×

Kimataifa

Rais George Washington; aliapishwa akiwa na jino 1

Unaweza kudhani kwamba ni stori za kizushi lakini ni ukweli mtupu! Rais wa kwanza wa Marekani, George Washington, wakati anaapishwa...

READ MORE

Rais Wa Etihad Ahutubia Kongamano la Huduma za Mizigo, Abu Dhabi‏

Rais na afisa mkuu wa shirika la ndege la Etihad, bwana James Hogan alitoa hotuba ya ufunguzi mbele ya zaidi...

READ MORE

Ndege ya FlyDubai Yaanguka na Kuua 62

FlyDubai Boeing 737 -800 WATU 62 wamepoteza maisha dunia baada ya ndege ya FlyDubai Boeing 737 -800 kupata ajali wakati...

READ MORE

Amfanyia Upasuaji Dada’ke, Akuta Mapacha

Agnes akimfanyia upasuaji dada yake ili atoe watoto baada ya mkunga na wauguzi kukataa kutoa huduma. Douala, Cameroon Na Joe...

READ MORE

Ndege ya Jeshi la Ecuador yaanguka na kuua 22

NDEGE ya Jeshi la Ecuador imeanguka katika misitu ya Amazon na kuua watu wote 22 waliokuwa ndani ya ndege hiyo,...

READ MORE

Etihad Waongeza Ndege ya Mizigo

Kitengo cha mizigo cha Etihad kimepokea ndege mpya aina ya Boeing 777 ambayo itawezesha kitengo cha mizigo cha shirika la...

READ MORE

Wema Sepetu: Sijawahi kutoka kimapenzi na Mkongo

Apocalypse Bella anayedaiwa kutoka na Wema Sepetu. Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu. Alichokijibu Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu...

READ MORE

Maajabu ya Dunia: Mbwa Mwenye Pua Mbili Mcheki Hapa

Pua mbili za mbwa mwenye jina la Toby kama anavyooneakana. HAYA tunaweza kusema ni maajabu ya dunia, kwa uharisia ni...

READ MORE

Njemba atembezwa mtaani uchi kwa wizi wa kuku

NJEMBA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ametembezwa akiwa uchi mitaani baada ya kuiba kuku. Tukio hilo la kumtembeza...

READ MORE

Trump ashinda Mississipi na Michigan

Mgombea wa Republican nchini, Marekani Donald Trump. Mgombea anayeongoza katika chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, amejiongezea ushawishi kama...

READ MORE

Mgunduzi wa e-mail, Ray Tomlinson afariki dunia

Ray Tomlinson enzi za uhai wake. RAY Tomlinson, raia wa Marekani, ambaye ndiye aliyevumbua utumaji wa barua pepe kwa Kiingereza...

READ MORE

Ombeni Sefue ang’olewa Ikulu

Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue . Aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi John William Kijazi. Rais John Pombe Magufuli,...

READ MORE

Berlusconi; Waziri Mkuu aliyebondwa usoni na kuvunjwa pua

Hebu vuta picha, mheshimiwa waziri mkuu amemaliza kuwahutubia wananchi na sasa anapeana nao mikono na kusaini vitabu vya kumbukumbu, ghafla...

READ MORE

Trump na Clinton wanaongoza katika vyama vyao

Mgombea wa Democratic Hillary Clinton. Mgombea wa Republican Donald Trump. Matokeo kutoka majimbo yaliyosalia yanatarajiwa kutolewa katika saa chache zijazo....

READ MORE

Gari linalojiendesha la Google lagonga basi

MOJAWAPO ya gari la Google linalojiendesha limegonga basi moja mjini California, Marekani mwezi uliopita. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa....

READ MORE

Etihad Yapata Tuzo ya Heshima ya Kifedha‏

Shirika la ndege la Etihad limepokea tuzo ya heshima katika mabadiliko ya kifedha kwa mwaka 2015 kutoka kwa kampuni ya...

READ MORE

Al Shabab Yawaua 24 Wakitazama Mechi ya Man U na Arsenal

Jengo lilioshambuliwa. WATU 24 wameuawa na wengine kujeruhiwa kwenye mgahawa mmoja mjini Baidoa, Kusini mwa Somalia wakati wakitazama mechi ya...

READ MORE

Gereza la Guantanamo liko Cuba si Marekani!

JE, unaufahamu wimbo wa Guantanamera? Ni moja ya nyimbo maarufu zaidi katika kumbi za muziki duniani!  Kwa kifupi, Guantanamera ni...

READ MORE

Mwanamuziki Mkongwe Kassim Kapili Afariki Dunia

Mwanamuziki mkongwe wa muziki dansi Kassim Mapili akicharaza nyuzi za Gitaa lake chini ya Kundi zima la Mjomba Band. MWANAMUZIKI...

