RAIS wa zamani wa Congo/Brazaville Pascal Lissouba, amefariki dunia nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 88, chama chake kimeliambia...
READ MOREMSHAURIwa Ikulu ya Marekani, Kellyanne Conway, ametangaza kujizulu nafasi hiyo akisema ataacha rasmi kazi mwishoni mwa mwezi huu. Katika...
READ MORERAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesaini sheria inayozuia shule za serikali kuwatenga wasichana ambao ni wajawazito kuhudhuria masomo. Chini...
READ MOREKIONGOZI wa upinzani nchini Belarus, Svetlana Tikhanovskaya, amewataka waandamanaji wanaodai demokrasia kuendelea na juhudi hizo, akisema Rais Alexander Lukashenko hana...
READ MOREJUMUIYA ya Kiuchumi ya nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) na kundi la wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Mali wamekubaliana kufunga...
READ MOREAMA kweli duniani kuna mambo! Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 45, ameuawa kutokana na kipigo alichokipata kutoka...
READ MOREDADA wa Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye pia ni jaji wa zamani nchini humo, Bi. Maryanne Trump Barry, amesema...
READ MOREMSEMAJI wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny amesema leo kuwa mwanasiasa huyo ameondolewa kutoka hospitali aliyokuwa anatibiwa katika...
READ MOREZAIDI ya madaktari 300 wanaofanya kazi katika hospitali za umma katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wameanza mgomo wakishinikiza malipo...
READ MOREMAMLAKA nchini Kenya zimetoa orodha mpya ya raia wa nchi 130 ambao wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini. ...
READ MOREMSEMAJI wa chama cha upinzani nchini Urusi kiitwacho Russia of the Future, ameeleza kuwa kiongozi wa chama hicho ambaye pia...
READ MOREVIKOSI nchini Mali vimemuondoa madarakani rais Ibrahim Boubacar Keïta na kutangaza azma yao ya kuunda serikali ya mpito kabla ya...
READ MOREKENYA imetangaza watu wanne zaidi kufariki kutokana na CoronaVirus na kufanya idadi ya vifo kufikia 487. Aidha, watu 271 wamethibitishwa...
READ MOREWAJUMBE wa mkutano mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa...
READ MOREMWANAMKE mmoja nchini Kenya anatuhumiwa kumuua na kumzika mtoto wa siku moja baada kulaumiana na mume wake juu ya kupata...
READ MOREWAFANYAKAZI wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa waandamanaji kutaka Rais wa nchi...
READ MORETaumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu ni jina la muinuko ulioko Porangahau, New Zealand. Jina hilo likiandikwa kwa urefu linakuwa na alama ‘Characters’...
READ MORERAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta, amejiuzulu muda mfupi baada ya kuwekwa kizuizini na jeshi la nchi hiyo. Akilihutubia taifa...
READ MOREVITA ya maneno kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2020, sasa imebebwa na Michelle Obama, mke wa Rais mstaafu wa...
READ MORERAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko ya lazima huku...
READ MOREUrusi imeanza uzalishaji wa chanjo mpya ya ugonjwa COVID-19, taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirika la habari la Interfax,...
READ MORESHIRIKA la Ujasusi la Marekani limeanzisha uchunguzi baada ya helikopta ya kijeshi kupigwa risasi ilipokuwa inafanya mazoezi ya kawaida katika...
READ MOREMIEZI kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu wa Uganda utakaofanyika mwaka 2021, kijana mwenye umri wa miaka 19 amejitokeza na kuchukua fomu...
READ MORENI wazi kwamba sasa chama cha Democratic hakina muonekano wa Joe Biden. Ni chama kinachoashiria ujana na kujumuisha jamii tofauti-tofauti....
READ MOREMahakama nchini Burundi imewahukumu wanaume wawili na mwanamke mmoja kifungo cha miaka 30 jela kwa kutaka kumuua Rais wa nchi...
READ MOREJOE BIDEN ambaye anayegombea urais wa Marekani kupitia Chama cha Democrat amemteua Kamala Harris kuwa mgombea-mwenza katika uchaguzi mkuu wa...
READ MOREMWANAMUZIKI anayetambulika kwa jina la Yahaya Sharif-Aminu, mwenye umri wa miaka 22, kutoka Jimbo la Kaskazini mwa Nigeria la Kano...
READ MOREMAPACHA hao waliandaa sherehe ya harusi katika jimbo la Enugu Nigeria. Sherehe hiyo ya faragha ilhudhuriwa na waalikwa pekee. Picha...
READ MORERAIS wa Marekani, Donald Trump, ghafla amelazimika kuondolewa na maofisa wanaolinda usalama wake kutoka kwenye chumba alimokuwa akiwahutubia waandishi wa...
READ MOREWAZIRI mkuu wa Lebanon, Hassan Diab, ametangaza kujiuzulu kufuatia mlipuko wa wiki iliyopita mjini Beirut. Kwenye taarifa yake fupi kupitia...
READ MOREWatu 8 wamefariki dunia baada ya kusambuliwa kwa risasi katika hifadhi ya twiga katika Mkoa wa Koure. Waliopoteza maisha ni...
READ MOREMamlaka ya Kenya imetuma jeshi kusaidia zima moto katika kupambana na moto mkubwa ulioibuka katika hifadhi kubwa ya wanyama pori...
READ MOREJimmy Lai ni moja wapo ya viongozi wakuu wanaharakati wanaounga mkono demokrasia huko Hong Kong. Amekamatwa leo Jumatatu Agosti 10...
READ MOREWAZIRI wa Habari, Manal Abdel Samad na Waziri wa Mazingira, Damianos Kattar, wamejiuzulu kufuatia mlipuko wa Agosti 04, 2020, uliosababisha...
READ MORESERIKALI ya Lebanon imesema kuwa mlipuko mkubwa ulioharibu maeneo kadhaa ya mji wa Beirut umesababishwa na tani 2,750 za kemikali...
READ MORENDEGE ya abiria ya Shirika la Air India aina ya Boeing 737 iliyokuwa na watu 190 imeanguka katika uwanja wa...
READ MOREVYAMA viwili vya upinzani nchini Uganda vimeingia katika mzozo juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu huku kila chama kikidai...
READ MOREZAIDI ya watu milioni moja wameambukizwa virusi vya Corona barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu za shirika la habari...
READ MOREBAADHI ya wananchi wa Rwanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kupewa adhabu ya kukaa saa kadhaa na kusikiliza hotuba,...
READ MOREMWILI wa mrembo Jemima Oresha aliyetumbukia katika maporomoko ya Thompson Falls Nyahururu nchini Kenya, umeopolewa juzi Jumatano, Agosti 5, 2020...
READ MORE