×

Kitaifa

Mawakili 15 wa Serikali Wamkabili Lissu Mahakamani

MAWAKILI wa Serikali 15 wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali, Dk. Clement Mashamba wamewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu kupinga maombi...

READ MORE

Ndege ya Tanzania Yazuiliwa na Mahakama Afrika Kusini

NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa inatoka Afrika Kusini kwenda jijini Dar es Salaam, Tanzania, imezuiwa kuruka...

READ MORE

Waziri Jaffo Atangaza Kuanza kwa Uchaguzi Mdogo – Video

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jaffo,  ametangaza Novemba 24 mwaka huu...

READ MORE

Wakili Msando Amlipia JPM Deni la Mil 5 Muhimbili

DENI la shilingi milioni tano kati ya Shilingi 5,364, 814.2 ambalo Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kulipa ikiwa ni...

READ MORE

Mwanafunzi Darasa la 4 Ajinyonga Baada ya Kulazimishwa Kwenda Shule

MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Osanyui jijini Arusha, Eribariki Lekini (12) mkazi wa mtaa wa FFU...

READ MORE

Anayedai Kubuni Jina Tanzania Amwomba JPM Msaada

MTANZANIA anayedai alishikiri shindano la kubuni jina ‘Tanzania’ kwa ajili ya Jamhuri ya Muungano mwaka 1964, Jotham Chagwah, amemwandikia barua...

READ MORE

Global Yamkabidhi Kamanda Mambosasa Tuzo ya Heshima

KAMPUNI ya Global Publishers, juzi Jumatano ilimkabidhi Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, Tuzo ya Heshima...

READ MORE

JPM Akutana na Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi

Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa...

READ MORE

Mwandishi Akamatwa Akidaiwa Kuchapisha Habari ya ‘Udhalilishaji’

MWANDISHI wa habari,  Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui,  Msimamizi Msaidizi wa Watetezi TV amekamatwa na polisi akituhumiwa...

READ MORE

Familia Yapinga Mahakamani Wosia Wa Mengi, Mazito Yaibuka!

FAMILIA ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Marehemu Dkt. Reginald Mengi imewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu, ikipinga...

READ MORE

NMB YAAHIDI KUENDELEA KUDHAMINI MASHINDANO YA GOFU

WACHEZAJI wa mchezo wa Gofu zaidi ya 100 wanatarajia kushiriki mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kufanyika Septemba 7 na Septemba...

READ MORE

WANAHISA 400 WA MCB WAKUTANA MTWARA KWENYE MKUTANO

    WANAHISA zaidi ya 400 wa Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB) wamekutana mjini Mtwara katika mkutano wa mwaka (AGM)...

READ MORE

Museveni, Kagame Wamaliza Tofauti Zao

MARAIS Yoweri Museveni wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda wamesaini makubaliano ya amani katika mji mkuu wa Angola, Luanda,...

READ MORE

Daktari Bingwa Aeleza Sababu Vifo vya Majeruhi wa Moro Kufikia 100

DAKTARI bingwa wa upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Laurian Rwanyuma amesema majeruhi wa ajali ya lori la...

READ MORE

Airtel yazindua huduma ya kutuma fedha nje ya nchi

  Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imeendelea kuimarisha huduma zake za Airtel Money ambapo kwa sasa mteja anaweza...

READ MORE

Mwenge Watua Ikungi, DC Apongezwa

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Mhe Edward Mpogolo amepongezwa kwa namna ambavyo ameweza kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya muda...

READ MORE

Arusha: Mbaroni kwa Tuhuma za Kumuua Mkewe

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia dereva wa kampuni ya utalii ya Mt Kilimanjaro Safari’s, Julius Kabora (45), kwa...

READ MORE

Waliofariki kwa Ajali ya Moro Wafikia 100

Majeruhi wa ajali ya lori kulipuka moto Morogoro waliofariki jana Agosti 20, 2019 ni; 1. Mazoya Sahani 2. Khasim Marjani...