READ MORE

Ndege Yapotea ikiwa na watu 23

Ndege ndogo ya shirika la ndege la tara Airlines iliyokuwa na watu 23 wakiwemo watoto imepota ikiwa maeneo ya usawa...

READ MORE

Etihad Yavunja Rekodi Idadi ya Abiria India

Shirika la Ndege la Etihad na mshirika wake Jet Airways wametangaza ongezeko la asilimia 63 la wasafiri wanaoenda na kuondoka...

READ MORE

Rais Mugabe Atimiza miaka 92

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametimiza umri wa miaka 92 huku chama chake kikisema atawania tena urais 2018. Mnadhimu wake...

READ MORE

Rais Bush Amtapikia Waziri Mkuu wa Japan

Rais wa 41 wa Marekani, George H.W Bush. \Hebu vuta picha, mheshimiwa rais yupo ukumbini akipata chakula cha usiku na...

READ MORE

ISIS wamchinja kijana kwa kusikiliza muziki wa Pop

KUNDI la wapiganaji la ISIS limemuua kwa kumkata kichwa kijana mmoja baada ya kumkuta akisikiliza muziki wa Pop unaoimbwa na...

READ MORE

Museven Ashinda Urais Uganda

Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Museveni kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Alhamisi. Rais Museveni alipata...

READ MORE

Waangalizi wa EU wakosoa uchaguzi Uganda

Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU). Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) wamekosoa namna ambavyo uchaguzi...

READ MORE

Rais Museveni anaongoza matokeo ya awali Uganda

Rais Museveni akitumbukiza kura yake katika kisanduku. MATOKEO ya awali ya Uchaguzi Mkuu nchini Uganda yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume...

READ MORE

Ajali yaua 50 Ghana

Takriban watu 50 wamefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani kuwahi kutokea nchini humo katika kipindi cha miaka mingi. Basi...

READ MORE

Majaliwa azungumza na wadau wa michezo nchini‏

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17,...

READ MORE

Mlipuko waua 28 na kujeruhi 61 Uturuki

Vikosi vya zimamoto vikipambana na moto uliosababishwa na mlipuko. Moshi mkubwa ukitoka katika eneo ulipotokea mlipuko jana mjini Ankara, Uturuki...

READ MORE

Obama asema Trump hawezi kuwa rais Marekani

Rais Barack Obama. Rais Barack Obama amesema kuwa anaamini mgombea urais nchini humo kupitia Chama cha Republican, Donald Trump hatakuwa...

READ MORE

Museveni Azindua Basi la Kutumia Nishati ya Jua

Basi linalotumia nishati ya jua lazinduliwa nchini Uganda Museveni akizindua basi la kutumia nishati ya jua nchini Uganda Rais Yoweri Museveni...

READ MORE

Wachina Washerehekea Mwaka Mpya wa Nyani

Shamra shamra zikiendelea Mamilioni ya watu wenye asili ya China, duniani kote leo wanasheherekea mwaka mpya wa ki China ....

READ MORE

Ghorofa Lilioangushwa kwa Tetemeko Taiwani, Wawili Wakutwa Hai

Mwanamke akiokolewa. WATU wawili wameokolewa wakiwa hai kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka kufuatia tetemeko la ardhi mjini Tainan, Taiwan....

READ MORE

UN Yalaani Korea Kaskazini Kurusha Kombora la Masafa Marefu

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani hatua ya Korea Kaskazini kulipua Kombora la masafa marefu. Katika taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Maafa: Tetemeko Kubwa la Ardhi Laikumba Taiwan

Jengo likiporomoka Tainan, Taiwan TETEMEKO kubwa la ardhi limeikumba nchi ya Taiwan, na kuporomosha majengo kadhaa likiwemo jengo la ghorofa 17 ambapo...

READ MORE

Trump: Uchaguzi Urudiwe Iowa

Donald Trump ANAYEWANIA kuteuliwa kugombea urais nchini Marekani kwa kupitia Chama cha Republican, Donald Trump anataka uchaguzi wa mchujo wa...

READ MORE

Baba aua mtoto, mkewe kisa fedha za matunzo

NeShante Davis akiwa na binti yake  Chloe Davis-Green enzi za uhai wao. MWANAMAMA mmoja huko Maryland nchini Marekani pamoja na...

READ MORE

Serikali Yavunja Mkataba wa Kiwanda cha Chai, Tanga

Laurence Mafuru Serikali yavunja mkataba ulioingia na mwekezaji katika kiwanda cha kuchakata chai cha Mponde kilichopo Bumbuli Wilayani Lushoto Mkoani...

READ MORE