×

Kitaifa

Nabii wa Nigeria Asema Trump ni Mpinga Kristo Aliyetumwa na Shetani

ABUJA: NABII kijana Emmanuel Omale wa Nigeria ambaye alitabiri kwa usahihi matokeo ya uchaguzi wa urais wa Marekani mnamo Mei...

READ MORE

Mahakama Yampa Siku 7 Prof. Lipumba na Msajili wa Vyama Kujibu Hoja za CUF

DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu imewapa siku saba Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Serikali Yawaagiza Wahitimu Kidato cha Sita, 2016 Ambao Hawajajiunga na Vyuo Wakaripoti Kambi za JKT, Desemba 1

Serikali amewaagiza wote waliohitimu kidato cha sita Mei mwaka huu na ambao hawajajiunga na vyuo vya elimu ya juu, wakaripoti...

READ MORE

Tanzia: Mbunge Hafidh Ali Tahir Afariki Dunia

DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Dimani lililopo visiwani Zanzibar, Mhe. Hafidh Ali Tahir (CCM) amefariki dunia saa 9 alfajiri ya...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Ijumaa Novemba 11, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Ijumaa 11, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Mshindi wa Milioni 100 za Vodacom M-Pawa Akabidhiwa Kitita Chache

    Pichani ni Bi. Paulina Kulwa (Kulia) akikabidhiwa hundi ya mfano wa Tsh Milioni 100 baada ya kuibuka mshindi katika...

READ MORE

Mwili wa Samuel Sitta Ulivyopokelewa Uwanja wa Ndege Dar

  Mwili  wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta umewasili jioni hii katika Uwanja...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Mungai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu...

READ MORE

Soyinka: Nitaondoka Marekani Trump Akiapishwa

Mshindi wa Tuzo la Nobel na mwandishi raia wa Nigeria Wole Soyinka, anasema kuwa ataondoka Marekani siku ambayo Donald Trump...

READ MORE

Rais Magufuli Amjulia Hali Mkewe Aliyelazwa Muhimbili

Dar es Salaam: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo amemjulia hali mkewe, Mama Janeth...

READ MORE

Moto Wateketeza Godauni la Matairi Mikocheni Dar

DAR ES SALAAM: Moto mkubwa ambao mpaka sasa bado unawaka umeteketeza godauni la kuhifadhia matairi la Kampuni ya 7 General linalomilikiwa...

READ MORE

Wakali Wa Filamu Na Bongo Fleva Uso Kwa Uso Usiku Wa Mastaa

Staa wa Bongo Fleva, Pam D. Video Queen mwenye mvuto wa aina yake, Asha Salumu ‘Kidoa’. Video Queen Erycah. Lulu...

READ MORE

Mwili wa Mungai Waagwa Dar

Mwili wa Marehemu Joseph Mungai ukiwasili Viwanja vya Karimjee, jijini Dar kwa ajili ya kuagwa. DAR ES SALAAM: Mwili wa...

READ MORE

Baada ya Kupokonywa MTV EMA, Wizkid Kuzipotezea Tuzo za Muziki Kama Awali?

wizNIGERIA: IKUMBUKWE kuwa msanii wa Nigeria anayekimbiza na ngoma zake kali ikiwemo Ojuelegba, Wizkid siku za nyuma hakutaka kujishusisha na...

READ MORE

Mshindi wa Mil 100 ya Jiongeze na M-Pawa Akipokea Hundi Yake

  Mshindi wa Milioni Mia ya Jiongeze na M-pawa mkazi wa Mwanza Paulina Kulwa(kulia) akipokea mfano wa hundi yake kutoka...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Alhamisi Novemba 10, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 10, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Joseph Mungai Kuwagwa Leo Dar, Mwili wa Samwel Sitta Kuwasili Leo

Dar es Salaam: Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu, Joseph Mungai unatarajiwa kuagwa   Dar es Salaam leo katika viwanja vya...

READ MORE

Katibu Tume ya Utumishi wa Umma Asisitiza Maadili

KATIBU wa Tume ya Utumishi wa Umma, Peleleja Masesa, amewaasa watumishi wa umma kuwa mfano wa kuigwa katika kazi na...

READ MORE

Meseji Zote za Vichekesho Zilizotrend Leo Baada ya Trump Kumbwaga Clinton

AMERICA inayoweza ongozwa na mwanamke hapa duniani ni american chips na American nails ya kinondoni😂 Wabongo wameanza😹😹  

READ MORE

Jaji Mutungi Avifutia Usajili Vyama Vitatu vya Siasa Nchini

DAR ES SALAAM: Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi leo amevifutia usajili wa kudumu vyama vitatu vya...

