×

Kitaifa

UWT YASISITIZA KUSIMAMIA VIPAUMBELE VYAKE

  Umoja wa Wanawake Watanzania (UWT) umezungumzia namna ulivyojipanga kuhakikisha unasimamia vipaumbele vyake katika kipindi cha mwaka 2018-2019 ambavyo ni...

READ MORE

Halotel yaja na Ninogeshe na Halopesa ya Nandy

  Kampuni ya mawasiliano ya Halotelimezindua kampeni kabambe ya “Ninogeshe na Halopesa” maalum kwa wateja wanaotumia huduma za Halopesa. Kuanzia sasa, wateja...

READ MORE

Nyoka Afunga Mtaa Moro!

MOROGORO: Moro kunani? Siku chache baada ya kutokea kwa tukio la paka kumng’ata bibi maeneo ya Mwembesongo, mwanzoni mwa wiki...

READ MORE

MBOWE: Waliomuua Akwilina Wapo, Mnataka Kutufunga, Hatuogopi – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (Chadema), Freeman Mbowe, amefafanua kuhusu kinachoendelea juu ya kesi inayomkabili yeye na...

READ MORE

WAKILI AJITOA KESI YA MBOWE NA WENZAKE

WAKILI Jeremiah Mtobesya aliyekuwa akiwawakilisha Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake nane wa chama...

READ MORE

BREAKING: Kilichofanywa na Serikali Kuhusu Panya Road – Video

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamezindua jarida maalum la kuhusu...

READ MORE

Rufaa ya Chadema Korogwe Yapokelewa

Rufaa ya mgombea Ubunge wa Jimbo la Korogwe (Chadema), Amina Saguti imepokewa jana na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Wilaya ya...

READ MORE

Mbunge Bobi Wine Kufikishwa Mahakama ya Kijeshi Leo

MBUNGE Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina Bobi Wine leo anatarajiwa kurudishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu Kaskazini mwa Uganda. Taarifa hiyo imewashtua mawakili...

READ MORE

Mwalimu Asakwa kwa Tuhuma za Kumuoa Mwanafunzi Wake

Ofisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza, Benjamin Siperato ameagiza mwalimu mmoja wa Shule ya...

READ MORE

Hii Ndo Hoteli Chimbo la Mawaziri na Wabunge GEITA – Video

HABARI NJEMA! Wageni wote na wenyeji wa mkoa wa Geita napenda kuwapa habari njema ya kuwa sehemu pekee unayoweza kupumzisha...

READ MORE

WAHAMAIAJI HARAMU KAGERA WAHUKUMIWA JELA MIAKA 20

Mahakama ya Wilaya ya Ngara imewahukumu raia wanne wa Rwanda kwenda jela miaka 20 kila mmoja, baada ya kukutwa na...

READ MORE

Bwawa la Urughu Kutangazwa Kama Eneo Lindwa – Kimazingira

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba ameendelea na ziara yake ya...

READ MORE

Gari la Bangi Lapinduka, Polisi Walidaka! – Video

JESHI la Polisi mkoani Pwani, linamsaka dereva aliyefahamika kwa jina la Moshi Ramadhan Malinganya, mkazi wa Kisarawe kwa tuhuma za...

READ MORE

BREAKING: Ndugu Wasusa Kuzika Mwili wa Ndugu Yao, Polisi Wafunguka

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Emmanuel Mkula, amezungumza na waandishi leo na kutolea ufafanuzi kuhusu na...

READ MORE

CUF Waanika Mchezo Mchafu Waliyofanyiwa Kwenye Uchaguzi – Video

Chama cha Wananchi (CUF) kimezungumza na waandishi wa habari leo na kuelezea kila walichokiona katika uchaguzi mdogo uliofanyika Agosti 12...

READ MORE

WATUHUMIWA 11 KIZIMBANI KISUTU KESI  YA UHUJUMU UCHUMI

    WATU 11 wakiwamo raia wawili wa Guinea wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu...

READ MORE

Baba Mkwe wa Majuto: Walidai Urithi Hospital Kabla Hajafa – Video

Kufuatia madai ya Mke wa Marehemu, Mzee Majuto, kufukuzwa na kukataliwa kutunzwa na familia ya marehemu hususani Watoto wakubwa wa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AONGOZA MAMIA CHATO MAZISHI YA DADA YAKE (VIDEO +PICHA)

MWILI wa Dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Marehemu Monica Magufuli umezikwa nyumbani...

READ MORE

Huduma za Mahakama Kuanzishwa Wilaya Zisizo na Huduma Hizo

 MAHAKAMA  Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imeanza mpango wa uanzishaji wa huduma za kimahakama katika wilaya zisizo na huduma...