READ MORE

Kibatala Ampiga Maswali Askari Aliyetoa Ushahidi wa Video Kesi Mbowe

SHAHIDI wa sita wa upande wa Jamuhuri katika kesi ya tuhuma za uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti...

READ MORE

Watano Wasakwa kwa Tuhuma za Kumteka Mo Dewji

Upande wa mashtaka katika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ umedai kuendelea na taratibu za kuwatafuta watuhumiwa watano...

READ MORE

JPM Atembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea na kukagua utendaji kazi wa Maabara ya Mkemia...

READ MORE

Binti Amuua Mwanaye, Ajinyonga

BINTI wa miaka 22, Ephrazia Maneno, mkazi wa Kijiji cha Nyaseke, Kata ya Bulela mjini Geita,  anadaiwa kumuua kwa kumnyonga...

READ MORE

Mke, Mume Jela kwa Kuwakeketa Watoto Wao

MAHAKAMA ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, Thadei Parokwa (43) na mke wake Lowema...

READ MORE

Msanii Amuua Mwenzake kwa Kumchoma Kisu Kifuani Kisa Maiki – Video

MSANII achomwa kisu wakati wakigombea maiki na wenzake, taarifa zinaeleza kuwa kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Yusuph mwenye umri...

READ MORE

Mkurugenzi Aliyerudishwa Kazini na JPM Aachiwa Huru – Video

VIGOGO watano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Mataragio wameachiwa huru leo...

READ MORE

Shinyanga: Mbaroni kwa Kukutwa na Dhahabu Bandia

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu kwa kukutwa na vipande 10 vya madini bandia aina ya dhahabu wakiwa...

READ MORE

Mwanafunzi Darasa la 3 Apigwa Mimba

NI maajabu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanafunzi wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Pangatena kupata ujauzito. Mwanafunzi...

READ MORE

Kilichoonekana Kwenye Video ya Ushahidi Kesi ya Mbowe

VIDEO ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe na wenzake, iliyoibua mvutano katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Wenzake: Ushahidi wa Video Kutolewa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuonyeshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomhusisha Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

Dkt. Tulia: 2020 Nitagombea

NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania,  Dkt. Tulia Ackson, amesema ana mpango wa kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa 2020,...

READ MORE

Kabendera Akwama Kortini, Arudishwa Rumande Siku 12 – Video

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Erick Kabendera, imeahirishwa kutokana na hakimu mkazi mwandamizi,...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Ajiua kwa Kunywa Sumu

MWALIMU Mkuu wa Sekondari ya Mbalamaziwa iliyopo mkoani Iringa, Roida Mbalwa,  amefariki dunia kwa kunywa sumu baada ya kutuhumiwa kwenye...

READ MORE

Burundi Yakataliwa SADC

Ombi la nchi ya Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limegonga mwamba baada kutokamilisha vigezo...

READ MORE

Madai Mazito Msanii Amuua Mwenzake Wakigombania Maiki

DAR ES SALAAM: Madai mazito; ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva aliyetajwa kwa jina moja la Daud...

READ MORE

Madenti Vyuo Vikuu Wanavyoambukizwa UKIMWI

TUNAIMALIZIA ripoti yetu ya uchunguzi tuliyoianza wiki mbili zilizopita. Kama mnavyokumbuka, kwenye matoleo mawili yaliyopita tuliona jinsi ambavyo wanafunzi wa...

READ MORE

Lori la Mafuta Lateketea Kahama, Utingo Afariki, Dreva Mahututi!

Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company  limeanguka na kuwaka moto   wilayani kahama mkoani Shinyanga  na kusababisha kifo...

READ MORE

Marais 11 Kati ya 16 Wahudhuria Mkutano wa SADC Tanzania – Video

MARAIS wa nchi 11 wamehudhuria mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) unaofanyika jijini...

READ MORE