×

Michezo

FIFA Yamteua Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said, Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu Duniani

Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati...

READ MORE

Jiunge na Meridianbet Leo na Upate Bonasi ya Hadi 150% na Mizunguko ya Bure!

Meridianbet imekuja na ofa kabambe kwa wale wote wanaojiunga kwa mara ya kwanza. Kama wewe hujawahi kuwa na akaunti ya...

READ MORE

Leo, Kila Sekunde ni Fursa: Timu za Taifa Zinapigana na Meridianbet Imetia Moto

Leo ni siku ya moto barani Afrika, viwanja vinatikisa, mashabiki wanapiga kelele, na timu za taifa zinapigana kufa na kupona...

READ MORE

Meridianbet Yapima Nguvu za Vigogo EPL: Arsenal, Liverpool Wapewa Kipaumbele

Pesa nje nje ndani ya Meridianbet siku ya leo. Leo hii unaweza ukabashiri timu ambazo zina nafasi kubwa ya kutwaa...

READ MORE

Simba Kutumia Meja Isahmuyo kwa mechi za nyumbani

SIMBA SC huenda wakautumia Uwanja wa Meja General Isahmuyo kwa mechi za nyumbani katika Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC...

READ MORE

TFF Yamsimamisha Mchezaji wa Yanga Princess Kupisha Uchunguzi wa Jinsia

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda,...

READ MORE

Saleh Jembe: Kwa Takwimu, Kocha wa Yanga Hafai Kufukuzwa – Video

Mchambuzi mkongwe wa michezo nchini, Saleh Jembe, ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa kwa mujibu wa takwimu alizonazo kuhusu mwenendo...

READ MORE

Ahmad Ali awe Kocha Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu

Kocha mkuu wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Diarra Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu NBC

Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Chelsea Yazima Ndoto za Liverpool Kurejea Kileleni, Estêvão Aandika Historia

Kinda chipukizi Estêvão ameibuka shujaa wa Chelsea baada ya kufunga bao la dakika za majeruhi lililoipa The Blues ushindi wa...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Atua Dar, Atoa Neno la Kwanza – Video

Msikilize Meneja Mkuu mpya wa Klabu ya Simba Dimitar Pantev baada ya kutuaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

READ MORE

Msigwa: Acheni Upotoshaji, Mkapa Hautafungwa – Utapumzishwa Mechi za Ligi Tu

MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa ametoa ufafanuzi kuhusu...

READ MORE

Dodoma Jiji Yapigwa Faini Milioni 15 kwa Kukosa Kocha Mwenye Sifa

Klabu ya Dodoma Jiji FC imepigwa faini ya jumla ya Shilingi milioni 15 za Kitanzania na Bodi ya Ligi Kuu...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Dimitri Pantev, Sintofahamu Yatawala Nani Kocha Mkuu

Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu...

READ MORE

Wikiendi ya Soka Barani Ulaya: Mechi Kali na Fursa za Kubashiri Kupitia Meridianbet

Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye tamasha la mechi kali, ushindani wa hali ya juu, na fursa tele za...

READ MORE

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuikabili Zambia

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya...

READ MORE

Ibrahim Bacca Afungiwa Mechi 5 Baada ya Rafu Mbaya

    Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemchukulia hatua kali mchezaji wa Young Africans, Ibrahim Abdullah, baada ya kumpiga rafu...

READ MORE

FIFA Yazindua Mpira Mpya “Trionda” kwa Kombe la Dunia 2026

Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limezindua rasmi mpira wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026 unaojulikana kama “Trionda”, mpira wenye...

READ MORE

Leo Ni Siku ya Mashujaa: Odds Kali na Burudani za Michezo

Mambo yanazidi kushika kasi barani Ulaya. Na leo mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa ligi...

READ MORE

Yahya Zayd Aongeza Mkataba Mpya Azam FC Mpaka 2027

Klabu ya Azam FC imeweka wazi kuwa imefanikiwa kumsainisha kiungo wake mahiri, Yahya Zayd, mkataba mpya wa miaka miwili. Kwa...

READ MORE

UEFA Europa League Yazindua Msimu Mpya: Mechi Kali Zinarindima Leo

Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanajiandaa kwa jioni ya kusisimua wakati UEFA Europa League itakaporudi kwa msimu...