READ MORE

Rais Magufuli, Nkurunzinza Wampongeza Donald Trump kwa Kushinda Urais wa Marekani

  Leo November 9, 2016 Marekani imeweka historia nyingine baada Donald Trump wa Chama cha Republican kutangazwa mshindi wa kiti...

READ MORE

Mtoto Aliyepandikizwa Betri Moyoni Afariki Dunia

Mtoto Happiness Josephat (6) aliyefanyiwa upasuaji wa kupandikiza betri moyoni katika Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI),...

READ MORE

Serikali Yazitaka Sekta Binafsi Kuwekeza Katika Kinywaji Aina ya Gongo Ili Kurasimisha Kinywaji Hicho

DODOMA: Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amezishauri kampuni zinazotengeneza vilevi kutengeneza pombe yenye ladha ya gongo, kwa...

READ MORE

Joseph Mungai Hatunaye Tena

  Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi Kaskazini (CCM), Joseph james Mungai amefariki dunia jioni hii katika...

READ MORE

Lema Apandishwa Kortini, Anyimwa Dhamana na Kurudishwa Rumande

ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini kwa kupitia CHADEMA, Godbless Lema leo Novemba 8, 2016 amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa Arusha...

READ MORE

DC Arusha Azindua Wiki ya Usalama Barabarani Chini ya Vodacom Tanzania

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya kaskazini, Henry Tzamburakis cheti cha...

READ MORE

Zitto Kabwe: Sitta Amenilea kwa Kunisomesha

Alfajiri ya tarehe 7 Novemba 2016, tunaamka na kukutana na habari za kusikitisha kuwa Mzee Samwel John Sitta, Spika Mstaafu...

READ MORE

Jeshi la Polisi Mbeya Lawatimua Kazi Askari Wawili kwa Kuwadhalilisha Wanafunzi wa Kike

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na shughuli zake za kila siku ili kuhakikisha mkoa unakuwa salama hii ni...

READ MORE

Mwili wa Samuel Sitta Kuwasili Alhamisi, Kuzikwa Urambo Jumamosi

  Kiongozi Mkuu wa Kitaifa wa Skauti ambaye pia alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mwantuma Mahiza akisaini kitabu cha...

READ MORE

Mama Akutana na Mwanaye Aliyepotea Zaidi ya Mwaka Kupitia Video ya Wanandoto

 Mama Adam akiwa na mwanaye jana kwenye kituo cha kulelea watoto cha CHAKUWAMA. Kala Jeremiah akiwa katika pozi na Adam...

READ MORE

Maneno ya Mwisho ya Samuel Sitta Kabla ya Kifo

Samuel Sitta enzi za uhai wake. Dar es Salaam: Kabla ya kifo chake Spika wa Bunge mstaafu, Samuel Sitta alisema...

READ MORE

Exclusive: Timiza Ndoto Yako na Wezesha Mzawa, Nunua Gari, Kiwanja, Bajaj Watakulipia!

Kampuni yaako ya Wezesha Mzawa inakupa fursa ya kumiliki kitu chochote ukitakacho maishani.Ni rahisi tu, tuambie unataka nini sisi tutakununulia...

READ MORE

Chadema Wampigania Lema, Wataka Apelekwe Mahakamani Haraka

ARUSHA: Chadema imetua Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu na Jeshi la Polisi ikitaka mbunge...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 8, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 8, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Hospitali ya Muhimbili Yapokea Mashine ya Utrasound ya Kung’amua Magonjwa ya Figo

DAR ES SALAAM: Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea  msaada wa mashine kubwa na ya kisasa  ya Utra Sound maalum  kwa...

READ MORE

Tanzia: Mwenyekiti wa Klabu ya Azam, Said Mohammed Afariki Dunia

Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid, kilichotokea alasir...

READ MORE

Una tatizo lolote kuhusu simu yako.. Tecno wamekujibu hapa

Kampuni inayoongoza kwa kuuza simu bora kwa gharama nafuu ambayo kila Mtanzania anaimudu, Tecno imefanya “kujiongeza” katika kukusaidia mteja wake...

READ MORE

Shigongo Atoa Vitabu 20 Kwa Washindi

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi ya kitabu Selina Ezekiel katika Ofisi za Global Publishers zilizopo...

READ MORE

Kufungwa kwa Mageti ya Daraja la Kigamboni Kwasababisha, Vurugu, Foleni

DAR ES SALAAM: Kufungwa kwa muda kwa mageti mengi ambayo hutumiwa na magari kupita katika Kivuko cha Daraja la Nyerere...

READ MORE