×

Kitaifa

BIRTHDAY YA MONALISA ILIVYOKUWA USIKU WA KUMKIA LEO

  USIKU wa kuamkia leo msanii wa filamu za Kibongo, Yvone Cherry,  ‘Monalisa alifanya sherehe fupi ya kuzaliwa kwake ambapo...

READ MORE

BREAKING NEWS: KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan (80), amefariki dunia asubuhi leo. Taarifa zilizopatikana mchana...

READ MORE

WATENDAJI WA HALMASHAURI HAMUENDI KWA WANANCHI; MAJALIWA

      WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwepo kwa mabango mengi kwenye mikutano ya hadhara  ya viongozi wakuu kunadhihirisha...

READ MORE

WAJUMBE WAPYA WA BARAZA LA UONGOZI WA TAWLA WAJITAMBULISHA KWA JAJI MKUU

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma  amekitaka Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kufanya tafiti...

READ MORE

Kigwangalla Kuruhusiwa Muda Wowote Muhimbili, JK Amtembelea Tena

RAIS Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika...

READ MORE

MAKONDA AKOSHWA NA TCRA KUWEKA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI, POSTIKODI

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amefungua semina ya kimkakati inayolenga kulifanya jiji la Dar...

READ MORE

MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa  amemkakabidhi mbunge wa Bukene, Selemani Zedi mifuko 50 ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti  Maalum...

READ MORE

JAJI MZUNA AKABIDHIWA OFISI YA MAHAKAMA KANDA YA ARUSHA

  Jaji Mfawidhi mpya wa Mahakama Kuu-Kanda ya Arusha, Mhe. Mosses Mzuna amekabidhiwa rasmi Kanda hiyo ya Mahakama na aliyekuwa...

READ MORE

WAZIRI MKUU AAGIZA KUKAMATWA KWA MTENDAJI WA KIJIJI CHA BULAGAMILWA

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU wa wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Bw. Francis Zuakuu kumkamata...

READ MORE

MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI MPYA ATAMBULISHWA RASMI

      Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustin Kamuzora, amemtambulisha rasmi Mpigachapa MKuu wa...

READ MORE

NEC: Ubalozi wa Marekani Wametoa Tathmini Wakiwa Nani? – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema imeshangazwa na taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, jana Agosti 8,...

READ MORE

Sirro: Mwandishi Aliyepigwa Taifa, Alimkaba Askari – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema kuwa mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi wakati akitekeleza majukumu...

READ MORE

MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA YAPATA JAJI MFAWIDHI

Watumishi wa Mahakama Kanda ya Mbeya wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano bila kujali vyeo na kufanya kazi kama timu moja,...

READ MORE

Benki ya Dunia Waikubali Teknolojia ya IP Transit ya TTCL – Video

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linalomilikiwa na serikali, limezindua teknolojia mpya iitwayo IP Transit ambayo ni mahsusi kwa kuziunganisha nchi...

READ MORE

MultiChoice yamwaga Bajaj 27 kwa vijana

Meneja Mauzo wa MultiChoice Tanzania Salum Salum akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mmoja wa mawakala wapya wa mauzo wa DStv wa...

READ MORE

RC Chalamila Aagiza Wananchi Wakamatwe na Kuswekwa Ndani

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani wananchi wote wa Kijiji cha...

READ MORE

Lowassa Ajiondoa Monduli

KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Fred Lowassa,  jana Agosti 15 amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha wanawania kuteuliwa na...

READ MORE

MZIMU WA KANUMBA WAMTOKEA MTOTO KONGO

WANANDOA kutoka Jamhuri ya Kidemo-krasia ya Kongo, Numbi Mwilambwe (35) na mkewe Ngoy Mfumuabana (30), wameeleza namna mtoto wao mdogo,...

READ MORE

TCDC YAELEZEA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UZAZI WA MPANGO DUNIANI

  KUELEKEA maadhimisho ya Siku ya Uzazi wa Mpango Duniani, Meneja wa Utekelezaji wa Miradi wa Asasi ya Tanzania Communication...

READ MORE

Sirro Afanya Mabadiliko Jeshi la Polisi, Amchomoa Msangi, Mwanza

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro,  amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mwanza na...

READ MORE

Kikwete Amjulia Hali Kigwangalla Muhimbili – Pichaz

  Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya tarehe...