READ MORE

Yanga Warejea Dar Baada Ya Kulazimishwa Sare Na Mbeya City

Kikosi cha Yanga SC kimewasili jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Usiku wa Mabingwa, Burudani Ya Soka na Furaha Ya Ushindi

Ulaya inang’aa leo kwa mwanga wa soka la kiwango cha juu, UEFA Champions League imerudi tena, na kila dakika uwanjani...

READ MORE

Barcelona vs PSG: Usiku wa Kulipiza Kisasi!!

Ni usiku wa moto barani Ulaya. Mabingwa watetezi PSG wanatua Camp Nou, uwanja ambao Barcelona hawajapoteza mechi ya UCL msimu...

READ MORE

FIFA Yaiadhibu Afrika Kusini kwa Kumchezesha Mchezaji Asiye na Sifa

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imetoa adhabu kwa Chama cha Soka cha Afrika Kusini (SAFA) baada...

READ MORE

Usiku wa Moto UEFA Champions League – Vigogo Ulaya Kupambana Raundi ya Pili

Usiku wa leo, mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanatarajia burudani ya hali ya juu katika raundi ya...

READ MORE

Simba wapo kwenye hatari, Ahoua hajitumi ipasavyo – Saleh

Mchambuzi mahiri wa soka nchini, @Salehjembefacts, amesema kwamba mchezaji wa kimataifa wa Simba, Jean Charles Ahoua anaiangusha klabu yake na...

READ MORE

Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!

Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026,...

READ MORE

Mechi Kubwa Leo: EPL, La Liga na Serie A Zikukaribisha Ushindi

Jumatatu hii mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka viwanja mbalimbali vya EPL, La Liga na Serie...

READ MORE

Mechi za EPL, La Liga na Serie A Kukupa Mkwanja Wa Meridianbet

Mashabiki na wapenzi wa soka kote duniani wanatarajia kupata burudani murua kushuhudia, miamba ya soka barani Ulaya wakipambana kusaka pointi...

READ MORE

Simba Yataja Hasara Waliyopata kisa Kukosa Mashabiki Uwanja wa Mkapa leo

UONGOZI wa Simba SC umebainisha hasara watakazopata kutokana na kuwakosa mashabiki kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

READ MORE

Pumzi za Moto Wikiendi Hii, Ligi Kuu ya Uingereza na Meridianbet

Ligi Kuu ya Uingereza inageuka kuwa uwanja wa mapigano wikiendi hii, mechi zimejaa mvutano, vita ya kupigania alama tatu na...

READ MORE

Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa...

READ MORE

Oscar Mirambo Ateuliwa Kaimu Katibu Mkuu wa TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa shirikisho hilo kuanzia Oktoba 1, 2025....

READ MORE

Europa League Kuinogesha Wiki, Bashiri kwa Maarifa na Ushinde

Kombe la Europa linalindima tena leo huku kila timu ikijizatiti kuhakikisha inaondoka na matokeo ili kufuzu kwa hatua zinazofuata, na...

READ MORE

Pamba Jiji Yatajwa Kukwamisha Ratiba ya Mazoezi Uwanja Mkapa

Baada ya taarifa kusambaa mitandaoni ikionesha wachezaji wa Pamba Jiji wakifanya mazoezi gizani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Serikali imesema...

READ MORE

Kocha Fadlu Davids Aaga Simba kwa Machozi ya Furaha na Shukrani

Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, ameaga rasmi klabu hiyo akieleza hisia zake nzito baada ya muda wake kumalizika Msimbazi....

READ MORE

Bashiri Leo, Shuhudia Ushindi wa Chelsea, Liverpool na Everton

Wiki mpya ya kushuhudia mbungi la kikubwa ndani ya Carabao ndio hii inaanza leo na tunashuhudia vigogo mbalimbali wa soka...

READ MORE

Simba Yamtangaza Hemed Suleiman ‘Morocco’ Kuwa Kocha Mkuu wa Muda

Klabu ya Simba SC imefanya uteuzi rasmi wa kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kuwa kocha mkuu wa muda wa timu hiyo....

READ MORE

Ballon d’Or 2025: Dembélé Awashinda Lamine Yamal na Mohamed Salah

Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or...

READ MORE