×

Kimataifa

Amshitaki Mkewe kwa Kumzalia Watoto Wenye Sura Mbaya

GAZETI la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo mwanamme mmoja aitwaye Jian Feng, amemshitaki mkewe kwa...

READ MORE

Watu 50 Wahofiwa Kufa kwa Kufukiwa na Kifusi Machimboni

Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kupoteza maisha, baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa kwenye machimbo ya dhahabu katika eneo la...

READ MORE

Kinachondelea Msiba wa Mama wa P Funk

FAMILIA ya mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva,  Paul Matthysse ‘P Funk Majani’,  ambao wamempoteza mama yao, Aunt Sheilah, juzi...

READ MORE

Ang’atwa na Nyoka Sehemu za Siri Akijisaidia

SIRAPHOP MASUKARAT  (18), raia wa Thailand, majuzi aling’atwa na nyoka sehemu za siri wakati akijisaidia chooni. Amesema nyoka huyo alitokea...

READ MORE

Mwanamke Mwafrika wa Kwanza Kuajiriwa Shirika la Anga za Juu (NASA)

  FADJI MAINA amekuwa mwanasayansi wa kwanza kutoka nchini Niger kufanya kazi na Shirika la Anga za Juu la Marekani...

READ MORE

Afrika Kusini Yamkemea Trump ‘Kumdharau’ Mandela

CHAMA tawala cha Afrika Kusini, African National Congress (ANC),  kimemuita Rais wa Marekani, Donald Trump kuwa mtu “anayesababisha uhasama, mwenye...

READ MORE

Makamu wa Rais Anusurika Kuuawa kwa Bomu

MAKAMU wa Rais wa Afghanistan, Amrullah Saleh, amenusurika kifo baada ya watu wanaosadikiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Taleban, kushambulia...

READ MORE

Mfungwa Aliyemshambulia R Kelly Adai Alitumwa na Serikali

HATIMAYE mfungwa aliyemshambulia mwimbaji wa RnB duniani, Robert Kelly. maarufu R Kelly wakiwa gererani amejitokeza na kuzungumza sababu hasa za...

READ MORE

Rais Aongoza Maombolezo Kifo cha Samaki ‘Mafishi’

ZAMBIA inaomboleza kifo cha samaki wake mkubwa katika Chuo Kikuu cha Umma cha Copperbelt (CBU).  Samaki huyo aliyejulikana kama ameombolezwa...

READ MORE

Wafungwa Wafa Njaa, Kikombe cha Uji kwa Siku 3

WAFUNGWA katika Gereza la Bunia mkoani Ituri, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,  wanakabiliwa na baa la njaa, baada...

READ MORE

Afungwa na Miaka 18, Aachiwa Akiwa na Miaka 100

BABU mwenye umri wa miaka 100 aliyekuwa anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la mauaji nchini Nigeria ameachiwa huru...

READ MORE

Wasiojulikana Wamchukua Kiongozi wa Maandamano Belarus

KIONGOZI  wa maandamano nchini Belarus, Maria Kalesnikava, amechukuliwa na watu wasiojulikana waliovalia barakoa na kumtia kwenye gari katika eneo la...

READ MORE

Mbunge Akamatwa Kwa Kumkashifu Rais

Mbunge wa Jimbo la Emurua Dikirr nchini Kenya, Johanna Ng’eno amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumkashifu Rais Uhuru Kenyatta...

READ MORE

Ota Benga: Kijana Mkongo Aliyetekwa na Kugeuzwa Maonyesho Marekani

Ota Benga alitekwa nyara huko ambako sasa kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani, lengo...

READ MORE

Vifurushi 21 Msaada wa Jack Ma Havikufika Kenya

Naibu wa Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Chris Obure amefichua kuwa vifurushi 21 vilivyokuwa na vifaa vya matibabu vilivyotolewa na...

READ MORE

Mbwa Watumika Kugundua Covid-19

CHUO Kikuu cha Namibia, kitengo cha dawa ya mifugo, kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa. Mpango wa nchi...

READ MORE

Kemikali nyingine za milipuko zagunduliwa bandari ya Beirut

JESHI la Lebanon limesema limegundua tani zaidi ya nne za madini ya kemikali ya ammonia nitrate karibu na lango la...

READ MORE

Mmarekani Mwingine Mweusi Auawa na Polisi

MTU mmoja mweusi nchini Marekani, Daniel Prude, amefariki dunia baada ya kundi la polisi nchini humo kumvalisha kofia na kisha...

READ MORE

Rais wa Mali Aliyepinduliwa Alazwa Hospitali

RAIS wa Mali aliyepinduliwa hivi karibuni, Ibrahim Keïta, amelazwa hospitali katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako. Hata hivyo bado...

READ MORE

Bobi Wine Ashitakiwa Akidaiwa Kudanganya Umri Wake

MAHAKAMA nchini Uganda imemtaka mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, kufika mbele yake kujibu tuhuma za kutoa taarifa...