READ MORE

TCDC Yasisitiza Elimu, Mpango wa Uzazi kwa Wanawake

  SHIRIKA lisilo la kiserikali linalojihusisha na utetezi wa afya ya mama na uelimishaji la Tanzania Communications And Development Center...

READ MORE

Mwinyi, Mkapa, Kikwete Wawasili Mwanza Kuelekea Chato – Pichaz

Marais Wastaafu wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete wamewasili jijini Mwanza leo Agosti 21, 2018 wakielekea Chato...

READ MORE

Diwani Mwingine wa Mbowe Atimkia CCM – Video

Diwani wa Chadema Kata ya Masama Rundugai, katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Elibariki Mbise, amejiuzulu uanachama na udiwani wake...

READ MORE

Madai! Familia Yamsusa Mke wa Majuto & Watoto Waike, Asimulia – Video

ZIKIWA zimepita siku chache tangu aliyekuwa msanii mkongwe wa filamu nchini, Amri Athuman ‘King Majuto’ afariki dunia, imedaiwa kuwa, familia...

READ MORE

Ziwa Singidani, Kindai Kuwa Maeneo Lindwa Kimazingira

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba amesema Ofisi yake inaangalia uwezekano...

READ MORE

Gari la Ikulu Laibwa, Lakamatwa Moshi

POLISI mkoani Kilimanjaro inawashikilia watu wawili wakazi wa mjini Moshi kwa tuhuma za kukutwa na gari la wizi linayosadikiwa kumilikiwa...

READ MORE

Korogwe: Mgombea CCM Apita Bila Kupingwa, wa Chadema Aenguliwa

MGOMBEA wa ubunge Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mzava amepita bila kupingwa katika uchaguzi wa mdogo wa marudio. Hatua hiyo imekuja...

READ MORE

Tanga: Mgombea wa CHADEMA Nusura Aporwe Fomu

Mapema majira ya saa tano leo Jumatatu, Agosti 20, 2018, Mgombea Ubunge Jimbo la Korogwe Amina Ally Saguti akisindikizwa na...

READ MORE

MGOGORO WA RAMBIRAMBI, MKE ASUSIA 40 YA MAJUTO!

NI tafrani! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mke wa aliyekuwa msanii wa vichekesho nchini, Amri Athuman ‘King Majuto’, Aisha Yusuf...

READ MORE

CMSA YAZINDUA MAFUNZO YA MASOKO YA MITAJI

  MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mafunzo ya Masoko ya Mitaji na...

READ MORE

HARAMBEE YACHANGIA UJENZI KITUO CHA HIJA TABORA

Katibu  Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Queen Mlozi, amefanikisha kuendesha harambee ya ujenzi wa...

READ MORE

Dar: Mbaroni kwa Kukutwa na Gramu 300 za Heroin

MAMLAKA ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini inamshikilia Mohamed Hussein Gulam (48), mkazi wa Magomeni Mapipa jijini Dar...

READ MORE

KIMENUKA! KISA WANAWAKE, MASHEHE WAVUANA NGUO

Wamevuana nguo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Shehe Juma Ahmed Kikwesa, mkazi wa Lugala mkoani Morogoro kumtuhumu Shehe Ahmadi Said...

READ MORE

Breaking News: Basi la Saratoga Lateketea kwa Moto

Basi la Kampuni ya Saratoga lililokuwa likitoka Kigoma kuelekea Sumbawanga limewaka moto na kuteketea katika Kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma...

READ MORE

TICHA AKUTWA NA DENTI CHUMBANI

GEITA: Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Bugando Kata ya Nzera wilayani Geita mjini hapa, Noel Seleman anashikiliwa na Jeshi...

READ MORE

CCM Wamlilia Dada wa Rais Magufuli

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada wa Rais John Magufuli,  Monica Joseph Magufuli, aliyefariki...

READ MORE

MAELFU WAFURIKA TAMASHA LA ‘KOMAA CONCERT 2018’ DAR

Mr Blue,  akiimba.     Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  jana ameungana na maelfu ya wakazi...

READ MORE

BOT YAPONGEZA HUDUMA MPYA YA NMB

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imepongeza mfumo wa mabadiliko ya kidijitali unaoendelea kuboreshwa katika Benki ya NMB huku ikiahidi kusapoti...

READ MORE

PROF. NDALICHAKO AZINDUA VIKARAGOSI KWA MASOMO YA DARASA LA 1 NA II

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknlolojia, Prof. Joyce Ndalichako amezindua mfumo wa masomo ya kielektroniki kwa wanafunzi wa darasa...

READ MORE