kupoteza muda hata mara moja. Akatembea kwa mwendo wa haraka mpaka katika chumba alichokuwemo...

READ MORE

Ukinipa 900…Itapendeza Zaidi

Hata uende kwa fundi gani kwangu utarudi tu!” Shaka aliongea kwa kujiamini akifungua simu ya mteja. Asha hakuwa na namna…kwa...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-8

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: “Unaweza kunitibu na mimi Jisu?” Vivian aliuliza na kumtazama tena usoni Jisu lakini pia akawa kama...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 13

Walichanganyikiwa, hawakuamini kile walichokuwa wamekikuta. Wakaanza kumtafuta kila kona ndani ya hospitali hiyo lakini mtu huyo hakuonekana. Hawakujua ni kitu...

READ MORE

Penzi Lenye Maumivu-6

ILIPOISHIA IJUMAA… Alitamani kumkatalia, lakini wakati mwingine hakuona kama hilo lilikuwa jambo jema kwani hata yeye mwenyewe mwili wake ulikuwa...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio..!-5

ILIPOISHIA RISASI MCHANGANYIKO: “Hapana, hebu ngoja kwanza nitengeneze ndipo nikuambie ni kiasi gani maana kwa sasa naweza kusema kumbe nikawa...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-6

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: Raphael alihamaki baada ya kuusukuma mlango na kugundua kwamba umeshafungwa kwa ndani, ni hapo ndipo hasira...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 12

“Mleteni lakini nitamfanyia baada ya saa tano,” alisema Dk. Watson. “Haina shida.” Hawakutaka kubaki nyumbani hapo, haraka sana akachukuliwa na...

READ MORE

Penzi Lenye Maumivu-4

ILIPOISHIA IJUMAA: Hakuwa na akili nyingi darasani, alikuwa na uwezo wa kawaida, upole wake ukawafanya wengi kupenda kuongea naye, lakini...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 11

“Ni mambo makubwa yaliyonitokea. Hakika nitamchukia Keith maisha yangu yote,” alisema Fareed huku akimwangalia Asteria. “Kuna nini tena?” Hapo ndipo...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio..!-3

ILIPOISHIA KWENYE RISASI MCHANGANYIKO: “Acha mambo yako bwana, ngoja niondoke,” Vivian alisema huku akikanyaga mguu kwenye kigingi cha kukanyagia kabla...

READ MORE

Jirani, Kweli We’ Mwanaume Mashine!-8

ILIPOISHIA “Si kwa hiki ulichonifanyia, yaani unanikoboa kama vile unahama, kwa mchezo wa leo, najiona siwezi kucheza mechi tena za...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 10

“Nisamehe mpenzi! Nilikuwa sehemu fulani hivi,” alisikika Mickey kwenye simu. “Nimekukumbuka jamani! Mpaka nikataka nijiue kwa ajili yako,” alisema Fareed...

READ MORE

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-2

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: Wakati akijiandaa kusema alichokuwa amekusudia, ghafla Jagadi alitokeza na kuwatazama wote wawili kwa jicho la ‘duh...

READ MORE

Snura Naye Kuiburuza Kampuni Mahakamani

WAKATI marapa marafiki Ambwene Yesaya ‘AY’ na Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ wakiwa wamekaa mkao wa kula kusubiri mamilioni ya shilingi...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 09

Ndani ya dakika kumi, simu ya Fareed ikalia kuonyesha kwamba kulikuwa na ujumbe, haraka sana akaichukua na kuangalia, ilikuwa ni...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 08

Akakaa na kumsubiria mzee huyo. Alimwambia kwamba angefika nyumbani hapo muda si mrefu. Akajiachia kochini huku moyo wake ukiwa na...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 45

ILIPOISHIA: Nguo maalum aliyofunikwa upande wa kichwani, ilifanya iwe vigumu kwa mtu yeyote kumtambua, tukaendelea kusonga mbele mpaka tulipofika kwenye...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 07

“Hujioni? Nenda kachukue kioo halafu jiangalie,” alisema Keith huku akimwangalia Fareed. “Hapana!” “Niamini!” Safari zake za kutafuta wanaume hazikuisha, aliendelea...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 48

ILIPOISHIA: Nilichopanga kichwani, ni kuchukua maelekezo vizuri kwa yule mtu aliyesema marehemu ni jirani yake kisha kwenda kwanza mpaka eneo...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 44

ILIPOISHIA: Ilibidi Raya abaki palepale hospitalini mpaka usiku ili iwe rahisi kufanya kazi yetu, muda ukazidi kuyoyoma na hatimaye giza...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 47

ILIPOISHIA: “Broo vipi unaenda?” alisema huku akisimamisha Bajaj yake jirani kabisa na pale nilipokuwa nimesimama, nadhani kwa sababu ya kigiza...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 06

“Ulikuwa unaongea na nani?” aliuliza huku akionekana kuwa na hasira kali. “Rafiki yangu!” “Ndiyo ukaongelee chooni!” “Jamani! Si mambo yetu...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 46

ILIPOISHIA: Tangu nizaliwe, sikuwahi kuchinja hata kuku tu, achilia mbali ndege tuliokuwa tukiwawinda kule kijijini kwetu lakini sasa eti nilikuwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 43

ILIPOISHIA: Kauli yake hiyo ilitufurahisha sana mimi na Shamila, tukawa na uhakika kwamba sasa kazi itakuwa nyepesi kwa sababu tayari...

READ MORE