READ MORE

Watu 90 Wafariki kwa Mafuriko

TAKRIBAN watu tisini wamefariki na wengine karibu  400,000 kuachwa bila makao kufuatia mafuriko makubwa Sudan.   Umoja wa Mataifa unasema...

READ MORE

Precision Yasitisha Safari Zake Kenya

SHIRIKA  la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo....

READ MORE

HESLB Yaongeza Muda wa Kuomba Mkopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuongeza muda wa siku kumi za kuomba mkopo kuanzia...

READ MORE

Wanandoa Waliodumu Zaidi Waingia Rekodi za Guinness

JULIO MORA (110) na Waldramina Quinteros (104)  wenza walioana mwaka 1941, kwa ndoa ya siri baada ya familia zao kutoidhinisha...

READ MORE

Japan Yajaribia Gari Linalopaa Kama Ndege

KAMPUNI la Sky Drive Inc. lilifanya onyesho Agosti 25, 2020, eneo la  Toyota Test Field, ambalo ni moja ya makampuni...

READ MORE

Jimama (42) Mbaroni kwa ‘Kubemenda’ Katoto (14)

MWANAMKE mmoja mwenye umri wa miaka 42 nchini Kenya anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa tuhuma za kwa...

READ MORE

Maharusi 6 Wafunga Ndoa Pamoja Kupunguza Gharama

JANGA la virusi vya corona si tu limeathiri watu kiuchumi, lakini pia kijamii hasa namna watu wanavyoshiriki katika shughuli zinazohusisha...

READ MORE

TANZIA: Mfalme T’Challa wa Black Panther Afariki Dunia

Muigizaji maarufu duniani CHADWICK BOSEMAN amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 jijini Los Angeles nchini Marekani kwa matatizo...

READ MORE

Shinzo Abe Ajiuzulu Uwaziri Mkuu wa Japan

Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ametangaza kwamba amejiuzulu kutokana na sababu za kiafya.   Amesema kwamba hataki maradhi alionayo...

READ MORE

Aliyesakwa Miaka 12 na FBI kwa Mauaji ya Watoto Wake Anaswa!

DEREVA wa teksi, Yaser Abdel Said (63),  aliyekuwa akisakwa na Shirika la Upelelezi la Marekani  (FBI) kwa tuhuma za mauaji...

READ MORE

Wafanyakazi Waandamana Wakidai ‘Nyongeza ya Covid-19’

Wafanyakazi katika sekta ya afya pamoja na elimu jijini Johannesburg nchini afrika kusini wameandamana nje ya makao makuu ya jengo...

READ MORE

Aliyeua Waumini 51 Misikiti 2 New Zealand Jela Maisha

MSHAMBULIAJI ambaye aliwaua kwa bunduki waumini 51 kwenye misikiti miwili nchini New Zealand amehukumiwa kifungo cha maisha jela na kwa...

READ MORE

Marekani Yatengeneza Gari Linalopaa Kama Ndege

HATIMAYE magari yenye kupaa yamewasili!  Baada ya jitihada za kuunga mashine mbalimbali na kufanya majaribio kadhaa, Jeshi la Anga la...

READ MORE

TCAA Yazuia Mashirika 3 ya Ndege Kenya Kufanya Safari TZ

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezizuia kampuni tatu za ndege kutoka Kenya, ambazo ni Air Kenya Express, Fly...

READ MORE

Rais Azuiwa Kushiriki Uchaguzi

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa...

READ MORE

Urusi Yaituhumu Ujerumani Kuwa ‘Kimbelembele’

IKULU ya Urusi, Kremlin, imewatuhumu madaktari wa Kijerumani kuwa na ‘kimbelembele’, baada ya kusema kuwa vipimo alivyofanyiwa kiongozi wa upinzani...

READ MORE

Trump Ashtukia Kuibiwa Kura, Akionya Chama Chake!

Rais wa Marekani Donald Trump amewaonya Warepublican wenzake kwamba wapinzani wao huenda “wakaiba” uchaguzi wa Novemba, wakati chama chake kilipomuidhinisha...

READ MORE

Wafukua Sarafu za Dhahabu Zenye Miaka 1,100

VIJANA waliojitolea kuchimba katika hazina ya kiikiolojia ya Israel wamebaini sarafu 425 ambazo zilikuwa zimezikwa kwenye chungu cha udongo kwa...

READ MORE

Trump Ateuliwa Kuwania Urais Kupitia Republican

CHAMA  cha Republican nchini Marekani jana kimemuidhinisha Donald Trump kuwa mgombea wake wa kiti cha urais katika uchaguzi wa Novemba...

READ MORE

Shambulio Burundi: Watu 15 Wauawa

TAKRIBAN watu 15 wameripotiwa kuuawa na wakati watu wenye silaha walipofanya mashambulio Kusini mwa Burundi.   Mapigano hayo yaliyotokea katika...

READ MORE