READ MORE

Mara: Watano Wafariki Dereva Ajalini Akikimbia Askari

WATU watano wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa mkoani Mara baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Busurwa mwambao...

READ MORE

Mstaafu JWTZ Mbaroni Akituhumiwa Kukodisha Silaha kwa Majambazi

ASKARI mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anashikiliawa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za kukodisha...

READ MORE

ZAMU YA LOWASSA KURUDI CCM!

DAR ES SALAAM: Tufani ya Chama Cha Mapin­duzi (CCM) kuwazoa wapin­zani bado inapiga. Duru za kisiasa zinaonesha kuwa sasa anayesubiriwa...

READ MORE

Bagamoyo: Meli ya Yawaka Moto Bandarini

 MELI mali ya kampuni ya Ocean Enterprises Limited ya Zanzibar imeungua moto wakati ikiwa imeegeshwa kwenye ufukwe ya Bahari ya...

READ MORE

Mwakyembe Afunguka Channel 10, Clouds TV, ITV, Kuondolewa Azam TV

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwanyembe, amezitaka kampuni za visimbuzi za DSTV, Azam na Zuku kwenda kwenda...

READ MORE

BREAKING: CCM Yakanusha Kumpitisha Kalanga Monduli – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Loata Sanare amesema kuwa chama hicho bado hakijampitisha Julius Kalanga (aliyetoka...

READ MORE

Hali ya Kingwalla Yazidi Kuimarika – Picha

HALI ya Waziri wa Maliasili na Utali, Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla imeendelea kuimarika vizuri kutokana na matibabu anayopatiwa katika Hospitali...

READ MORE

GLOBAL TV YAPATA SHAVU MKUTANO WA KIMATAIFA

GLOBAL TV ONLINE ambayo ni televisheni namba moja ya mtandao nchini Tanzania, imepata shavu baada kualikwa kushiriki katika semina ya...

READ MORE

DK BASHIRU: Nimemwagiza Lugola Anipe Maelezo, Haiwezekani! – Video

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally, amesema amempa maagizo Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ampe...

READ MORE

VIGOGO CHADEMA WAOMBA KESI ISIMAME KUNGOJEA RUFAA

VIGOGO  tisa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe wamewasilisha maombi  ya kutaka kesi hiyo...

READ MORE

AANGUSHA BONGE LA PATI KUWASUTA MASHOGA ZAKE

DAR ES SALAAM: Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Rehema Mohammed Mkome ‘Rais wa Charambe’, mkazi wa Mbagala jijini Dar...

READ MORE

Prof. Chiza Akabidhiwa Hati ya Ushindi Ubunge Buyungu

MBUNGE mteule wa Jimbo la Buyungu, Kakonko mkoani Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Christopher Chiza Kajoro aamepokea hati...

READ MORE

BREAKING: MBUNGE ZUBERI WA CUF AHAMIA CCM – VIDEO

Mbunge wa Liwale, Lindi kwa tiketi ya CUF, Zuberi Kuchauka ametangaza kukihama chama hicho leo Agosti 13, 2018 na kurejea...

READ MORE

KATIBU MKUU CCM: WANANCHI WAMETUELEWA – VIDEO

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wananchi wamezidi kukiamini na kukielewa ndiyo maana kimekuwa kikiibuka na ushindi katika chaguzi mbalimbali ambazo...

READ MORE

Orodha ya Wakurugenzi Walioteuliwa na Magufuli Leo – Video

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko ya wakurugenzi wa wilaya, manispaa, miji na majiji na ambapo ameteua wakurugwenzi wapya 41 na...

READ MORE

BREAKING: Madiwani Wawili CUF Wahamia CCM – Video

Chama Cha Wananchi (CUF) kimeendelea kupata pigo, baada ya madiwani wake wawili kujivua uanachama wa chama hicho na kuhamia Chama...

READ MORE

Breaking News: Prof. Chiza (CCM) Aibuka Kidedea Ubunge Buyungu

ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Jimbo la Buyungu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Christopher Chiza ameibuka mshindi katika...

READ MORE

NAPE: ZITTO WAJUA NAKUHESHIMU?

KUFUATIA Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kuweka mtandaoni matokeo ya awali ya Ubunge wa Jimbo la Buyungu, Kakonko mkoani...

READ MORE